Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Bado mchuano ni mkali


Wazee kwa mujibu wa chanzo changu makini hali ya CDM ni mbaya, CCM inaweza kushinda kwa kura nyingi sana. Ukiangalia kwa makini sehemu ambayo CDM ilikuwa inapendwa imeshinda kwa tofauti ya kura ndogo zisizozidi 1000! Katika matokeo ambayo ameleta Novatus Makunga yamebadili kabisa mwelekeo wa matokeo. Kwa jinsi chanzo kilivyotema, huko vijijini CCM itashinda kwa kura nyingi, jambo hili litaguwa gumu kulisadiki lakini ndiyo ukweli unazidi kujongea masikio mwetu.
 
Haiiingii akilini kuona vituo vingi sana chadema inaongoza kwa asilimia nyingi, lakini cha ajabu kwenye matokeo ya mjumlisho yaani matokeo ya kata ccm inaongoza tena kwa idadi kubwa sana ya kura.

Je tuvumilie huu upuuzi??
 
Inaonekana kama ccm wanashinda mpk sasa wanaongoza kwa zaidi ya kura 1600.
 
[TABLE="width: 96"]



[TR]

[TD="width: 64, bgcolor: transparent"]CCM[/TD]

[TD="width: 64, bgcolor: transparent"]CHADEMA[/TD]





[/TR]

[TR]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]730[/TD]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]362[/TD]

[/TR]

[TR]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]694[/TD]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]274[/TD]

[/TR]

[TR]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1479[/TD]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1085[/TD]

[/TR]

[TR]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1078[/TD]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]590[/TD]

[/TR]

[TR]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]3981[/TD]

[TD="bgcolor: transparent, align: right"]2311[/TD]

[/TR]


[/TABLE]

Nimesikitishwa na matokeo hayo hapo juu, ikisemekana ni matokeo yaliyojumlishwa katika kata!!! Sheria za Uchaguzi zinawataka wasimamizi wa uchguzi katika vituo vyao wakijumlisha katika vituo vyao wapeleke mojakwamoja kwa Mkurugenzi husika!!! Kwa hayo matokeo huyu bwana kapata wapi na nani kamwambia ayatangaze.
Reporter mwenzie kareport kwamba matokeo hayajumlishwi kwenye kata!!!
Akitangaza matokeo akawa anatoa na maelezo ya ziada kuhusu hizo kata kwamba hii kata Mgombea wa CCM ndio amezaliwa na tena eti kata hii CCM walifungia kampeni zao jana, yote hayo yametoka wap???

Nimesikitishwa sana na huyu Reporter, anaiaibisha sana IPP MEDIA
 
Wazee kwa mujibu wa chanzo changu makini hali ya CDM ni mbaya, CCM inaweza kushinda kwa kura nyingi sana. Ukiangalia kwa makini sehemu ambayo CDM ilikuwa inapendwa imeshinda kwa tofauti ya kura ndogo zisizozidi 1000! Katika matokeo ambayo ameleta Novatus Makunga yamebadili kabisa mwelekeo wa matokeo. Kwa jinsi chanzo kilivyotema, huko vijijini CCM itashinda kwa kura nyingi, jambo hili litaguwa gumu kulisadiki lakini ndiyo ukweli unazidi kujongea masikio mwetu.
Daaah!
 
Kwa jinsi JF ilivyosheheni mashabiki wa CDM na kwa jinsi uzi huu ulivyodororra ghafla ni dhati kuwa CDM imeanguka chali. Na kwa jinsi Regia Mtema alivyoingia mitini hakuna sababu nyingine zaidi ya kuanguka chali kwa CDM.
Hongera kwa wote walioshiriki uchaguzi.
Idumu Demokrasia.
 
Safi sana watu wapo makini ngoja tusubiri data zaidi kutoka kwa wadau
 
‎Mpya toka Igunga:

Mh Halima Mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko Choma! Pia aliyekuwa diwani wa Igunga Mama Ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki!

Vigogo wa CCM leo asubuhi wote wametoweka Igunga na kurejea Dar!

duh si mchezo!
 
[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 142"]ata Mguu[/TD]
[TD="width: 164"]
274​

[/TD]
[TD="width: 166"]
664​

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata Nkinga[/TD]
[TD="width: 164"]
1085​

[/TD]
[TD="width: 166"]
1476​

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata itumba[/TD]
[TD="width: 164"]
590​

[/TD]
[TD="width: 166"]
1078​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
nayaombaa kwa vituo not kwa kata nzima hapa kuna jamboooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom