Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,395
- 56,096
Dr Rwaitama anahojiwa now SIBUKA tv, maneno anayoyanena kuhusu CCM najiuliza uyo mzee ambaye ni CCM masalia kapata wapi huu ujasiri.
kwa mwendo huu wakati mwingine inabidi kujitoa fahamu...