Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
ushindi kwa kwenda mbele ata AKIFA RAIS CDM WATASHINDAJamani huko mbeya kata zote mbili nzovwe na majengo udiwani zimechukuliwa na chadema, source, mtu kutoka mbeya.
ushindi kwa kwenda mbele ata AKIFA RAIS CDM WATASHINDAJamani huko mbeya kata zote mbili nzovwe na majengo udiwani zimechukuliwa na chadema, source, mtu kutoka mbeya.
Ahahaah! Mbona unaogopa tulia.We pacha wa Zembwela wacha fujo weee
Ni mapema mno kusema nini kitatokea japo watu wenye akili zao wanajua fika CCM haitakubali kupoteza jimbo kwa vyovyote. Na muda si mrefu tuanze kutarajia matokeo kutotoka kwa muda mpaka pale CCM na Tume yao watakapomaliza ku-tally kura zote na kujitathmini ndipo wataanza kutoa at piecemeal. Igunga waikataa CCM kwelikweli lakini CCM haitaikataa Igunga! Itaing'ang'ania. CCM haiwezi kutangaza matokeo ambayo wao hawayajui. Na huko vijijini ndiko kwenye uchakachuzi sasa. Mnakumbuka BUSANDA?
Wanataka kuchakachua...kwenye ea radio wamesema eti bado hawaja jumlisha halafuu redio one wanatangataza matokeo naomba nisaidiwe kwa hili..
Najua watu wanahamasa sana; matokeo kwa kadiri yanavyotoka hadi hivi sasa bado ni kiwango cha chini sana kuweza kujua mwelekeo (trend) ya ushindi. Hadi tutakapoanza kuzungumzia "maelfu" hapo ndipo tutajua kura zinaendaje sana. Vyovyote vile ilivyo hata hivyo kitu kinaitwa "momentum" ambayo CDM inaionesha kama inazidi kuongezeka basi ndio tujue kuwa CCM imekataliwa kweli kweli Igunga.
Tupo tuna monitor....
ushindi kwa kwenda mbele ata AKIFA RAIS CDM WATASHINDA
Punguza jazba, mambo bado bwana green guard.We ngedere, subiri matokeo ya jumla. Si lazima ujaze pumba zako za kipuuzi hapa.
`Wokovu wa Bwana` ndio nini maanake??Mungu yuko pamoja na chadema atasimamia na kulinda kura zote halali.Simama na ukauone "wokovu wa BWANA"
ushindi kwa kwenda mbele ata akifa rais cdm watashinda