Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

True, ila sasa hivi yuko vizuri sana. Pia ana mashine yake ya kutengeneza kokoto somewhere kuelekea Dar maeneo ya kati, sina uhakika kama ni upareni ama Tanga. Ila anawasupply hao watu wa constructions na hizo materials. Fursa ni nyingi sema uongozi mbovu.
Ukiwa na hii kitu basi wewe uko vizuri crusher inalipa sana.
 
Back
Top Bottom