Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Kwa hiyo ulionewa kwenye icho kibuti sio? Naona umefarijika naye kupigwa cha mbavu. Ila kuachwa sijui kama ntaweza tena na uzee huu kuvumilia... labda apotee kisailensa au tuachane. Ila vinginevyo... its done its done.. onwards onwards... no turning back..
 
hahahahhahahaha, inatia huruma sana hasa pale mabinti tunavyoshindwa kujizuia na kushoboka na wanaume wenye maisha mazur. Huwa inanisikitisha kweli. Yaani unashoboka hadi mwenyewe anajua. Tujifunze kujikaza mwenzangu na kujifanya kama umeyazoea hivi na kuona vya kawaida.
Liko wazi mkuu, huyo kapenda range na siyo anataka kurudi kwako kwa mapenzi.
 
Mkuu Amicus Curiae siku hizi unaishi Dar? Nakumbuka uzi wako wa kuachiwa mtoto ubungo maelezo yake yamegongana na ya uzi huu! Au uzi upi kati ya huu na ule wa kuachiwa mtoto ubungo ni wa magumashi?
Nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!

Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (Range rover evoque) nikamuachia la kwangu (Hyundai Coupe Sports car).

Sasa wakati napark pale Mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!

At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia Mlimani ndani!

Akaanza kuning'ang'ania, ooh Amicus I missed you, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini M/city? halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na Hyundai yangu.

Mara ooh naomba tuongozane! wakati hajui naelekea wapi!

Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! akawa analisifia sana gari! wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! hadi watu wakawa wanatushangaa! na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!

Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.

Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!

Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!

Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!

Yeye yupo Chuo pale Muhimbili anasomea Udaktari.

Nina uhakika hayumo humu JF coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.

Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.
 
Last edited by a moderator:
Duh mie siwezi uza na gari ya mtu aisee
 
Tumia akili mkuu ,usitumie hisia, jiulize kilichomkimbiza kwako wakati ule ni kipi na sasa kipi kinachomrudisha? Hakujali kukuumiza, alijali hisia zake. Sasa wewe endelea kumng'ang'ania sisi tunasubiri episode 3, tupo hapa tutakushauri.
 
Huyu ndo yule aliyekuwa anasita kumpokea yule mtoto ama? Anyway ,nini ilikuwa sababu ya yeye kukuacha?na leo? Anyway sikiliza moyo wako mapenzi hayanaga ushauri !!!!
 
Stori nyingine bwana.......umeazima gari la mwanao....hadi mwanao ana gari tena R/Rover Vague maana yake ww ni mtu mzima sana .......umeachana na huyo girl wako miezi6 iliyopita na bado unampenda pamoja na kwamba alikumwaga. Hivi mtu umri wa kwako ni wa kubabaika na mapenzi ya akina girl?????? Yeye yupo chuo mlimani anasomea udaktari..... Udaktari wa binadamu au PhD???????? Kwa vyovyote alivyo, wewe na yeye wote mawenge. Stori yako haiingii masikioni mwa mtu mwenye akiri. Kawatafute mbulula wenzio na uludi ukajipange upya.
 
Mkuu huyo mpige chini km alikubwanga achananaye.unaweza ukamrundia akajakukuumiza. Zaidi ya hapo inamaana kipindi uko naye mshikaji naye alikua anamenga mzingo punda nyama huyo atakuzingua zaidi ya hapo
 
unataka umepe jibu la kumuowa(muanze mipango ya harusi na kujitambulisha) au kumgegeda kwanza kimjini mjini ?

Mkuu ndoa bado kwanza

Nataka nimgegede huku nampima kama amejuta kweli na kabadilika
 
Ok, mrudie na akikupiga tena kibuti baada ya kugunddua (Range rover evoque) si yako kumbe una ile ile Hyundai Coupe Sports car, usisite kuja kutujulisha!

Mkuu ungenishauri kuliko kunikatisha tamaa

Leo yamenikuta mimi kesho kwako
 
kupima afya kutasaidia nini angali binti yuko chuo na jamaa yuko mtaani na hawana comitted relationship? yaani girl akiwa na jamaa alipata mwingine akammwaga jamaa, baada ya yeye kumwagwa sasa anarudi kwa jamaa, jamaa akirudi wakipima hawana, jamaa wa mtaani ataendelea kutafuta wa kupumzkia kipindi girl yuko bize na mitihani na girl huko anaweza ona jamaa bomba zaidi sasa hata leo wakiambiwa hawana vipi kesho. ? au wawe wanapima kila siku?

Kazi ninayo mkuu...

I have to think big before deciding...
 
kwanini we hukumwambia kama hilo gari sio la kwako? ungetafuta njia yoyote na kumuweka waz kuhusu hilo gari kama uliona alionekana kuzuzuka nalo. Anyway! kwakua bado unampenda, basi fungua ukulasa mpya na uendelee kula uzazi!! teh teh teh teh teh!!

Mkuu ningeanzaje anzaje kumwambia?
 
Mademu wa vyuo vya afya huwezi kaa naye in a relationship mkafika popote. Wana stress nyingi zinazowafanya wawe wepesi kuona kama wanazinguliwa pale anapoona humjali vile ye anataka. Labda awe amemaliza chuo. ni rahisi sana kupitiwa na mshikaji atakayemjali kidogo akiwa na stress zake. In short ni Padua kichwa. This is my 5 years experience with female medical students

Is that so?!!

NakuPM mkuu
 
Back
Top Bottom