Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Usicheze na evoque mkuu...very handsome

Halafu kijana anajidai eti haelewi nini kimemvuta huyo demu wakati yeye mwenyewe ameshangaa ghafla demu kafa kaoza na yeye anajijua hana mzigo wala sio kisu!!!!
 
Hakuna mapenzi hapo yeye anakutaka sababu anahitaj shoulders to cry on na wew unataka huo mwili... U
 
Mkuu kama situmii akili natumia nini?

Lugha ya namna hii haifai.
Mkuu naona umesome below the line!!! ipo tofauti kubwa sana ya kutumia AKILI na Hisia, kuna vitu ukitumia akili basi huwezi kuvifanya hata siku moja na kuvielewa ni rahisi, ila ukitumia HISIA unaweza kuvifanya ila VITAKUGHARIMU tu na kamwe ukieleweshwa huwezi kuelewa. sasa ili kuelewa your situation ndio nimeshauri utumie AKILI.
 
Mkuu naona umesome below the line!!! ipo tofauti kubwa sana ya kutumia AKILI na Hisia, kuna vitu ukitumia akili basi huwezi kuvifanya hata siku moja na kuvielewa ni rahisi, ila ukitumia HISIA unaweza kuvifanya ila VITAKUGHARIMU tu na kamwe ukieleweshwa huwezi kuelewa. sasa ili kuelewa your situation ndio nimeshauri utumie AKILI.

Mkuu umetoka kubakwa nini???!!!
 
Nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!

Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (Range rover evoque) nikamuachia la kwangu (Hyundai Coupe Sports car).

Sasa wakati napark pale Mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!

At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia Mlimani ndani!

Akaanza kuning'ang'ania, ooh Amicus I missed you, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini M/city? halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na Hyundai yangu.

Mara ooh naomba tuongozane! wakati hajui naelekea wapi!

Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! akawa analisifia sana gari! wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! hadi watu wakawa wanatushangaa! na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!

Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.

Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!

Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!

Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!

Yeye yupo Chuo pale Muhimbili anasomea Udaktari.

Nina uhakika hayumo humu JF coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.

Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.


Magari uwa yanawamaliza sana wasichana tena aijalishi ata wenyewe wawe na gari zao, huyo kaweweseka na gari kama usemavo ata kama ana matatizo huko alikoenda lakini still kwako kapagawa na range rover vinginevo angekutafuta kabla hamjakutana hapo mlimani City, After all hakufai tena yaani ni kama house girl tu akikwambia nataka kwenda home mpe nauli aende akikaa wiki akakupigia tena mama naomba kurudi maisha huku magumu, ukimrudisha atafanya kazi vizuri wiki tu baada ya hapo kiburi, dharau itakuwa ndio juu sababu wanadhani kuwa hakuna tena anaeweza kukusaidia pale home zaidi yake sasa na huyo atajua kumbe bila yeye maisha kwako hakuna kitu, Akili kichwani mwako huu ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom