2simamesote
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 109
- 14
Mkuu na wewe uwe unatupa matokeo ya arsenal na spurs
dk ya 40 kpnd cha kwnz Arsenal 0 spurs 1 van d vt,jamani arsenal 2nagundu nn?
Mkuu na wewe uwe unatupa matokeo ya arsenal na spurs
Hapana mkuu,sijawahi kuwa na chama.I ama now contemplating.Nashukuru kwa kunikaribisha.Hii mbona ilishakuwa wazi toka chaguzi za awali za Tarime, na uchaguzi mkuu kwa ujumla wake? Tunacho chama kimoja tu ktk nchi hii ambacho kinatimiza ndoto na utabiri wa Baba wa Taifa kuwa 'Chama Dhaifu huzaa Serikali Dhaifu' ambacho hufa muda sii mrefu, na 'Chama Makini huzaa Serikali Makini' - ndio CHADEMA! Bado upo CHAMA CHA KUFA - CCM? Pole...Chukua hatua haraka....not too late!
Hawa jamaa isije ikawa wameanza kuhesabu kwenye kata jeuri ili wabalansi namba mwisho!
ziba kijijini magamba yamepata kura42 na chadema400vijijini CDM imepata kura nyingi tu, kazi kwenu magamba
Hawa jamaa isije ikawa wameanza kuhesabu kwenye kata jeuri ili wabalansi namba mwisho!
dk 39, Van Der Vaat aipatia Tottenham Goli la kwanza,Tottenham 1 -
Arsenal
Safari lager haishuki kabisa.
ziba kijijini magamba yamepata kura42 na chadema400
Totenham 1 arsenal 0 mfungaji van de vart sasa ni halftime.
dk ya 40 kpnd cha kwnz Arsenal 0 spurs 1 van d vt,jamani arsenal 2nagundu nn?
Umeonae! Tutamsaidia kuzivua! Tuombe mungu!Presha na wasiwasi wa kutembea uchi.