Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Hata kipimo cha imani kwenye biblia ni sumu, ulishasikia nani akijipima? si papa wala pengo seuse maamuma. Unanchekesha!

Una uhakika?, biblia ipi inayopima imani kwa sumu?, na ipi inayosema watu wajipime imani wenyewe?, kaa kimya we mama!
 
[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 142"]ata Mguu[/TD]
[TD="width: 164"]
274​

[/TD]
[TD="width: 166"]
664​

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata Nkinga[/TD]
[TD="width: 164"]
1085​

[/TD]
[TD="width: 166"]
1476​

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata itumba[/TD]
[TD="width: 164"]
590​

[/TD]
[TD="width: 166"]
1078​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
nayaombaa kwa vituo not kwa kata nzima hapa kuna jamboooo

...nani ni nani!
 
Magwanda nawatafuta kwa tochi sasa kudadadeki. Kuna hatari mpaka saa 3 nikabaki peke yangu hapa jamvini. Ngoja nijisogeze Younique pub nikapige ndovu zangu mieeeeee
 
Star tv watakuwa live kuhusu matokeo ya igunga ifikapo saa 3 kamili usiku huu. Jipangeni kwa mtiririko wa matokeo hayo.
 
kuna jitu (siyo Wassira) moja la CCM huko lina roho mbaya, silipendi maana lenyewe linajua ushindi kwa CCM tu hata kama watu wafe. hili ni jitu baya sana ambalo kwa kweli linatakiwa kupelekwa The Hegue likabanwe naniliu na plaizi.
Kweli mkuu nakumbuka kule Pemba, kuna kipindi likasema bora punda afe mzigo ufike! Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki CDM.
 
Inasikitisha sana maana msimamizi anawajibika kwa ccm!!
 
CCM she***i type na kuwalisha sumu wananchi lakini mwisho wa siku ujumbe umefika kifo kinawakaribia
 
atukubaliani naye alipaswa kutoa matikeo kama wenzake walivyitoa hayo atuyatambui kabisa sisi bado tunajua ushindi uko kwetu
 
Huko Mjimwema(Njombe mjini) ilijulikana mapema kuwa CCM ingeibuka mshindi kwa akina Sagasaga (viongozi wa CDM) walikalia malumbiano ya kugombania nafasi za uongozi badala ya kueneza sera za chama kwa wananchi kwa ufasaha na kwa muda muhafaka.

we mimi njombe naifahamu,wale watu wa pale sio kabisa,kwanza wanautajiri wa ushirikina,unategemea wanaakili hao? Angalia mbunge mmoja wapo wa jimbo la njombe jah people hana shule kabisa,sasa njombe kuna watu pale?
 
Chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]ata Mguu[/TD]
[TD="width: 164"]
274​


[/TD]
[TD="width: 166"]
664​


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata Nkinga[/TD]
[TD="width: 164"]
1085​


[/TD]
[TD="width: 166"]
1476​


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 142"] Kata itumba[/TD]
[TD="width: 164"]
590​


[/TD]
[TD="width: 166"]
1078​

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

nayaombaa kwa vituo not kwa kata nzima hapa kuna jamboooo


Kidogo hii sijaielewa. Nifahamuvyo mimi kura za vituo kwa uchaguzi wa ubunge na rais hujumuishwa kwa msimamizi wa jimbo la uchaguzi. Hii imekaaje?
 
Mikutano ya CDM ilikuwa inajaza watu wengi sana, yaani walikuwa wanafunika kwa idadi kubwa ya wahudhuriaji VIJANA, ambao leo hawakuonekana kabisa kwenye vituo vya kupigia kura.
 
hata mi nimesikia wanabishana wao kwa wao. sina hakiaka kama yapo sahihi kutokana na sheria ya uchaguzi inavyotoa mwongozo.

Kwenye hayo matokeo ya Jumla ya kata, yule reporter wamemchakachua mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom