Mchuano katika vituo ya Igunga mjini ni mkali sana, lakini vijijini kwenye watu wengi hali ni tofauti kabisa
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.
Breaking News: Uchaguzi kurudiwa, Vijana wa Red brigades wamesepa na masanduku ya kura katika vituo sita.
Be serious tafadhali.Breaking News: Uchaguzi kurudiwa, Vijana wa Red brigades wamesepa na masanduku ya kura katika vituo sita.
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.
‎Mpya toka Igunga:
Mh Halima Mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko Choma! Pia aliyekuwa diwani wa Igunga Mama Ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki!
Vigogo wa CCM leo asubuhi wote wametoweka Igunga na kurejea Dar!
Jumla ya vituo ni zaidi ya 400 mkuu,, vuta subraCCM 71 37 41 40 63 80 31 59 79 7 65 47 Jumla 620 CHADEMA 91 109 95 47 63 75 59 21 84 19 75 92 Jumla 830 Hivyo ni vituo 12 hadi sasa ,,usiwe mbali mkuu na JF kwa matokeo zaidi,,,source ni ITV na Reinfredy masako na Ufoo Chaloo.
Mkuu kuna kila dalili kuwa wengi watajiunga na CDM kwa kuwa encourage na matokeo haya.Kama wakichukua jimbo lililokuwa linashikiliwa na RA,then what elese can't they do?Inawezekana kabisa kuwa wananchi wameona umuhimu wa kupiga kura na umuhimu wa mabadiliko.Hiyo 2015 ninaweza kuwa on the groung God willing.Nawajulisha wana CDM humu kuwa its time for recruitments.Time has come,and that time is now!Igunga ni zoezi tu, kimbuga kinakuja 2015!! We are tired with this shit brother, makosa yaliyofanyika 2010 hayatajirudia, this time hata wakishinda hapo Igunga CCM lakini CDM wameonyesha nia nzuri.
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.
Mpatie japo maji ajipooze.presha inapanda presha inashuka
Namsubiria yule Fisadi aliyesema atakunywa sumu, sijui ameshanunua ile sumu ilie anywe tuchukue jimbo jingine