Na hatuwezi wote shabikia chaka linaloungua ccm hata iweje. Ni ushamba wako kudhani kuwa Chadema itakuja kugawa pesa maana hapo ndio mwisho wako wa kufikiri.Hatuwezi wote kushabikia CDM hata iweje. Mimi siwezi kupanda DECI nikiwa na shida naingia bank within a week navuta hela nafanya mambo. Tufanyeni kazi tutafute pesa tusidanganyike CDM wakichukua nchi watakupa pesa mkononi, sahau...
i need changes no matter what kind of it,ts over!Hatuwezi wote kushabikia CDM hata iweje. Mimi siwezi kupanda DECI nikiwa na shida naingia bank within a week navuta hela nafanya mambo. Tufanyeni kazi tutafute pesa tusidanganyike CDM wakichukua nchi watakupa pesa mkononi, sahau...
Haya, ninachokiona hapa matokeo katika vituo kadhaa vya mjini Igunga yanaonyesha CHADEMA inaongoza na hali ni shwari sasa ila viongozi wengi wa CCM wameondoka hapa mjini igunga kila ukupita mitaani sasa ni CHADEMA mwendo mdundo. Mjini ndio kuna wapiga kura wengi hapa Igunga.
CCM wamekimbia mji hoteli waliyofikia vigogo ipo kimya. Kwa sasa nasubiri vituo vya vijijini.
Other updates:
06:00 PM Misururu ya vijana imeonekana mida ya jionijioni, yawezekana idadi ya waliopiga kura ikaongezeka.
Maneno yako machafu yanaashiria kushindwa. Pole mama.
CDM Inaongoza kwa matokeo ambayo yameishapatikana kwa mujibu wa Mutabuzi ITVtupeni Data
Nape sijui yuko wapi!mungu ibariki chadema. Nape wher ar you?
Currently Online: 7588
There are currently 2716 users browsing this thread. (543 members and 2173 guests)
Unanchekesha! huo mpasho uko wapi? au hujui mipasho weyee? Unanchekesha!
Nimeipena hiyo Sundi!lakini pengine watadhibiti mali asili inayo chakachuliwa kila siku na kusambaza huduma kwa ndugu zetu walio kosa shule, hospitali, barabara, maji na umeme..