Hapa hutapata ubishi toka kwangu. Mimi pia ningependa kupata ufumbuzi wa huu uhalifu unaotokea.Kama CHADEMA wanataka watu na Jeshi la polisi linashindwa kuwakamata basi tuna Jeshi la hovyo.
Pili, Serikali iombe msaada nje ukweli ujulikane kwa sababu mpaka sasa Jeshi la polisi halijakamata hata mtu mmoja.
Lakini Serikali hii haitaki kuomba msaada nje.
Pia hawa wanaokamatwa na kutekwa wanasema wameshafatwa na polisi na watu wa usalama kwamba waache kuiponda Serikali.
Leo hii jeshi la polisi, na resources zote walizonazo, wamefikia wapi na uchunguzi wa Lissu, Azory, Roma, Ben Saanane?
Wewe ndiye wa kushangaa yakheMwanaume mzma unaamka na unatema matapishi kias hichi....
Mzee wa operesheni UKUTA iliyofeli mikakati ya kihuni unaijua sana!Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.
Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.
Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.
Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ataondoka mwenyewe 26Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.
Subirini mpaka 2020 mumng'oe Magufuli kupitia boksi la kura.
Kwa sasa mnajidhalilisha kwa kutumia hizi figisu figisu zenu. Tunajua mnachojarjbu kukifanya.
Mkuu siku hiz umekuwa mtoto au ndyo kuzeeka enyewe.ndyo nn umeandikaHili linaweza kuwa kweli kuliko watu wanavoyfikiria na pia watu wanaweza kutake advantage ya siasa zetu kukomoana. Mtu anakudai na umemzungusha muda mrefu na wewe unajulikana ni mwanachama wa chama fulani basi anakutumia watu wanakufanyizia halafu tuhuma zinawaenda the infamous "watu wasiojulikana".
Kazi mojawapo ya chama chochote cha kisiasa ni kuudhoofisha upinzani wake.Haya ni mawazo ya kutaka kutawala bila ya kuwa na check and control. Upinzani sio kazi yao kuimba mapambio ya kusifia watawala. Kama mnataka CHAMA kimoja ili mtawale milele fanyeni hivyo kwa kupiga
Marufuku kupitiia Bunge.
Hakuna cha uvivu wa kusoma, kwa nini umeamua kuwa bias?Najua waTZ walivyo wavivu kusoma.
Lakini kifo tumeandikiwa binadam mkuu kila mtu na siku yake kwa style yake tusikufuru Mungu sana.Ni kweli kabisa.
Kama CDM wasingeanzisha yale maandamano ya usiku bila kibali, halafu risasi zilipoanza kurindima viongozi wa juu wakavaa madera na shungi wakakimbia, Akwilina wetu tungekua nae leo.
Ni watu gani hawa?
Ivi tatzo ni nini?watu wasiongee ukweli jamani kwahyo ccm mna amini wote wanao potea kwakusema ukweli wanajiteka na wengine kujiua? Je nape kutolewa bastola hazalani nae aliandaa watu wake wafanye vile?Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.
Subirini mpaka 2020 mumng'oe Magufuli kupitia boksi la kura.
Kwa sasa mnajidhalilisha kwa kutumia hizi figisu figisu zenu. Tunajua mnachojarjbu kukifanya.
Taarifa ulitaka ije wakati gani? Sababu mleta taarifa alikuwa hajui kama abiria mwenzake ni yule ambaye inasemekana ametekwa,soo taarifa itakuja baada ya kuconferm kuwa huyu anayetafutwa ni alikuwa naye kwenye basi.Ujinga ni kwamba taarifa hiyo inakuja baada ya kupatikana kwake.
Tutaaminije
Mkosoe wewe ulipoona kosaNingekushauri ukaisoma post yako viziuuri ujifanye kama hujaituma wewe utagundua ulipokosea mkuu
Kuongea na kuishutumu serikali ni haki ya kila mtanzania.Ivi tatzo ni nini?watu wasiongee ukweli jamani kwahyo ccm mna amini wote wanao potea kwakusema ukweli wanajiteka na wengine kujiua? Je nape kutolewa bastola hazalani nae aliandaa watu wake wafanye vile?
Je wapinzani wanajiongelea tuu kuhusu kuminywa kwa vyanzo vya habali?niishie hapo mambo nimengi sana.
Ila hakika nawa ambieni taifa halijengwi kwa ushabiki naunafiki bali uhalisia na upendo.