mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Wakinga wanafanya Retailing/wholesale wkt wachaga sasa hivi wanaondoka kwa kasi huko kwny uchuuzi wana jenga maviwanda na kuwauzia bidhaa hao wakinga huko Kariakoo.
Wakinga ndo kiboko ya Wachaga Kariakoo