Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Hahahah pambana na hali yako mama
Nimeanziasha Uzi umekuja kuuvagaa
Punguza shobo
Sishobokei mtu nashobokewa
Nyotaaaa
Unachokitaka wala hutakipata. Sasa naelewa kumbe una kakitu na mie. Wacomment wote mie ndo iwe shobo kama tunajuana aunt? Sishobokei takataka yoyote humu ujue hilo kwanza. Ukianzisha uzi usipotaka watu fulani wacomment weka kabisa sio kutaka ugomvi kwa nguvu.
Nimemaliza.
 
Sikujui hunijui
Naomba achana na mimi please
Umeanza mwenyewe chokochoko
Nimekujibu unakuja kulialia humu?
I repeat pambana na hali yako
Nakuheshimu sana
Kama unataka tuonyeshane nani ni nani endelea
 
Sikujui hunijui
Naomba achana na mimi please
Umeanza mwenyewe chokochoko
Nimekujibu unakuja kulialia humu?
I repeat pambana na hali yako
Nakuheshimu sana
Kama unataka tuonyeshane nani ni nani endelea
Chokochoko kusema nilidhani we ni mwanaume? Acha kutafuta sympathy kwa ugomvi ulioleta mwenyewe. Wapi nimekuandikia vibaya? Wewe si ndo umeanza? Tafuta mjinga mwenzio umtishie akujue we nani. Ujulikane we nani umekua Nyerere au uko kwenye hela? Tunajua watu wenye kazi nao sio watu wanaoleta midomo mirefu wakijibiwa wanalia lia wakati wameyatafuta wenyewe. Mwanakulitafuta mwanakulipata. Usilie ukichokoa mtu akakujibu. Ulitaka uandike shudu zako nikukalie kimya? Kama ambavyo na wewe hunijui usinizoee kiboya mbweha wee
 
wala usitafakari upepo, jf memba usiyemjua hesabu ni upepo, upepo usikunyime amani, huku tumepitia mengi mazuri na mabaya, uache upepo upiteee
Please stay on your lane kiroho safi
Mshauri rafiki yako
Sio kila mtu wa kumparamia
 
Sio Babu anaitwa "Bob Sambeke" Huyu Jamaa nilifahamiana nae Mwaka 2012 Nakumbuka nilikuwa Kidato cha Nne, Nilifahamiana nae Baada ya Kukatiza uwanja Mdogo wa Ndege wa soweto (Nikiwa natoka TPC,Kupitia Dar es Salaam Street), Kukatiza Pale tukakamatwa na walinzi wa Airport pale, wakatuonesha Sheria na ibara kibao za Uchukuzi wa Anga wakidai tulipe Dola 200 wakati ule kama 400K, tulikuwa wanne.. Ndipo akatokea Huyo mtu anaitwa Bob Sambeke Wakati ule Bob alikuwa mtu wa makamo na alikuwa akimiliki ndege Mbili zilizokuwa zikipaki Pale uwanja wa Ndege SOweto.. Bob alikuwa mtu Mkorofi.. Katika Hali yake akaanza kutupigisha story (Bob Hadi walinzi walikuwa Wakimwogopa).. Kilatini kuna Msemo unasema "In Vino Veritas" yaani katika Pombe/Kilevi kuna ukweli..Muhusika lazima Aongee ukweli Fulani!
Bob akasema yeye hawezi kufa kwa ugonjwa, Kifo chake kinatakiwa kiwe cha Risasi au Ajali ya Ndege!
Baada ya Bob kuondoka Ndipo Yule Mlinzi akafunguka kuwa Bob alishawahi kuwa Jambazi na Mali zake alizichuma kwa Njia hiyo hasa hasa, pia ikumbukwe Bob alishawahi Kuwa Mwanajeshi...Alikuwa Tajiri Mkubwa Mno!
Muda Mchache Baadaye Nahani 2012/2013 Bob alipata crash ya Ndege Uwanja wa Ndege Arusha Pale..Bob Alifariki (Mungu Amrehemu)
Alikuja Kuzikwa Pale Parokia ya Karanga Moshi..Kanisa lililokuwa karibu sana na Bweni letu... Sikuhudhuria Misa ila niliona Barabara yote inayoelekea Kanisani kama 1 KM ilijazwa na Magari... Nasikia Kanisani hawakuficha kusema Kuwa Bob aliwahi kuwa Jambazi!

Kwako Mtoa Mada!
Hahaha kwangu mimi nini sasa?
Hahaha
 
Please stay on your lane kiroho safi
Mshauri rafiki yako
Sio kila mtu wa kumparamia
Amronyesha hisia zake, kubaliana na matokeo Iron, hata kama ongekuwa wewe mtu akikutaja visivyo ungeumia, nafikiri ni busara ungemwomba mssmaha kwani sisi wote huteleza nawe kubali uliteleza, nilitangulia pia kukwambia usingetaja jina, nyie wote rafiki zangu ki jf, pia Mzigua90 sijawahi ona akigombana, naomba mmalizane kwa amani tu
 
Chokochoko kusema nilidhani we ni mwanaume? Acha kutafuta sympathy kwa ugomvi ulioleta mwenyewe. Wapi nimekuandikia vibaya? Wewe si ndo umeanza? Tafuta mjinga mwenzio umtishie akujue we nani. Ujulikane we nani umekua Nyerere au uko kwenye hela? Tunajua watu wenye kazi nao sio watu wanaoleta midomo mirefu wakijibiwa wanalia lia wakati wameyatafuta wenyewe. Mwanakulitafuta mwanakulipata. Usilie ukichokoa mtu akakujibu. Ulitaka uandike shudu zako nikukalie kimya? Kama ambavyo na wewe hunijui usinizoee kiboya mbweha wee
Nyie ni dada zetu, mmekoseana wote, kiroho safi sameheaneni please, sisi ni wanadamu hatujakamilika, The iron batterfly samehe, Mzigua90 samehe pia
Please stay on your lane kiroho safi
Mshauri rafiki yako
Sio kila mtu wa kumparamia
 
Anaitwa Anselim Kavishe maarufu Njiwa Hardware,alishafariki kitambo alikuwa mze wa pessa na totooooooosssssss kwa kwenda mbele,ukimkuta Mkulima Baa au Sterio Baa iliyokuwa Opp.Tanesco ni mwendo wa kuku mchemsho kwa saaana na lundo la wapambe.lakini ndo hivyo tena maisha matamu lakini mafupi R.I.P Njiwa.
Hivi kwanini Wachaga enzi hizo walipenda kuziita bar zao majina ya Stereo,ukikuta baa imeandikwa sijui sterio jua ya Mchaga,Kinondoni Stereo
 
Chokochoko kusema nilidhani we ni mwanaume? Acha kutafuta sympathy kwa ugomvi ulioleta mwenyewe. Wapi nimekuandikia vibaya? Wewe si ndo umeanza? Tafuta mjinga mwenzio umtishie akujue we nani. Ujulikane we nani umekua Nyerere au uko kwenye hela? Tunajua watu wenye kazi nao sio watu wanaoleta midomo mirefu wakijibiwa wanalia lia wakati wameyatafuta wenyewe. Mwanakulitafuta mwanakulipata. Usilie ukichokoa mtu akakujibu. Ulitaka uandike shudu zako nikukalie kimya? Kama ambavyo na wewe hunijui usinizoee kiboya mbweha wee
Sasa wewe ulozaliwa na kukulia sehemu ambayo mwanamke anachukuliwa kama chombo cha starehe nakujibu nini?
Tuma matokeo yako ya kidato cha nne kama wewe mwanamke kweli nami ntatuma yangu
Usishindane nami
Pambana na hali yako
Wakati wanakufukua wacheza ngoma and all that nilikuwa darasani
Nimeshika namba moja toka primary hadi chuo kikuu,gpa yangu huna na kamwe hata urudi darasani Huwezi ipata
Remember mimi si mwalimu
Unayoyawaza nishayafanya sana
I repeat stay on your lane
 
Amronyesha hisia zake, kubaliana na matokeo Iron, hata kama ongekuwa wewe mtu akikutaja visivyo ungeumia, nafikiri ni busara ungemwomba mssmaha kwani sisi wote huteleza nawe kubali uliteleza, nilitangulia pia kukwambia usingetaja jina, nyie wote rafiki zangu ki jf, pia Mzigua90 sijawahi ona akigombana, naomba mmalizane kwa amani tu
Amenikera sana huyu mtu. Sijamkosea popote anakuja na pumba zake. Halafu akategemea mimi nimkalie kimya? Asahau. Ningemkosea popote hata kwa utani ningeomba msamaha. Ila huyu hamna popote nimemvunjia heshima. Yeye kaanza mimi namaliza atulie dawa imuingie asijite kachokozwa wakati yeye ndo mchokozi.
Kweli sipendi kugombana ila huyu mjinga kavuka mipaka yangu ya kumvumilia mtu tena nisiemjua kama yeye
 
puuzia bhana, hupendezi kugombana mpendwa
 
Litakuwa jambo jema kama hizo documents zitakuwa sio feki hivyo ukweli utajulikana!!
Hahahha wa kuthibitisha documents halali za umiliki wa ardhi ni msajili wa hati,unajua hilo?
Kama uko moshi nenda kuna ofisi ya msajil wa hati kanda,nenda lipia elfu 40 halafu lete majibu humu
Tukae kwenye mada please
 
Sasa wewe ulozaliwa na kukulia sehemu ambayo mwanamke anachukuliwa kama chombo cha starehe nakujibu nini?
Tuma matokeo yako ya kidato cha nne kama wewe mwanamke kweli nami ntatuma yangu
Usishindane nami
Pambana na hali yako
Wakati wanakufukua wacheza ngoma and all that nilikuwa darasani
Nimeshika namba moja toka primary hadi chuo kikuu,gpa yangu huna na kamwe hata urudi darasani Huwezi ipata
Remember mimi si mwalimu
Unayoyawaza nishayafanya sana
I repeat stay on your lane
Unaongelea matokeo ya form four? Nilijua utataka hata ya undergraduate jamani? Nimezaliwa Tanga mapenzi yalikozaliwa na kichwani inachaji kuliko wewe unajiona umesoma peke yake. Kasome PhD ndo uje uniombe cheti hapo utanishinda kwingine peleka mbele utahira wako.
 
Back
Top Bottom