kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
mwanamke hana dhamana na sisi wanaume tumezidi ubwege nazi ( ujinga ) acha tu akina dada watutese na watupelekeshe watakavyo! Unaacha kumsomesha ndugu yako wa damu unahangaika kumgharamikia demu tena wengine huwa mnaniboa kweli kwani utakuta demu hakutaki lakini wewe unakomaa tu. Acha mteswe tu malofa wakubwa nyie! Mimi niliacha kupenda rasmi mwaka 2010 na sasa ukiniona na demu ujue namdanganya tu na nakwenda kumbatua kisha nahamisha kambi. Mwanamke hata umpe nini na hata umsugue vipi bado tu atagongwa nje na masela na kibaya zaidi masela wa siku hizi wanajua kweli kusimamia show ( kugegeda ) na wengi wao wanagonga * 148 * 01# ok ( kinyeleo ). Ukiwa masikini unakanyagiwa, ukiwa tajiri napo pia unakanyagiwa hivi nyie dada zangu nani kawaroga? Cha msingi sasa ni kuishi kama mafia tu unatafuta demu na unamseti akuzalie mwana, amlee kisha akikua tu mkubwa mama anasepa kwa kumpa hata mtaji kisha wewe unaishi tu na mwanao. Dada zangu mnatia sana hasira ndiyo maana nasi midume sasa tunaishi kimagumashi na kiminyato. Badilikeni jamani mnatuumiza........................................................:smile-big:
mguu moja ndani, moja njee ndio mpango mzima.