Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Mkuu maneno mazito sana haya

Binti ni tamaa tu uyo Mkuu, mjini hapo!!!kama kweli alimwagwa na alikua ana nia angekutafuta kitambo kukuomba msamaha mrudiane bongo ndogo iyo yaani siku mbili tu angekupata, sio kukutana ki accidentally ndio aanze kukuhitaji, mnafiki kaiona Range iyo stuka!
 
ohooo haujitambui kijana..its like a drama..kama wataka kuendelea na dramas u just keep on na huyo ex wako.
siwez kukushaur lkn nachoweza kusema ni kwamba kwanza watoto wa chuo ni pasua kichwa na huwa wanaweza kukugeuka hata ndan ya siku..pili hana mapenz ya dhat inaelekea kutokana na maelezo yako huyo bint anapendeka kwa hela na magar mazuri.
tatu bado hajakua na hasa hana akil ya maisha anapenda maisha ya tamthilia..
likubwa kuliko yote anaweza kua kahaba coz kama kaenda mliman city bila shughul maalum au yeyote ni dhahir kua kaenda kutafuta mweny hela so kua makin..
mwisho malizia mwenyw kwa busara zako.....
 
Asante sana mkuu kwa maono haya!!!
 
mkuu unajua hata mimi nilisoma mara mbili ndio nikamuelewa huyu jamaa....vijana wa siku hizi wakisema 'MWANANGU' wanamaanisha 'BEST FRIEND' sio mtoto wa kuzaa.

hahahahahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................haki ya nani! Unajua RRONDO we ndo umenifumbua macho. Kumbe ni swala la generation gap limehusika hapa? Osokoni nisamehe sana maana mi mmoja wa waliokushangaa kwa kumshambulia kijana. Yaani nimecheka mpaka machozi yamenitoka. JF jamani raha.
 
Binti ni tamaa tu uyo Mkuu, mjini hapo!!!kama kweli alimwagwa na alikua ana nia angekutafuta kitambo kukuomba msamaha mrudiane bongo ndogo iyo yaani siku mbili tu angekupata, sio kukutana ki accidentally ndio aanze kukuhitaji, mnafiki kaiona Range iyo stuka!

Nimekusoma mkuu
 
wakuache.gif
na range uliyoazima! lols... madem wa bongo bana, hadi machozi? hapo ungetaka papuchi, angekupa na tigo nyongeza!!!!
 
Kuachwa bila sababu ni sawa na kutapika waweza kula matapishi wewe Mimi mwenyewe yalinikuta hayo na ex wangu wakati nipo chuo nilichanganyikiwa sana mpaka nikahama chuo ila ya mungu mengi huyo demu nimekutana naye tena tunafanya ofisi moja hivi sasa kazalishwa na talaka kapewa malipo hapahapa hana Amani akiniona
 
We unatamani jinsi alivyokatika yeye atamani mkoko wa kuazima....vilaza hakuna mapenzi bali matamaa na mademu wengi wa chuo ndio zao....ndio maana dr naniii pale muhas anabadilisha kama nguo....ushauri achana na tamaa za kimwili tafuta aliye makini
 
wakuache.gif
na range uliyoazima! lols... madem wa bongo bana, hadi machozi? hapo ungetaka papuchi, angekupa na tigo nyongeza!!!!

Hahahaa

Mkuu ungeyaona yale machozi ungemuonea huruma!
 
Nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!

Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (Range rover evoque) nikamuachia la kwangu (Hyundai Coupe Sports car).

Sasa wakati napark pale Mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!

At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia Mlimani ndani!

Akaanza kuning'ang'ania, ooh Amicus I missed you, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini M/city? halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na Hyundai yangu.

Mara ooh naomba tuongozane! wakati hajui naelekea wapi!

Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! akawa analisifia sana gari! wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! hadi watu wakawa wanatushangaa! na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!

Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.

Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!

Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!

Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!

Yeye yupo Chuo pale Muhimbili anasomea Udaktari.

Nina uhakika hayumo humu JF coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.

Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.

Wewe Ni Muongo!
 
Mkuu huo mzingo kabila gani mkuu km gari tu inamchanganya basi ukiwa na mnyama akatizi .lete namba kesho nimtokee km nimaharange ya Mbeya nitakustua.
 
Mwanaume ana umia mara moja inakua lesson tosha sasa ww naona unataka kumpa mtu nafasi ya kukumaliza tena. Go on with your life.. Hao viumbe hawaeleweki kabisa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom