Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hujamuelewa. Yan hapo anashangaa kwamba watu wanasema amejiteka. So anauliza utajitekaje halafu hatahela ya tax ukose mfukon..??Unafikiria vizuri kabla ya kuandika kweli?
1. TAML alijimiminia risasi!
2. Azory yuko wapi mpaka leo?
3. Polisi wameshidwa hata kutoa report ya awali walau watuambie hicho unachokisema wewe.