Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
- Thread starter
- #61
hapa unamuonea hajasema huyo msichana wake anasoma mlimani.
bali muhimbili uwe unasoma post kwa utulivu
Una akili sana miss neddy
Nashukuru kwa kunisaidia
hapa unamuonea hajasema huyo msichana wake anasoma mlimani.
bali muhimbili uwe unasoma post kwa utulivu
Ujue kati yako wewe na range evoque nani handsome zaidi
Una akili sana miss neddy
Nashukuru kwa kunisaidia
pamoja sana
Mabinti na pesa ni damu damu. Pole sana Amicus Curiae kwa kufikiri unaliliwa wewe, kumbe zina liliwa pesa zako. Wadada nanyi muwe na msimamo, kwa ugeu geu wa namna hii ndio maana wanaume wenye visasa wanaishiwa kuwawakojoloe mkojo wa kawaida midomoni na juu ya miili yenu na kula kona
remember we are funny animals hii ni kwa mujibu wa Amicus Curiae
Ingekuwa kachakaa hapo ndio ungesema malipo hapa duniani hivyo bado unampenda safari hii utapigwa na safari booty ushawahi kuisikia?
she don't love u anapenda pochi lako tu, ila mwambie kabisa kwamba gari uliazima uone kama ataendelea kusumbua akiendelea mpe nafasi ya mwisho.
Nimefarijika sana mkuu
Aliniumiza mno huyu binti
Unajua ukiachana na mpenzi wako unawish ukija kuonana nae umkute amechoka
Ukimkuta yuko vzr roho inauma
ladyfuraha tatizo ni kwamba ntaanzaje kumwambia?
usiogope wewe mwambie tu taratibu atakuelewa unajua watoto wa kike wengine ni waelewa labda asiwe muelewa kama mm huyo
Ahaaaaa.... Maisha Mkuu hayapo vile tunavyotamani hata kidogo. Nadhani labda tunatamni kinyume au huwa yanaenda kinyume cha matarajio yetu labda.. ila sijui.
Nilichojifunza hadi sasa.. UKITAKA KUISHI VIZURI... TAMANI RAFIKI ZAKO WAFANIKIWE ZAIDI YAKO, WALIO CHINI YAKO WAFANIKIWE ZAIDI YAKO WALIO JUU WAENDELEE KUFANIKIWA ZAIDI NA WALIO KINYUME NAO WAENDELEE KUFANIKIWA.
Hivyo utajikuta wewe unainuka hata zaidi yao. Ulishawahi kujiuliza kwa mfano.. wakati unasoma waliokuwa kipanga waliendelea kuwa vipanga kwa sababu walikuwa wanajitolea sana kwa wasio vipanga kuwafundisha.. na kadri wanavyojitolea sio kwamba hawa wanainuka wanamzidi. wakai wanainuka yeyey anakuwa keshaenda level ya mbele zaidi na zaidi. japo wapo wachache wachoyo na hata hivyo hawanaga la maana.
Hii ni principle.
Kubali tu yalitokea na usonge mbele kigumu ivo ivo.
Amicus Curiae
"Giving an ex a second chance is like providing someone with another bullet after they missed shooting you the 1st time."