The woman of my life (Mwanamke wa maisha yangu)

MFAS

Member
Mar 12, 2017
17
26
Kwa majina naitwa MFAUME A MRISHO (majina halisi),,nimezaliwa na kukulia manispaa ya Morogoro,,umri miaka 27(sio umri halisi),,nimeoa,,mke wangu ni mzaliwa wa Morogoro pia,,umri miaka 27(sio umr halisi).Napenda kushea nawe mwanaforum mwenzangu simulizi yangu ya mapenzi na mwanamke wa thamani kubwa sana kwangu.Simulizi hii ni ya kweli kabisa,na sio ya kufikirika.

Anaitwa ASMAA,,,nilisoma na binti huyu (ambaye kwa sasa ndio mke wangu) katika shule ya sekondari Morogoro,, iliyopo manispaa ya Morogoro ikiwa imepakana na hospitali ya rufaa ya mkoa (MOROGORO REFERRAL HOSPITAL). Wakati huo hakuna ata mmoja aliyekuwa anajua moyoni mwake kama siku moja tungekuja kuishi kama mke na mume,,infact hatukua na mazoea yoyote Yale mengine zaidi ya mazoea ya kawaida kama wanafunzi, Asmaa alikua ni binti mwenye haiba,mcheshi(mpaka akuzoee),,mchaMungu,mwenye haya sana asiyeweza kukutazama usoni kwa zaidi ya sekunde 5(mpaka sasa yuko hivyo),,,tulikua tukiitana kaka na Dada, iliishia hivyo.

Tulihitimu elimu ya kidato cha NNE mwaka 2010,na hapo tukapotezana kwa takribani miaka 2 maana sote tulifaulu vizur matokea ya kidato cha NNE na kila mmoja akipangiwa shule atakayokwenda kwa ajili ya elim ya kidato cha Sita.nilipangiwa Kwiro boys High School, Mahenge-ulanga(2011-2013),,na yeye akapangiwa shule ya serikali pia huko Mkoani Tabora.

Tulikutana tena baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita 2013,,na hapo ndipo safari yetu ya mapenz ilipoanzia,binti huyu alikua na msimamo thabit na tulikula kiapo cha kutofanya chochote (mapenzi) kabla ya ndoa.Hili niliweza kulihimili pia kwa kua nililelewa katika maadili ya dini sana nyumbani,hivyo namshukur Mungu,kwa kweli halikunishinda.

Hali ikaenda hivyo,mpaka matokeo ya kidato cha sita yalipotoka.Kwa bahati nzuri Asmaa yeye alifanikiwa kufaulu na kuendelea na Elim ya juu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).Kwa upande wangu matokeo hayakua mazuri,,nilihuzunika sana,,hasa ukizingatia na hali ya familia yangu,haikua ikijimudu kifedha.Nilikaza moyo,skutaka kukata tamaa,nikajiunga na chuo kimoja wapo pale Morogoro katika fani ya Utaalam wa Maabara,ngazi ya Diploma huku nikiwa sio mnufaika wa mkopo.

Hali ilikua ngum sana chuoni hasa katika suala zima la ulipaji wa ada na michango mengine pale chuo kutokana na kuwa vibaya kiuchumi,,Asmaa alisimama na Mimi kwa kunisaidia ada pale nilipokwama,hakua na uwezo na familia yake ilikua yenye kipato cha wastani,,binti wa watu alijibana kutokana na mkopo aliokua anapata,alijibana sana na kunisaidia Kwa kweli.

Alhamdulillah, yakapita,tukamaliza elimu zetu mwaka 2016,,na mwaka 2017 tukafunga ndoa rasmi,,huku nikiwa sio mwajiriwa wa kudum au mkataba(sikuwa na kazi rasmi),,zaidi ya kufanya kazi za vibarua na kufundisha watoto (Tuition Programs).Maisha ya ndoa hayakua rahisi,,ukizingatia sikua na uwezo vizuri ya kuweza kuhimili mahitaji ya kila siku kutokana sababu ambayo nimeieleza hapo juu.Pamoja na yote,,furaha ndio ilikua kila kitu kwetu,hatukujali kwa tuliyokua tunayapitia,almuradi nafsi zetu ziliridhiana, kustahamil uku tukiongozwa uvumilivu kwa Hali zote.

Mungu si Athumani,,mke wangu alishika ujauzito(mwaka huo huo 2017),,furaha ikaongezeka ndani ya nyumba,,,lakini Hali ya maisha iliendelea kuwa ngumu sana kwa upande wetu,mengi katika magumu tuliyaficha hatukutaka kuwapa wazee wetu presha zaidi.Tuliishi kwa dhiki sana,,sitakuja nisahau siku hiyo,niliamka kama kawaida nikajihimu na kwenda mizungukoni (kumbuka,hatukua tumekula usiku wake),,,Wakati huo ujauzito wa mke wangu ulikua umefikisha takriban miezi mitano (5).

Nilizunguka mchana kutwa lakini sikufanikiwa hata senti tano.Nikarudi nyumbani yapata saa 2 ya usiku nikiwa nimebeba rizk ya maembe mawili katika mfuko wa rambo, niliyoyapata katika kuhangaika uku na kule.

Niliingia ndani na kumkuta mke wangu Asmaa akiwa amechoka kwa njaa,na ile hali yake ya ujauzito,,,,,mke wangu aligoma kurud kwao au kwenda kwetu akiapa kua asingeweza kuniacha peke yangu katika kipindi hiki kigumu,,,"M,nahitaji saikolojia yako iwe sawa,wakati wote",,nayakumbuka sana maneno haya ya mke wangu kila Mara...maisha,,acheni tu ndugu zangu.Aliponiona,,kama kawaida yake,alisimama na kunipokea,tabasamu la matumaini,upendo na faraja halikuuacha tupu uso wake.

Nikamkabidhi Yale maembe mawili mabichi na kumwambia,,,,,,"mke wangu rizki alonijaalia Mungu Leo ni haya maembe mawili".Aliyapokea na kutabasamu huku akiniambia maneno ya kunipa moyo,,,"Usjali mume wangu,ni mapenzi ya Mungu,Wakati mwingine atakupa zaidi kwa huruma na mapenzi yake.Asmaa alikaa chini na kuyaandaa ili tule,kisha tulale,,,,sio siri,nilipomtupia jicho mke wangu pale chini,,nilijikuta nashindwa kuyazuia machozi yasishuke machoni pangu.NILILIA mtoto wa kiume kwa uchungu mkuu huku nikifkiria,,,,,,baada ya kuamka na njaa,na kushinda kutwa na njaa,leo hii namletea binti wa watu ambaye amebeba kiumbe tumboni mwake ,maembe mawili mabichi???nilimfkiria sana yeye na mwanetu wa tumboni,,sio siri,iliniuma sana ndugu zangu.

Binti wa watu alifanya kazi ya kunibembeleza na kunifariji,,"jikaze Mfaume,wewe ni baba sasa,yatapita tu'"daah,acheni nyie...ndivyo alivyoniambia,Asmaa wangu.Sio siri,,nilipata nguvu na moyo wa kupambana zaidi kwa ajili ya mke wangu, mwanetu na familia kwa ujumla.Hali iliendelea hivi kwa kitambo,,,miez 9 ilipowadia mke wangu akajifungua mtoto mzuri wa kiume,tukamwita IRFAN (maana yake mwenye akili,mwenye busara)

Yapata miezi miwili mbele baada ya mke wangu kujifungua,,alianza kuumwa ugonjwa usioeleweka,Hospitali haukuonekana,miguu ilimsumbua sana akawa hawezi kutembea,alipungua sana,,akawa anapoteza nafahamu.Wakati huu nilikua nafanya kazi ya kuuza gesi za kupikia majumbani kwenye duka la watu,maeneo ya rombo-Mafiga,Morogoro manispaa (wenyeji watakua wanapajua),,ilinibidi nitembee kwa miguu kila siku kutoka ninapofanyia kazi mpaka hospital ya ST.Thomas (Kilakala-mzambarauni) takriban umbali wa km 7.ilibidi niache kazi kwa muda niwe karib na mke wangu, na mwanangu,mana hali yake ilinitisha,mwenye duka hakua na namna ,ilibidi aajiri mtu mwingine.Wakati huo nilikua kama MTU niliechanganyikiwa,skujali kuhusu kula yangu wala vaa yangu, ungeweza kuniita chizi,nashkur mola nilikua najitambua (sensitivity).

Picha ya mke wangu akiwa amelala hana fahamu ametundikiwa dripu,,huku mwanetu mdogo mdogo sana akiwa amelala pembeni yake (bahati nzuri hakuwa mlizi),,ziliniliza sana na hakika sitasahau(Wakati huu tulisharud kwa wazee baada ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba).Kwa mapenzi ya Mungu nikapata tena kazi ya muda mfupi sana (almost siku 6 hivi) katika karakana ya Reli morogoro,Mimi na wenzangu kadhaa ya kusafisha maboggies (locomotive's) au vichwa vya treni vilivyochoka ili vifufuliwe upya.Wale wataalam wa mambo ya treni mtakua mnanielewa vizuri.

Wakati huo sasa tulikua tunalipwa kwa siku elfu 10,japo ilikua ni kazi ngumu sana,,ukizingatia sikua na ujuzi wowote lakini nilipambana hasa nilipokua nikiwafkilia wapendwa wangu uko hospital. Tulifanya kazi ile kwa kipindi icho pekee,mfumo wao wa ajira ukabadilika hivyo tukaenguliwa.Hali ngumu ya maisha iliendelea uku nikipambana nayo na kwa uwezo na Huruma ya mwenyeziMungu,,,mke wangu alipona katika namna ambayo hakuna aliyetegemea,akaanza kutembea vizuri japo alikua amedhoofu kwa Wakati huo.

Wahenga wanasema,,,kadiri kiza kinavyozidi,,ndivyo nuru ya alfajir inakaribia.Wakati huo nilikua nimekata tamaa kabisa ndipo kwa mapenzi yake Mola,zikatoka ajira za serikali na nikafanikiwa kupata kazi ya kuhudumu kama mtaalam wa maabara(kumbuka hii ni fani yangu niliyosomea),,katika shule moja ya sekondari iliyopo mkoani Iringà,,(mwanzoni mwa mwaka 2019).

Pia kipindi kifupi baada kuanza kazi mkoani Iringa,mke wangu nae akaajiriwa katika fani ya ualim wa masomo ya biashara katika shule moja ya sekondari mkoani Mtwara(jina limehifadhiwa),,,Kwa kweli japo tupo mbalimbali kutokana na majukumu mapya,namshkur mwenyeeziMungu Kwa kutupa faraja baada ya kutupitisha katika kipindi kigumu sana cha maisha ya ndoa,kubwa zaidi mke wangu na mwanangu wote wameimarika vizuri na wako vyema kabisa

THANKS TO THE ALMIGHTY LORD OF THE UNIVERSE,,,kwanini mke wangu ni mwanamke wa maisha yangu???(A WOMAN OF MY LIFE)..nitataja sababu chache zifuatazo,,,1),,,,Ni mwanamke mvumilivu asiyekata tamaa,alienivumilia hali yangu ngumu sana ya maisha na kunitia moyo pale nilipokatà tamaa (2) Mwanamke aliyefanya yote hayo kwa mapenzi makubwa sana kwangu pasina shaka yoyote. ,,,(3)Mama bora aliyenihurumia na kunifarji mpaka sasa tulipofikia tukiwa ni wenye furaha sana....naanzaje kumkwaza au kumuacha mwanamke kama huyu???!kwangu ni kama almasi niliyoiokota mchangani,,,Namuombea sana mke wangu mola amlipe kheri duniani na amjaalie mwisho mwema kabisa,Na akutane na mola wake akiwa anatabasamu...Ameen,,,nampenda sana,,,,asanteni Kwa kunifatilia,,nawasilisha.
 
Subiri afe ndio umsifie hawatabiriki hao
 
Daah mkuu hii imenigusa sana aisee. Aisee bro mtunze sana huyo mwanamke... Ni wachache sana waliobaki. (By the way nakufahamu sana tumesoma wote Kwiro
in fact tumelala bweni moja)
Kuna wakati mtu unajihisi unapitia magumu kumbe hujafika hata nusu ya mwenzako.
 
Asiyeshukuru kwa kidogo, hata kwa kikubwa hatushukuru. Wangapi ambao ndoa zao zimevunjika kwa sababu ya changamoto za kuyumba kiuchumi? Mjifunze kuappreciate hata yale ambayo mnayaona madogo kwa wenza wenu; sio unakaa unasubiri aharibu ili useme nilijua tu. Huyo ni mwanamke wa kusifiwa haswa, watu wanayumba tu kidogo mke ashahamia kwa michepuko ooh.
Subiri afe ndio umsifie hawatabiriki hao
 
Nimejisikia kutokwa na machozi hasa hapo mlipokula maembe mabichi mkalala na hapo alipokua mgonjwa na mtoto pembeni imeniuma sanaaa. Mungu awape furaha maana karaha mmeshazipitia.

Wanawake wachache mno wa ivyo. Shukuru Mungu upate mwanaume mwema, mpole, mwenye hofu na Mungu hata kama uwezo wake ni mdogo. Wangapi wenye hela zao wanawanyanyasa wake zao na kuwafukuza!!! Lakini dunia ya sasa kumpata mwanaume alietulia ni nadra mno, kwa wanawake pia hivyo hivyo, wewe na bahati yako kamanda.
 
Kwa majina naitwa MFAUME A MRISHO (majina halisi),,nimezaliwa na kukulia manispaa ya Morogoro,,umri miaka 27(sio umri halisi),,nimeoa,,mke wangu ni mzaliwa wa Morogoro pia,,umri miaka 27(sio umr halisi).Napenda kushea nawe mwanaforum mwenzangu simulizi yangu ya mapenzi na mwanamke wa thamani kubwa sana kwangu.Simulizi hii ni ya kweli kabisa,na sio ya kufikirika.

Anaitwa ASMAA,,,nilisoma na binti huyu (ambaye kwa sasa ndio mke wangu) katika shule ya sekondari Morogoro,, iliyopo manispaa ya Morogoro ikiwa imepakana na hospitali ya rufaa ya mkoa (MOROGORO REFERRAL HOSPITAL). Wakati huo hakuna ata mmoja aliyekuwa anajua moyoni mwake kama siku moja tungekuja kuishi kama mke na mume,,infact hatukua na mazoea yoyote Yale mengine zaidi ya mazoea ya kawaida kama wanafunzi, Asmaa alikua ni binti mwenye haiba,mcheshi(mpaka akuzoee),,mchaMungu,mwenye haya sana asiyeweza kukutazama usoni kwa zaidi ya sekunde 5(mpaka sasa yuko hivyo),,,tulikua tukiitana kaka na Dada, iliishia hivyo.

Tulihitimu elimu ya kidato cha NNE mwaka 2010,na hapo tukapotezana kwa takribani miaka 2 maana sote tulifaulu vizur matokea ya kidato cha NNE na kila mmoja akipangiwa shule atakayokwenda kwa ajili ya elim ya kidato cha Sita.nilipangiwa Kwiro boys High School, Mahenge-ulanga(2011-2013),,na yeye akapangiwa shule ya serikali pia huko Mkoani Tabora.

Tulikutana tena baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita 2013,,na hapo ndipo safari yetu ya mapenz ilipoanzia,binti huyu alikua na msimamo thabit na tulikula kiapo cha kutofanya chochote (mapenzi) kabla ya ndoa.Hili niliweza kulihimili pia kwa kua nililelewa katika maadili ya dini sana nyumbani,hivyo namshukur Mungu,kwa kweli halikunishinda.

Hali ikaenda hivyo,mpaka matokeo ya kidato cha sita yalipotoka.Kwa bahati nzuri Asmaa yeye alifanikiwa kufaulu na kuendelea na Elim ya juu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).Kwa upande wangu matokeo hayakua mazuri,,nilihuzunika sana,,hasa ukizingatia na hali ya familia yangu,haikua ikijimudu kifedha.Nilikaza moyo,skutaka kukata tamaa,nikajiunga na chuo kimoja wapo pale Morogoro katika fani ya Utaalam wa Maabara,ngazi ya Diploma huku nikiwa sio mnufaika wa mkopo.

Hali ilikua ngum sana chuoni hasa katika suala zima la ulipaji wa ada na michango mengine pale chuo kutokana na kuwa vibaya kiuchumi,,Asmaa alisimama na Mimi kwa kunisaidia ada pale nilipokwama,hakua na uwezo na familia yake ilikua yenye kipato cha wastani,,binti wa watu alijibana kutokana na mkopo aliokua anapata,alijibana sana na kunisaidia Kwa kweli.

Alhamdulillah, yakapita,tukamaliza elimu zetu mwaka 2016,,na mwaka 2017 tukafunga ndoa rasmi,,huku nikiwa sio mwajiriwa wa kudum au mkataba(sikuwa na kazi rasmi),,zaidi ya kufanya kazi za vibarua na kufundisha watoto (Tuition Programs).Maisha ya ndoa hayakua rahisi,,ukizingatia sikua na uwezo vizuri ya kuweza kuhimili mahitaji ya kila siku kutokana sababu ambayo nimeieleza hapo juu.Pamoja na yote,,furaha ndio ilikua kila kitu kwetu,hatukujali kwa tuliyokua tunayapitia,almuradi nafsi zetu ziliridhiana, kustahamil uku tukiongozwa uvumilivu kwa Hali zote.

Mungu si Athumani,,mke wangu alishika ujauzito(mwaka huo huo 2017),,furaha ikaongezeka ndani ya nyumba,,,lakini Hali ya maisha iliendelea kuwa ngumu sana kwa upande wetu,mengi katika magumu tuliyaficha hatukutaka kuwapa wazee wetu presha zaidi.Tuliishi kwa dhiki sana,,sitakuja nisahau siku hiyo,niliamka kama kawaida nikajihimu na kwenda mizungukoni (kumbuka,hatukua tumekula usiku wake),,,Wakati huo ujauzito wa mke wangu ulikua umefikisha takriban miezi mitano (5).

Nilizunguka mchana kutwa lakini sikufanikiwa hata senti tano.Nikarudi nyumbani yapata saa 2 ya usiku nikiwa nimebeba rizk ya maembe mawili katika mfuko wa rambo, niliyoyapata katika kuhangaika uku na kule.

Niliingia ndani na kumkuta mke wangu Asmaa akiwa amechoka kwa njaa,na ile hali yake ya ujauzito,,,,,mke wangu aligoma kurud kwao au kwenda kwetu akiapa kua asingeweza kuniacha peke yangu katika kipindi hiki kigumu,,,"M,nahitaji saikolojia yako iwe sawa,wakati wote",,nayakumbuka sana maneno haya ya mke wangu kila Mara...maisha,,acheni tu ndugu zangu.Aliponiona,,kama kawaida yake,alisimama na kunipokea,tabasamu la matumaini,upendo na faraja halikuuacha tupu uso wake.

Nikamkabidhi Yale maembe mawili mabichi na kumwambia,,,,,,"mke wangu rizki alonijaalia Mungu Leo ni haya maembe mawili".Aliyapokea na kutabasamu huku akiniambia maneno ya kunipa moyo,,,"Usjali mume wangu,ni mapenzi ya Mungu,Wakati mwingine atakupa zaidi kwa huruma na mapenzi yake.Asmaa alikaa chini na kuyaandaa ili tule,kisha tulale,,,,sio siri,nilipomtupia jicho mke wangu pale chini,,nilijikuta nashindwa kuyazuia machozi yasishuke machoni pangu.NILILIA mtoto wa kiume kwa uchungu mkuu huku nikifkiria,,,,,,baada ya kuamka na njaa,na kushinda kutwa na njaa,leo hii namletea binti wa watu ambaye amebeba kiumbe tumboni mwake ,maembe mawili mabichi???nilimfkiria sana yeye na mwanetu wa tumboni,,sio siri,iliniuma sana ndugu zangu.

Binti wa watu alifanya kazi ya kunibembeleza na kunifariji,,"jikaze Mfaume,wewe ni baba sasa,yatapita tu'"daah,acheni nyie...ndivyo alivyoniambia,Asmaa wangu.Sio siri,,nilipata nguvu na moyo wa kupambana zaidi kwa ajili ya mke wangu, mwanetu na familia kwa ujumla.Hali iliendelea hivi kwa kitambo,,,miez 9 ilipowadia mke wangu akajifungua mtoto mzuri wa kiume,tukamwita IRFAN (maana yake mwenye akili,mwenye busara)

Yapata miezi miwili mbele baada ya mke wangu kujifungua,,alianza kuumwa ugonjwa usioeleweka,Hospitali haukuonekana,miguu ilimsumbua sana akawa hawezi kutembea,alipungua sana,,akawa anapoteza nafahamu.Wakati huu nilikua nafanya kazi ya kuuza gesi za kupikia majumbani kwenye duka la watu,maeneo ya rombo-Mafiga,Morogoro manispaa (wenyeji watakua wanapajua),,ilinibidi nitembee kwa miguu kila siku kutoka ninapofanyia kazi mpaka hospital ya ST.Thomas (Kilakala-mzambarauni) takriban umbali wa km 7.ilibidi niache kazi kwa muda niwe karib na mke wangu, na mwanangu,mana hali yake ilinitisha,mwenye duka hakua na namna ,ilibidi aajiri mtu mwingine.Wakati huo nilikua kama MTU niliechanganyikiwa,skujali kuhusu kula yangu wala vaa yangu, ungeweza kuniita chizi,nashkur mola nilikua najitambua (sensitivity).

Picha ya mke wangu akiwa amelala hana fahamu ametundikiwa dripu,,huku mwanetu mdogo mdogo sana akiwa amelala pembeni yake (bahati nzuri hakuwa mlizi),,ziliniliza sana na hakika sitasahau(Wakati huu tulisharud kwa wazee baada ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba).Kwa mapenzi ya Mungu nikapata tena kazi ya muda mfupi sana (almost siku 6 hivi) katika karakana ya Reli morogoro,Mimi na wenzangu kadhaa ya kusafisha maboggies (locomotive's) au vichwa vya treni vilivyochoka ili vifufuliwe upya.Wale wataalam wa mambo ya treni mtakua mnanielewa vizuri.

Wakati huo sasa tulikua tunalipwa kwa siku elfu 10,japo ilikua ni kazi ngumu sana,,ukizingatia sikua na ujuzi wowote lakini nilipambana hasa nilipokua nikiwafkilia wapendwa wangu uko hospital. Tulifanya kazi ile kwa kipindi icho pekee,mfumo wao wa ajira ukabadilika hivyo tukaenguliwa.Hali ngumu ya maisha iliendelea uku nikipambana nayo na kwa uwezo na Huruma ya mwenyeziMungu,,,mke wangu alipona katika namna ambayo hakuna aliyetegemea,akaanza kutembea vizuri japo alikua amedhoofu kwa Wakati huo.

Wahenga wanasema,,,kadiri kiza kinavyozidi,,ndivyo nuru ya alfajir inakaribia.Wakati huo nilikua nimekata tamaa kabisa ndipo kwa mapenzi yake Mola,zikatoka ajira za serikali na nikafanikiwa kupata kazi ya kuhudumu kama mtaalam wa maabara(kumbuka hii ni fani yangu niliyosomea),,katika shule moja ya sekondari iliyopo mkoani Iringà,,(mwanzoni mwa mwaka 2019).

Pia kipindi kifupi baada kuanza kazi mkoani Iringa,mke wangu nae akaajiriwa katika fani ya ualim wa masomo ya biashara katika shule moja ya sekondari mkoani Mtwara(jina limehifadhiwa),,,Kwa kweli japo tupo mbalimbali kutokana na majukumu mapya,namshkur mwenyeeziMungu Kwa kutupa faraja baada ya kutupitisha katika kipindi kigumu sana cha maisha ya ndoa,kubwa zaidi mke wangu na mwanangu wote wameimarika vizuri na wako vyema kabisa

THANKS TO THE ALMIGHTY LORD OF THE UNIVERSE,,,kwanini mke wangu ni mwanamke wa maisha yangu???(A WOMAN OF MY LIFE)..nitataja sababu chache zifuatazo,,,1),,,,Ni mwanamke mvumilivu asiyekata tamaa,alienivumilia hali yangu ngumu sana ya maisha na kunitia moyo pale nilipokatà tamaa (2) Mwanamke aliyefanya yote hayo kwa mapenzi makubwa sana kwangu pasina shaka yoyote. ,,,(3)Mama bora aliyenihurumia na kunifarji mpaka sasa tulipofikia tukiwa ni wenye furaha sana....naanzaje kumkwaza au kumuacha mwanamke kama huyu???!kwangu ni kama almasi niliyoiokota mchangani,,,Namuombea sana mke wangu mola amlipe kheri duniani na amjaalie mwisho mwema kabisa,Na akutane na mola wake akiwa anatabasamu...Ameen,,,nampenda sana,,,,asanteni Kwa kunifatilia,,nawasilisha.
Angalau leo tumepata ushuhuda wa Mke mwema, asante sana mleta mada.

Mungu awajalie baraka zake kadri atavyopendezwa, Amen.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom