Pepo la subiani toka, pepo la mapenzi toka, toka,!
Nasema tooooookaaa, achilia watanzania wasife tokaaaa
Ni sawa tu hawa wanyama hawana shukrani yalishanikuta mimi hayo,mtu anakuwa na wewe kwa malengo baadae anasepa,nilitaka kuua mtu mimi,hawa wanawake huwa wana roho ngumu sana huwa hawajui watu unajinyima nini,wazee mpaka yakukute ndio mtaelewa,hakuna kitu kama kuheshimu feelings za mtu,mimi tangu nitake kumtwanga huyu mnyama risasi naogopa sana binadamu kama mimi naweza kutwanga mtu risasi mwenzako anaweza nini?
Received and incubated till further notice before hatching!!!!!!
kumgharamikia mwanamke, hasa hasa ambaye haujamuoa ni sawa na kujenga nyumba bondeni au kwenye hifadhi ya barabara.
huu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.
Yupo mshikaji wangu mmoja naye anamgharamia demu wake tokea certificate,diploma na sasa yuko Advance diploma,mwanzoni aliniomba ushauri nikampa mifano hai mitatu ya watu waliosomesha wapenzi wao na mwishoni waliishia kukashifiwa na mahusiano kuvunjika,lakini nahisi jamaa kakolea, namuombea yasije mkuta hayo!
Mie mnachonishangaza ni kuendekeza uzinzi. Kama una uwezo wa kumlipia ada, si umuoe kabisa afu asome huku mnaishi?!
huu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.