ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Mpe one night stand show moja tena mmwage.
Ha ha ha ha JF raha sana kwa ajuae maanaNa hakufai kabisa huyoo... Yaani yeye badala ya kuchanganyikiwa na wewe, anachanganyikiwa na gari... Sasa kwa jinsi hawa madizaina wa magari walivyo bize na kuyatoa mapya kila mwaka, lazime atakumwaga tena, labda kama utawazuia madizaina waache mambo yao
hapo wewe ndio una maamuzi ya mwisho ila mie ni 1directioner, always forward. tukitosana ujue hakuna kurudiana, maana kama mambo yalishindikana wakati ule unadhani sasa hivi yatawezekana?
Mpe one night stand show moja tena mmwage.
Mgegede umpige chini
Halafu wananichoshaga hivi... Utakuta mtu unaendesha gari lipo full branded eg VODACOM, AIRTEL, tiGo AU ZANTEL AU SERENGETI AU TBL... lakini wanashoboka utadhani hilo gari ni lako... Yaani sometimes siwaelewagi hawa watengeneza magari sijui wanawekaga nini mpaka wanawake wanachanganyikiwa nayo... Yaani it does not matter huyo mwanamke ana VOGUE, utakuta anashoboka na mwenye kistaleti chake... Ameolewa au lah, mshoboko pale pale.. nachoka kabisaHa ha ha ha JF raha sana kwa ajuae maana
Hapa ndo ulipo ugomvi wangu na akina dada kila siku na tabia yao ya kushobokeaa vitu(magari,simu ,Nguo ects) designers are so busy jaman,they produce each and everyday material things
Angalia, wengi sana wameowa kwa mtindo huu... Ye anajuwa anachokitafuta na inaweekana anajuwa udhaifu wako, atakuzungushia uno, ushindwe kuchomoka, ubaki tu kusema, namwachia MUNGU... Maana ndo maneno yenu haya mkishanasaga na huwa hamsikii la muazini wala mnadi salaMkuu umejuaje?
Nafikiri hilo zoezi litatekelezeka leo.
Angalia, wengi sana wameowa kwa mtindo huu... Ye anajuwa anachokitafuta na inaweekana anajuwa udhaifu wako, atakuzungushia uno, ushindwe kuchomoka, ubaki tu kusema, namwachia MUNGU... Maana ndo maneno yenu haya mkishanasaga na huwa hamsikii la muazini wala mnadi sala
Nikupe ushauri mdogo tu, ukiona mwanamke mnayekutana anazungumzia material things you are possessed wakati wote, kaa mbali naye, anatakiwa akupe hongera then mada iwe ni kw jinsi gani amekumiss ni v2 gani amekosa kw kipind chote ambacho hamkuwa naye, huyo huyo hakupendi anapenda vitu ulivyonavyo ambavyo kiukweli vinapita. Nikusaidie tu baada ya kuoa huwa sura wala umbo la mke wako halionekani bali tabia na jinsi anavyokujali. Tena nawe usitafute mke kw kuweka mawazo kwamba anapenda gari ulilonalo au nyumba, jitahidi mpenzi wako ajue tu wewe ni mtafutaji hivyo utaweza kummililiki bila shida. Usiazime gari au kitu chochote kisicho chako unaenda kujionyesha ili ukubarike kw namna fulani, hata leo akikupiga mzinga hebu uwe unampa pesa ya kawaida sana hasa elfu 10 tu unamwambia awe ananywea chai, saluni aende za bei ya kawaida tu, ndani ya miezi mitatu fanya hivyo kw dhati then angalia matokeo , utajua kama anakupenda au anataka akiwa nawe malengo yake ya kujionyesha kw watu yatimie!
Wote wanasemaga hayo hayo, na mwisho wao tuliushuhudia... Wote utasikia wakisema... WEEE LABDA SIYO MIMI... MI KIDUME.... Baada ya kunasa kiachofuata ni kubadili njia kila akutanapo na aliyewahi kumshauri tofauti na alivyofanyaHahahaaaa
Aisee mkuu umenichekesha sana!
Duh....ntajikaza bwana, hawezi kunikamata.
Eti "namuachia Mungu!"
Hahahaha
weka nae miadi mara nyengine...azima Nissan match uone ata react vipi....Ni vizuri kua na mke dokta..kwa mustakabali wa watoto!....ila sio dokta matamaa
vipi ushampa jibu? kama amezuzuka na range imekula kwake. ila we mbayaaaa! si ungeazima hata rav 4.
Hahaha, wakati ukimshusha hukumuachia spare tyre ya range jamani? Mchoyo wewe!
Hahahaa
Ujue nn Husninyo... huyu jamaa mwenye range ni rafiki yangu sana huwa tuna desturi ya kuazimana magari
Angekua na rav 4 mbona ningemuazima tu!
Jibu sijampa bado, anakuja jioni tuonane face to face...
weka nae miadi mara nyengine...azima Nissan match uone ata react vipi....Ni vizuri kua na mke dokta..kwa mustakabali wa watoto!....ila sio dokta matamaa