Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Uoga tu.
 
Kwanini awe na maadaui wengi ndani na nje ya chama pendwa? Hili swali ni muhimu sana.
Kama vile baadhi ya viongozi wa ksiasa, hasa upinzani, wanavy9tka kuaminisha Watanzania kuwa wako tayari kufia nchi yao, kwa lugha laghai, Rais yuko tayari kuifia nchi yake kwa kuwatetea Watanzania wanyonge.

Baadhi ya mambo yanayomjengea uadui ni pamoja na (1) Amethubutu kufunga njia zote za kuhujumu uchumi wa nchi hii. (2) Anaendesha vita dhidi ya kila aina ya maovu nchini. (3)Anawasimamia wateule na vyombo vyote vya Dola, kwa nguvu zake zote, vinatekeleza wa sheria bila woga. Na mengi mengineyo.
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Hii ni habari muhimu kwenye hii thread, ni vyema ikapandishwa juu
 
Kama CHADEMA wanataka watu na Jeshi la polisi linashindwa kuwakamata basi tuna Jeshi la hovyo.

Pili, Serikali iombe msaada nje ukweli ujulikane kwa sababu mpaka sasa Jeshi la polisi halijakamata hata mtu mmoja.

Lakini Serikali hii haitaki kuomba msaada nje.

Pia hawa wanaokamatwa na kutekwa wanasema wameshafatwa na polisi na watu wa usalama kwamba waache kuiponda Serikali.

Leo hii jeshi la polisi, na resources zote walizonazo, wamefikia wapi na uchunguzi wa Lissu, Azory, Roma, Ben Saanane?
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Unataka kutuaminisha kwamba nchi hii hatuna vyombo vyenye utaalamu wa kupeleleza na kugundua hayo unayo ya sema? Sita shangaa kesho ukiandika kuwa Akwilina alisingizia kujipiga risasi. Hivi nyie mnadhani watanzania wote ni mazuzu? Hata wale tulio soma wakati wa JK ONE? No sir you are very wrong
 
Mkuu Kifyatu huwa naheshimu mada zako hasa kule kwenye jukwaa la intelijensia ya mambo ya ulimwengu ila huku kwenye siasa huwa unachemka vibaya, nikuhakikishie upinzani hawana uwezo wa kumpindua Raisi huko ni kujidanganya. CCM wenyewe ndio watakaompindua huyo magufuli wako tusubirie muda utasema...
Asante sana kwa compliments.

Kuhusu Siasa.
Hivi karibuni umewasikia mataifa ya magharibi ya kibepari yalivyoishutumu serikali ya Magufuli? Kwa nini walifanya hivyo na lengo lao ni lipi?

Pia unajua kuwa CDM walijificha nyuma ya vita vya ufisadi ili washike dola lakini lengo lao kubwa ni kuiweka TZ katika mfumo wa itikadi ya NEOLIBERALISM (Ubepari Mamboleo)?

Hii ni hatari sana. Ninaweza kuanzisha uzi mzima (kama ule wa ufahamu kuhusu nyota kule kwenye jukwaa la Intelligence) hapa.

Hawa jamaa CDM ni washenzi sana. Wanataka kuiuza hii nchi kwa mataifa makubwa ya kibepari. Wakifanikiwa na hiki basi wengi wetu TZ tutazidi kudidimia katika dimbwi la umaskini.

Haya mambo ni magumu kwa waTZ wa kawaida kuyaelewa kama ilivyo vigumu kuelewa BLACK HOLES, DARK MATTER, QUANTUM THEORY na TIME TRAVEL.

Ukifika wakati muafaka tutawaelimisha wananchi wa kawaida.

Hii ndio sababu ya mimi kuchukua likizo kutoka jukwaa la Intelligence na kurudi huku nigaragale kwenye siasa. It is not pretty and I would rather be with you guys.

It is a dirty job but someone has to do it.

Samahani mkuu.
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.

Kweli hata yule binti uenda alipigwa nawatu wengine kabisa ili ionekane polisi wabaya. We acha tu, Leo BBC wanasema yule jamaa wa UDSM kaenda mwenyewe Mafinga Polisi kulipoti eti katekwa, jamani!
 
Hebu tuelezee vizuri na Akwilina na TAL pamoja na Azori na mashehe wa Zanzibar
 
N
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Je tuna ulinzi madhubuti Wa kuzuia Haya, out state out of control?
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Issue Kwanini awe na maadui kila kona wakati tunaambiwa Tanzania ni nchi yenye neema tele?
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Ndio kazi ya Polisi kutuambia hayo usemayo wewe.
Kama watu wanajiteka kisha Polisi wakashindwa kuwabaini basi kuna tatizo mahali
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Ujinga ni kwamba taarifa hiyo inakuja baada ya kupatikana kwake.
Tutaaminije
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Umetumia muda mrefu kuandika post ndeeefu isiyokuwa na maana yeyote,pole sana ,
 
.Nimepata Taarifa ya mshangao mkubwa jioni ya leo punde tu nilivyowasili nyumbani kwangu Mafinga jioni ya leo baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii na kusikiliza kwenye vyombo vya Habari sasa nakaa natafakari ni aina gani ya vijana tuliokuwa nao

Mapema leo asubuhi muda wa saa 12:00 asubuhi nilipanda gari aina ya NEW FORCE yenye namba ya usajili ya T 226 DJQ nakukaa siti yenye namba G3 ambapo jirani wangu aliyekuwa amejivika shuka la kimasai alikuwa amekaa siti namba G4 ambaye alionekana kuwa na hofu wakati wote na kutumia simu yake kwa kutuma jumbe tofauti kila mara

Wakati tupo njiani kijana yule nilitaka kujenga urafiki walau Tupige hata stori mbili tatu lakini ilishindikana ila tulipofika Morogoro ndipo alianza kunisemesha kwa kuhitaji nimsaidie kununua maji kwa kuwa nilikuwa upande wa dirishani nikafanya hivyo nikiwa na dhamira ya kumsaidia ndipo tulipoanza kupiga stori mbili tatu

Lakini nilisikia tukiwa njiani anawasiliana na mtu mmoja mwenye sauti ya kike na kumtaka aandae mazingira ya hapo wanapokutani.

Wakati wote namuaangalia kijana huyu ambaye awali nilikuwa simfahamu vizuri nilimbaini kwa sura nikamjua na hakutaka kuongea na mimi zaidii ya kujifichaficha

Sasa nimefika nyumbani Naanda kusikiliza radio nasikia kuna kijana wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutekwa nilipoingia Facebook ndo nikaona picha yake nikamwambia mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kuwa kijana huyu nimependa naye basi moja kutoka Dar es Salaam na mke wangu hakuamini

Nipende kuambia ndugu watanzania wenzangu kijana huyu HAJATEKWA WALA NINI MAANA NILIKUWA NAYE MWANZO WA SAFARI YOTE NA KAMA KATEKWA LABDA NI KWENYE NDOTO

HIVYO TAARIFA ZOTE ZA UTEKWAJI WAKE NI ZA KUPUUZWA MAANA ANATAKA KUTAFUTA UMAARUFU WA AJABU KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII

*JONATHANA KWEPE*
Naamini taarifa hii itafuatiliwa na Polisi. Konda na abiria wengi wa Bus hilo, watakuwa msaada mkubwa kujua ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom