Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Kinachoniuma tu ni kwamba hawa akina Munisi sijui Mushi hawana shabaha kabisa, yule wa juzi kati kamkosakosa huyu tena wa leo kamkosa, matokeo yake wanatangulia wanatuachia mademu tunaendelea nae. Nawashauri wachaga next time mtumie mabomu kabisa, yaani mnamalizana faster sio kuanza kurusha risasi...uoga tu huo.

Una hatari sana wewe!!!!!
 
Namsikitikia jamaa kwani anaenda kuangamia 4no reason,inauma sana mtu kukufanyia achilia mbal yule ulomgharimikia,hata mlopendana tu
Oo you ladies how can you hurt what you can't kill?
Na kutokana na kosa kama hlo ambalo linagusa emotional feelings za mtu naziona adhabu zote ndogo,lakin hyo ya kuuwa ni kubwa saana

Mapendekezo meengi watu yatatolewa lakin si yote yatakuwa mazuri,unampiga mtu mimba! Sawa lakini sidhani kama ipo dini isiyokataza UZINIFU,!!!

Na haya yote ni matokeo ya kile tulichokichuma kwa mikono yetu,
MUNGU ametakasika na sifa mbaya zoote, kwani alisema kweli “aliposema MZINIFU atamuoa MZINIFU mwenzie, MSHENZI na MSHENZI,,mshirikina na mshirikina,kwa kuwa MUNGU hana sifa ya UONGO kwanini mniaminishe kuwa wanawake woote washenzi,na kama ni hvyo basi MSAFI atampata MSAFI mwenzie, na wataishi kama wapo peponi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwanamke hana Dhamana na Sisi Wanaume Tumezidi UBWEGE NAZI ( UJINGA ) acha tu Akina Dada Watutese na Watupelekeshe Watakavyo! Unaacha Kumsomesha Ndugu Yako wa Damu Unahangaika Kumgharamikia Demu TENA WENGINE HUWA MNANIBOA KWELI KWANI UTAKUTA DEMU HAKUTAKI LAKINI WEWE UNAKOMAA TU. Acha MTESWE TU MALOFA WAKUBWA NYIE! Mimi Niliacha KUPENDA RASMI MWAKA 2010 na Sasa UKINIONA na DEMU UJUE NAMDANGANYA TU NA NAKWENDA KUMBATUA KISHA NAHAMISHA KAMBI. Mwanamke hata Umpe Nini na Hata UMSUGUE VIPI bado tu ATAGONGWA NJE na MASELA na KIBAYA ZAIDI MASELA WA SIKU HIZI WANAJUA KWELI KUSIMAMIA SHOW ( KUGEGEDA ) na Wengi Wao WANAGONGA * 148 * 01# OK ( KINYELEO ). Ukiwa Masikini UNAKANYAGIWA, UKIWA TAJIRI NAPO PIA UNAKANYAGIWA Hivi Nyie Dada Zangu NANI KAWAROGA? Cha Msingi Sasa ni Kuishi Kama MAFIA tu UNATAFUTA DEMU na UNAMSETI AKUZALIE MWANA, AMLEE KISHA AKIKUA TU MKUBWA MAMA ANASEPA kwa Kumpa Hata MTAJI Kisha Wewe Unaishi tu na Mwanao. DADA ZANGU MNATIA SANA HASIRA NDIYO MAANA NASI MIDUME SASA TUNAISHI KIMAGUMASHI na KIMINYATO. Badilikeni Jamani MNATUUMIZA........................................................:smile-big:

Mkuu umenena manake siku hizi sio masikini tu ndo wanaogongewa wake zao mfano halisi mimi ninayo mkuu.
 
Leo naenda shirika la ''Mzinga'' kufanya process za kuchukua mzingo!

Maana haya mambo sio mazuri sasa
 
Kinachoniuma tu ni kwamba hawa akina Munisi sijui Mushi hawana shabaha kabisa, yule wa juzi kati kamkosakosa huyu tena wa leo kamkosa, matokeo yake wanatangulia wanatuachia mademu tunaendelea nae. Nawashauri wachaga next time mtumie mabomu kabisa, yaani mnamalizana faster sio kuanza kurusha risasi...uoga tu huo.

Mkuu sijui umefikiria nini.lakini jamaa wanaishia kujiua wenyewe alafu papuchi wanaziacha zinaendelea kutesa .jamaa hawana terget kabisa wanaua wasiohusika.
 
Hauwezi kupoteza mwanamke ukiwa makini katika kutafuta pesa lakini unaweza kupoteza pesa ukiwa busy kufuatilia wanawake.

"Dont invest in women they have more than one boss."
 
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa_tuko wengi,...mimi kapo kabinti kanasema eti nikanunue music system,..nimekatema kanalia tena,..sema mimi mwenyewe sura ya kokoto wala sijali kitu

hahahaaa,bwana wewe,chukua tahadhari mapemaaaaa,,,,mambo ya kuumiza kichwa me staki,wacha niumize kwenye kusaka pesa,adui wangu wa I ni pesa ndo naepambana nae,,,,,
 
Dhambi inaua....
hili ni somo kwetu! Tuoaneni jamani, tumezidi kuvuana chupi kabla ya ndoa!
Na sie wanaume mabwe.ge kweli, utamsomeshaje mtu hivi hivi, hata hamjaoana....? Wanawake sio wakuamini hata chembe! I rest my case.
 
Mwanamke hana Dhamana na Sisi Wanaume Tumezidi UBWEGE NAZI ( UJINGA ) acha tu Akina Dada Watutese na Watupelekeshe Watakavyo! Unaacha Kumsomesha Ndugu Yako wa Damu Unahangaika Kumgharamikia Demu TENA WENGINE HUWA MNANIBOA KWELI KWANI UTAKUTA DEMU HAKUTAKI LAKINI WEWE UNAKOMAA TU. Acha MTESWE TU MALOFA WAKUBWA NYIE! Mimi Niliacha KUPENDA RASMI MWAKA 2010 na Sasa UKINIONA na DEMU UJUE NAMDANGANYA TU NA NAKWENDA KUMBATUA KISHA NAHAMISHA KAMBI. Mwanamke hata Umpe Nini na Hata UMSUGUE VIPI bado tu ATAGONGWA NJE na MASELA na KIBAYA ZAIDI MASELA WA SIKU HIZI WANAJUA KWELI KUSIMAMIA SHOW ( KUGEGEDA ) na Wengi Wao WANAGONGA * 148 * 01# OK ( KINYELEO ). Ukiwa Masikini UNAKANYAGIWA, UKIWA TAJIRI NAPO PIA UNAKANYAGIWA Hivi Nyie Dada Zangu NANI KAWAROGA? Cha Msingi Sasa ni Kuishi Kama MAFIA tu UNATAFUTA DEMU na UNAMSETI AKUZALIE MWANA, AMLEE KISHA AKIKUA TU MKUBWA MAMA ANASEPA kwa Kumpa Hata MTAJI Kisha Wewe Unaishi tu na Mwanao. DADA ZANGU MNATIA SANA HASIRA NDIYO MAANA NASI MIDUME SASA TUNAISHI KIMAGUMASHI na KIMINYATO. Badilikeni Jamani MNATUUMIZA........................................................:smile-big:

Duh, mkuu kama nakuona jinsi unavyoumizwa na situatsia. Hawa wadada kwa sasa potezea tu, tutaonana Galilaya
 
Ya kweli hayo?
Mungi, hii dunia ina makorokoro mengi sana. Iwe kweli au si kweli lakini mtu kuchukua uhai wa mwenzake na wa kwake at a go si suala dogo. Hawa wadudu wa kike waone hivyo hivyo. 1999 kidogo ni disco kwa sababu kama za Ufoo. Niishie hapa
 
Last edited by a moderator:
Leo naenda shirika la ''Mzinga'' kufanya process za kuchukua mzingo!

Maana haya mambo sio mazuri sasa

Ha ha haaaaa pale ni hela tu hakuna process mzee,process peleka kwa watendaji huko na polisi!!!!!

Ila unanua kifo,kuua au jela na hiyo menu inaweza kuchanganyika kutokana na maadalizi yako!!!!!!
 
Back
Top Bottom