Mkuu, huko juu kuna mfumo uliowekwa na bepari kwaajili ta kumgandamiza masikini.
Pia kuna kitu hua inakua kisingizio kikubwa kwajina la budget haitoshi
TANZANIA yangu ina hela sema tatizo ni ukusanyaji na Wasakata tonge ni wengi saana
 
Hapo kwenye 4. viwanda ungeferi kweli kweli. Huo utarstibu walishawahi kujaribu serikali. Mwekezaji anaeekeza miaka 4, anasepa, anakuja mwingine mi-4 anasepa, wakati serikaki haina mapato ya kuendesha nchi. Mwalimu ungemnunulia honda na wabunge wako ukawaacha wasakate haya ma-V8 sijui kama bajeti hiyo ungeimudu
Mkuu mkataba ungembanaa kama akiondoka basi atalipa kodi yote ya miaka 4 ailyoka na faini kubwa sanaa
 
Sijaona KATIBA MPYA!
Wakuu salamaa?

Raisi wa nchi ni mtu mkubwa sana na ana uwezo wa kufanya jambo lolote lile bila hata kushindwa.

Mfano mimi ningepata nafasi ya kuwa raisi wa nchi ningefanya yafuatayo

1.Ningejenga shule za kata 5 kila wilaya Tanzania . Ningepandisha mshahara wa walimu ningeajri walimu wengi na ningetengeneza mazingira ya walimu yawe mazuri. Ningempa kila mwamlimu piki piki haijalishi anafanya kazi wapi na mafuta wangewekewa na serikali.

2.Ningejenga vituo vya afya kila wilaya sio chini ya vitatu na hospital 2 za rufaa kwa kila mkoa.
Hospital ningeweka vifaa vya kisasa na mazingira mazuri sana mdaktari ningewapa kipaumbele na kila daktari ningempa Bajaji kwa ajili ya usafiri services na mafuta ni serikali na kila baada ya Miaka mitatu nawapa mpya zile za zamani zimapigwa mnada.

3.Kilimo
Tanzani ina eneo kubwa sana so ningetafuta mikoa yenye ardhi yenye rutuba kama mbeya, morogoro, kilimanjaro, songea .
Nachukua wataalamu wa kilimo na wanafunzi fresh from school wanalima mazo kule alafu serikali ndo inanunua inawatafuta soko.

4.Viwanda
Ningeruhusu wawekezaji waje wawekeze Tanzania wajenge viwanada vikubwa asilimia 80 wafanyakazi wawe watanzania.
Mwekezaji anawekeza kwa miaka mitano bila kulipa kodi kabisa na ardhi unampa bure baada ya miaka mitano ndo wananza kulipa kodi.

5.Napandisha kima cha Mshahara kima cha chini kinakua ni laki 3 .
Nashusha bei ya vyakula vinakua chini saaana.

6.sehemu zote muhimu ziwe na bara Bara za lami .

7. Wafanya bishara kodi naifanya inakua sio ya kuumiza.

Ni mengi ila ningeaza na haya
 
Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan pokea pongezi nyingi kwa kuijali elimu ya nchi yetu.

Hii ni kutokana na serikali yako kuanza kuwajali walimu na miundo mbinu ya madarasa, meza na viti Ninajua wapo watakaokubeza na kukukejeli lakini wewe jipe moyo na songa mbele.

Ushauri wangu ni kuwa Mhe Rais ongeza tu umakini wa monitoring and control kwa wasaidizi wako waliopo TAMISEMI na WIZARA ya ELIMU iii wasitumie nia yako njema kwa manufaa yao binafisi.
 
Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan pokea pongezi nyingi kwa kuijali elimu ya nchi yetu.

Hii ni kutokana na serikali yako kuanza kuwajali walimu na miundo mbinu ya madarasa, meza na viti Ninajua wapo watakaokubeza na kukukejeli lakini wewe jipe moyo na songa mbele.

Ushauri wangu ni kuwa Mhe Rais ongeza tu umakini wa monitoring and control kwa wasaidizi wako waliopo TAMISEMI na WIZARA ya ELIMU iii wasitumie nia yako njema kwa manufaa yao binafisi.
Acheni ujinga na ushamba. Samia siyo daktari au unamlinganisha na limbukeni Njaa Kaya aliyejisifia udaktari wa kupewa hata masters hana?
 
Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi mkuu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.

Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
Kazi ipo kabisa
 
Back
Top Bottom