Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 426
Naona Makunga ametoa matokeo ya Kata 4, hali si shwari kwa kata hizo!
Kweli watu wa vijijni wanatakiwa wapewe elimu ya tofauti kabisa!
Naona Makunga ametoa matokeo ya Kata 4, hali si shwari kwa kata hizo!
Kweli kabisa inawezekana matokeo ya vijijini yakabadili kila kitu na ni rahisi kuchakachua!We all know how this is going to end. Wanawatanguliza kwanza kwa matokeo ya mjini then wanamalizia na ya vijijini baada ya kujua idadi ya kura wanazotakiwa kuchakachua!!!
Zito Kabwe
Chadema imeshinda kata za Endasak, Hanang na Masekelo Shy mjini #chaguzizaMadiwani23
hadi sasa cdm 5307, ccm 6567 mchuano ni mgumu wakuu
magamba mumeshaanza kuchakachua na mushindwe hila zenu zoteHadi sasa CDM 5307, CCM 6567 Mchuano ni mgumu wakuu
Ndio mbinu zao Bajabiri kwani huwajui hawa?
Yako vipi?Wakuu matokeo yanayotangazwa na Novatus Makunga YANATISHA! Makamanda hizi ndio dk za kuwa makini.