jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,454
Dah!Pale Miami ilikuwa taabu tupu! Miaka hiyo especially kuanzia saa sita usiku! Halafu kulikuwa na wadada wakali sana kutoka sehemu mbali mbali mfano Morogoro, kulikuwepo wasomali pia. Hamad dada yake anayeitwa Fatma,kuna wakati ndiye alikuwa pale akisimamia wakati hayuko nk. Niliwahi kuja kumuona kazeeka. Uptown kwa Mukesh bado pako, kwa mbele kuna joint imefunguliwa panaitwa "Bikers". Unyonya bado wako, siyo kwa kasi ile ile, ila bado wako na nguruwe uchomaji ule ule. Changbay napo bado wako na "signature chicken" zao ambazo huweka cabbage na pilipili, Daah! East and west...kwa mama kibello, Changbay, Onyonya Ukunonze kiboroloni, Miami Bar pale kitandu kwa hamadi , Uptown shanty town .... dah