Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
Kwanini awe na maadaui wengi ndani na nje ya chama pendwa? Hili swali ni muhimu sana.
 
Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.

Subirini mpaka 2020 mumng'oe Magufuli kupitia boksi la kura.

Kwa sasa mnajidhalilisha kwa kutumia hizi figisu figisu zenu. Tunajua mnachojarjbu kukifanya.
Tena katiba ya nchi inavyonjwa na hawa chadema waliotuletea Rais dikteta
 
Tena mbaya zaidi polisi chini ya serikali ya chadema ndio waliomuua Akwelina
Ni kweli kabisa.

Kama CDM wasingeanzisha yale maandamano ya usiku bila kibali, halafu risasi zilipoanza kurindima viongozi wa juu wakavaa madera na shungi wakakimbia, Akwilina wetu tungekua nae leo.

Ni watu gani hawa?
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?

kwanini watu wanapenda kuleta hadithi za abunuasi ili kutetea wauaji!!!
kila mtu anajua kuwa vitendo hivi vinafanywa na serikali ikishirikisha watu wa usalama wa Taifa mnataka ushahidi gani tena wkt Dr.Ulimboka alisema na Roma mkatoliki alisema wazi kwanini kila kitu mtu anakuja na hadithi za maoka ili kulinda utekaji na mauaji yanayofanyika katika utawala wa Dikteta Magufuli. angalieni ma Role model wa Magufuli ni akina nani Museveni na Kagame je huko waliko watawala hawa kwy nchi zao wapinzani wao uwa wanabaki salama!!??
jawabu unalo mwenyewe
 
Inabidi ukawasaidie polisi kuzuia haya inaonyesha una ushaidi mzuri kama una nia njema shilikiana na polisi kulimaliza hili Tanzania ya wote tuiokoe polisi hawajauona Uzi huu inabidi uwasaidie
 
Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.

Subirini mpaka 2020 mumng'oe Magufuli kupitia boksi la kura.

Kwa sasa mnajidhalilisha kwa kutumia hizi figisu figisu zenu. Tunajua mnachojarjbu kukifanya.
Fikiria ndani ya box mkuu ni ngumu kuzuia mgandamizo wa maji ndani ya mpira lazima utapasuka tuu hii ni sayansi ndogo kama ulizuia mikutano ya siasa kwa vyama vyote vya siasa basi wote wasifanye siasa lkn sasa polepole anafanya siasa nchi nzima zito akijaribu kuzunguka tena mikutano ya ndani anabugudhiwa kwahiyo ubaguzi ni mbaya hata makaburu walipowabaguwa wa afrika dola ilikosa ushirikiano na watu weusi lkn huu ni mpango mkakati wa mkulu kuivuruga nchi kwa maneno yake mwenyewe kwa wakurugenzi aliowateuwa I wish I could be igp unafikiri alikuwa anamaanisha nn ni kuvunja sheria na kuuwa wapinzani wake
 
Nondo kwa tabia zake za kujipendekeza na kimbelembele ,kupenda sifa kama ilivyo ada ya watu wa huko, kupenda ajulikane kabla hata ya kumaliza shule ili ajitengenezee mazingira ya baadae ni kwamba amejiteka mwenyewe.Kumbukeni wale waliokuwa naye JKT tabora.Ni vizuri vilvile hicho kiasasi chao kifutiliwe mbali.
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.

Tatizo ni kuwa watu wamechagua usahaulifu kabisa. Yaani, watu wanataka tuamini kuwa siasa hizi za visasi na kufanyiziana zimeanza baada ya Magufuli kuingia madarakani... usahaulifu huu ndio maangamizi yao...
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Acha kuongozwa na mapenzi ya chama ukichanganya na njaa. Laiti angekuwa mtoto wako ametekwa, sijui hii assumption ungeiwekaje. Kijana wa watu kupotea ndiyo wewe unaleta Mada za kisiasa hapa? ?kwa Tanzania tumekuwa na watu wa ajabu kwa kweli.
 
Sina chama.
Sina njaa.

Lakini je ni kweli Nondo ametekwa? Kama ni kweli basi nipeni kurunzi nitakuwa mstari wa mbele kwenda kumtafuta.
 
Hapana kukabiliana
Ni kweli kabisa.

Kama CDM wasingeanzisha yale maandamano ya usiku bila kibali, halafu risasi zilipoanza kurindima viongozi wa juu wakavaa madera na shungi wakakimbia, Akwilina wetu tungekua nae leo.

Ni watu gani hawa?
na maandamano hakuitaji polisi kutumia risasi pale ambapo maandamano si ya vurugu. Kwani wale waandamanji walikuwa na silaha zipi zilizofanya polisi watumie risasi? Hapa unatakiwa uweke uzalendo mbele kama Mh Rais alivyo mzalendo. Usitetee uongo bali sema ukweli ili watu wabadilike.
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
Kwan umeandika nin?
 
Sawa, umeandika mawazoyako.
 
Inabidi ukawasaidie polisi kuzuia haya inaonyesha una ushaidi mzuri kama una nia njema shilikiana na polisi kulimaliza hili Tanzania ya wote tuiokoe polisi hawajauona Uzi huu inabidi uwasaidie
Waambie wanitafute, hata PM kama wanadhani ninaweza kuwasaidia.
 
Kama serikali imeshindwa kudili na hawa watekaji wa chadema unaowaita na kuua watu kama unavyofikiri basi serikali na vyombo vyake vya ulinzi vimeshindwa kazi ya kutulinda RAIA wake.

Kwa mujibu wako hao wanaoratibu ni chadema je wakija boko haramu kuratibu mambo kama hayo si tutakwisha???
 
Ni kweli kabisa.

Kama CDM wasingeanzisha yale maandamano ya usiku bila kibali, halafu risasi zilipoanza kurindima viongozi wa juu wakavaa madera na shungi wakakimbia, Akwilina wetu tungekua nae leo.

Ni watu gani hawa?
Umezingatia neno "kama"?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom