Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Half time bado mkuu.Totenham 1 arsenal 0 mfungaji van de vart sasa ni halftime.
Half time bado mkuu.Totenham 1 arsenal 0 mfungaji van de vart sasa ni halftime.
Eti watu CDM ingeunganisha kura na CUF wangeing'oa CCM kirahisi! CUF ni kama imekufa Mtatiro huitaji PhD kujifunza kuwa umekalia kuti kavu hebu changanya akili utoe maamuzi magumu kwa faida yako.yaani CUF pamoja na kupewa Helikopta ya bure na bwana zao yaani wamefulia ile mbaya.. hata ile possibilities ya kuzigawa kura sioni hapa.
CUF inakufa kabisa ibaki kulekule Pemba
Subirini vijijini
Na yule wa kunywa sumu sijui hali yake ikoje anavyosikia haya matokeo ya awali.Umeonae! Tutamsaidia kuzivua! Tuombe mungu!
Subiri ushindi itashuka tu...
mwaga ukalale au kunywa sumuSafari lager haishuki kabisa.
What makes you think the way you do? Kwani vijijini kuna watu wa aina gani kwa mtazamo wako? Igunga is a group of scattered villages with one at the center with a street with "taa za barabarani"Jifurahisheni tu nyie subirini matokeo kutoka vijijini ndio mtashanga ccm itakavyopaa
CCM nikama TV ya mbao PHILIPS, Upinzani TV PLASMA .madarakani miaka zaidi ya 40,longo longolo tu,rais wenu alieshinda kwa kishindo alitoa ahadi mpaka azijui yeye mwenyewe na hakika CCM itamfia mikononi mwake.2012 after kikao chake magamba yataachana na kuwa vijigamba. WADANGANYIKA AWADANGANYIKI TENAJifurahisheni tu nyie subirini matokeo kutoka vijijini ndio mtashanga ccm itakavyopaa
Mtokeo haya ni mjini au vijijini mkuu? Kwa jinsi nionavyo kura za kijijini ndizo zitakazoamua nani mshindi.mengine haya shule ya msingi igunga
CCM kituo a,b,c-64,67,70
CDM kituo a,b,c-84,63,66
choma maeneo ya ushirika
CCM 56,55,11
CDM 59,65,62
KITUO HICHI NIMEPOTEZA JINA LAKE MATOKEO YALIKUA HIVI
CCM kituo a,b,c-56,71,63
CDM kituo a,b,c-57,67,85
CUF IMEPATA KURA ZA NAMBA ZA MALAPA NA NIMEONA AIBU KUZIANDIKA. SORRY
Eti watu CDM ingeunganisha kura na CUF wangeing'oa CCM kirahisi! CUF ni kama imekufa Mtatiro huitaji PhD kujifunza kuwa umekalia kuti kavu hebu changanya akili utoe maamuzi magumu kwa faida yako.
CUF inabidi wajipange upya...mengine haya shule ya msingi igunga
CCM kituo a,b,c-64,67,70
CDM kituo a,b,c-84,63,66
choma maeneo ya ushirika
CCM 56,55,11
CDM 59,65,62
KITUO HICHI NIMEPOTEZA JINA LAKE MATOKEO YALIKUA HIVI
CCM kituo a,b,c-56,71,63
CDM kituo a,b,c-57,67,85
CUF IMEPATA KURA ZA NAMBA ZA MALAPA NA NIMEONA AIBU KUZIANDIKA. SORRY