Sukuma Gang at their best!! Mtambana sana ila Mh Rais Samia mnaye mpaka 2030!! Na hamna cha kumfanya zaidi ya kubwabwaja nyuma ya Keyboard!!

Hiyo miradi Magifuli ndo aliasisi ilikuwa kwenye ilani ya chama!! Kwamba yeye ndo mwanzilishi wa Ikulu ya Dodoma umesahau kwamba walioidhinisha ikulu iwe dodoma ni Watanzania wote na awamu zote wamechangia kwa nyakati tofauti kusaidia ilipofikia!!

Angepewa jamaa yenu nafasi ya kusuggest ikulu iende wapi si angeenda kuojenga chato!!

Ashukuriwe Mwl Nyerere kwa uzalendo wako ulitukuka kwa kuona Watanzania wote ni sawa!
awamu zote kuhamishia ikulu dodoma walikuwa wanasubiri nini

kwani jiwe angeamua iende chato ingeshindikana unahisi
 
Acha upumbavu mpaka kijukuu na kitukuu chako kitalipi hii mikopo usiwaze kutumia makalio na kushindwa kuangalia watoto wetu na wajukuu zetu mbeleni watakuwa na maisha gani...!?
Kwa hiyo ulitaka wasilipe,unafikiri Kuna nchi isiyo kopa,kwani huoni miradi inavyojengwa na kumgusa mtanzani. Kinachoangaliwa Ni aina ya mkopo,kazi unayokwenda kufanywa au kuwekewa mkopo huo,riba au masharti ya mkopo,muda wa kulipa mkopo na mengine machache Kama hayo, Serikali ya Rais wetu mpendwa mama Samia inazingatia hayo yote na ndio maana hatupo katika nchi zilizoelemewa na Deni la Taifa,

Siyo unaandika tu hapa Kama mlevi kwa kutumia lugha ya kitoto iliyokosa adabu na heshima utafikiri umekosa malezi ya wazazi wako
 
Sawa,. Hajaanzisha mradi wowote Kama ulivyosema. Je hiyo miradi inayoendelea wewe ndio unatoa hela, au ulitaka hela zitoke wapi. Acha unafiki
Kwa taarifa yako mwisho wa siku pesa hutolewa na mlipa kodi! !Hata kama ni mkopo, mlipa kodi ndiye atakayelipa mkopo huo. Kwa bahati mbaya nafasi kubwa za kisiasa walizoshika hawakatwi kodi kwenye mishahara yao, hiyo ni mbaya sana!
 
awamu zote kuhamishia ikulu dodoma walikuwa wanasubiri nini

kwani jiwe angeamua iende chato ingeshindikana unahisi
Si angepeleka nini kilimzuia? Angejua kuwa wapo wenye nchi na siyo yeye!! Yeye alichongwa tu!!
 
aliwahi sema anataka kupeleka.

uwanja umepelekwa wenye nchi walizuia nini

mbuga imepelekwa walizuia nini

mkoa umepelekwa walifanya nini

u
 
Ni mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!
Hela ulizokwisha kopa,hazilingani na tunachokiona site.

Ulianza na Ndugai ukamla kichwa!
Kosa amehoji kuhusu Mikopo!

Akaja mbunge wa kisesa Luhaga Mpina mkamla kicha U-Nec CCM!
Kisa amehoji kuhusu mikopo!

Leo umesema wazi kwamba atakayehoji kuhusu Mikopo ajiandae kudeal na Mwenye Serikali yake.

Gerald Hando amepoteza kazi EFM- Radio.
Kisa Mmiliki wa Radio ametishika na kauli yako uliyoitoa live kwa wanasiasa ukiwa Ikulu.

Kama unakopa mikopo nje,kumbuka pia ulipewa pia mabilioni ya Uviko!

Wananchi wanalipa kodi zote stahiki.

Tozo kwenye Miamala yetu inaendelea.

Ebu tuambie tofauti na miradi ya ujenzi wa mashule,ambao pia ni muendezo wa serikali ya JPM.

Ni kipi ambacho ndio mradi mkubwa uliobuniwa na serikali yako wewe kama wewe!

Maana!
SGR,JNHP,Daraja la Tanzanite,
Daraja la Busisi Mwanza.
Madawati nchi nzima,
Meli ziwa Nyasa,
Meli ziwa Victoria,
Masoko makubwa Mwanza,
Morogoro na Stendi za mabasi kubwa zote,Daresalaam mwanza na kwingineko.

Ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

Ni mawazo na miradi iliyoanzishwa na JPM.ingawa sasa mnasema watu wazuri hawafi.

Maisha mtaani yanazidi kuwa Magumu.

Bei hadi ya bidhaa za humuhumu mfano kama nyama ya ngombe ziko juu.

Wewe kila uchao ni.... safari,Makongamano,warsha na mikutano kila idara ya serikali ikiendelea ili tu waweze kula urefu wa kamba zao.

Hilo bwawa la Nyerere tuliambiwa mkandarasi alikwisha lipwa awamu ya tano.

Na hadi sasa yeye mkandarasi ndie alipaswa kutulipa fidia ya 1.5 trilioni kwa kuchelewesha kazi.

Lakini hatumsikii Makamba wala Maharage wakiliongelea hilo.

Pamoja na kuhojiwa hadi huko bungeni.

Usitutishe maana walipaji ni sisi wala sio wewe.

Wakati tukilipa,wewe utakuwa ukifaidi kiinua mgongo chako cha 80% ya mshahara wa rais atakayekuwa madarakani kwa wakati huo.

Vinginevyo tutahisi kwamba kuna namna hiyo mikopo haitumiki sahihi.

Kuliko kutisha wahoji mikopo,wewe ungedhibiti ufisadi uliotamalaki huko kwenye miradi inayoendelea.

Dhibiti wizi kwenye Force Account s za ujenzi wa miradi.

Sio kujifanya msafi kumbe na wewe unao upande wako.

Kwa sababu umeruhusu mikutano,subiri uanze kupewa za uso.

Machawa wamejaa humu sababu wewe unaleta na wao wanaiba!

Kwa nini wasikusifie.......
Nchi hii imefika pa baya sana, huyu mama hivi anakifua kweli cha kuhimili mikiki mikiki na matusi ya kwenye kampeni, ngoja chawa wamdanganyr
 
Sukuma gang sajilini kile chama chenye muanze kuhoji maana mkiwa ndani ya CCM hamuwezi.
 
Wewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza Ni Nani kairuhusu Kama siyo maamuzi ya Rais wetu? Nani angefanya mikutano ya hadhara Kama Rais wetu asingeruhusu? Ni Nani wa kumtisha Rais wetu Hadi awaogope? Yaani mikutano aruhusu yeye halafu awaogope? Kwa hoja gani mlizo nazo? Kwa Sera na ajenda zipi?

Watanzania siyo wajinga Kama unavyofikiria wewe ukiwa unaota ndoto? Unafikiri watanzania hawaoni miradi ya maendeleo ikifanyika na kukamilika kwa ufanisi? Unafikiri hawaoni Elimu ikitolewa bure bila bughudha kwa wananchi kuwasumbua mamichango? Unafikiri hawaoni mabillioni ya Ruzuku katika mbolea? Unafikiri hawaoni miradi ya reli na bwawa inavyokwenda kwa Kasi? Unafikiri hawaoni namna mairadi Kama daraja la wami yalivyo amsha Tabasamu la watanzania?

Kwa hiyo hiyo ndio hoja dhaifu mnayokwenda nayo kwenye Hiyo mikutano? Hakika mmepotea njia kabla ya kuanza hata safari, Hamna Cha kuwaeleza watanzania kitakachoeleweka nakuungwa mkono maana watanzania wameridhishwa na kazi iliyotukuka ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia

Paskali Mayalla ni muandika magazeti kama ww, lakini hata yeye anaona uvivu kusoma haya magazeti yako.
 
aliwahi sema anataka kupeleka.

uwanja umepelekwa wenye nchi walizuia nini

mbuga imepelekwa walizuia nini

mkoa umepelekwa walifanya nini

u

Wewe mwenyewe unajua walichofanya!! Ndo maana mmebakia lialia hapa! Na hamna cha kuwafanya!!

Mchonga kinyago akiogope mwenyewe, labda awe chizi!!
 
Wewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza Ni Nani kairuhusu Kama siyo maamuzi ya Rais wetu? Nani angefanya mikutano ya hadhara Kama Rais wetu asingeruhusu? Ni Nani wa kumtisha Rais wetu Hadi awaogope? Yaani mikutano aruhusu yeye halafu awaogope? Kwa hoja gani mlizo nazo? Kwa Sera na ajenda zipi?

Watanzania siyo wajinga Kama unavyofikiria wewe ukiwa unaota ndoto? Unafikiri watanzania hawaoni miradi ya maendeleo ikifanyika na kukamilika kwa ufanisi? Unafikiri hawaoni Elimu ikitolewa bure bila bughudha kwa wananchi kuwasumbua mamichango? Unafikiri hawaoni mabillioni ya Ruzuku katika mbolea? Unafikiri hawaoni miradi ya reli na bwawa inavyokwenda kwa Kasi? Unafikiri hawaoni namna mairadi Kama daraja la wami yalivyo amsha Tabasamu la watanzania?

Kwa hiyo hiyo ndio hoja dhaifu mnayokwenda nayo kwenye Hiyo mikutano? Hakika mmepotea njia kabla ya kuanza hata safari, Hamna Cha kuwaeleza watanzania kitakachoeleweka nakuungwa mkono maana watanzania wameridhishwa na kazi iliyotukuka ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Coment ndefu kama hii si bora ungeutengenezea tu uzi mwingine we chawa.
 
Ni mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!
Hela ulizokwisha kopa,hazilingani na tunachokiona site.

Ulianza na Ndugai ukamla kichwa!
Kosa amehoji kuhusu Mikopo!

Akaja mbunge wa kisesa Luhaga Mpina mkamla kicha U-Nec CCM!
Kisa amehoji kuhusu mikopo!

Leo umesema wazi kwamba atakayehoji kuhusu Mikopo ajiandae kudeal na Mwenye Serikali yake.

Gerald Hando amepoteza kazi EFM- Radio.
Kisa Mmiliki wa Radio ametishika na kauli yako uliyoitoa live kwa wanasiasa ukiwa Ikulu.

Kama unakopa mikopo nje,kumbuka pia ulipewa pia mabilioni ya Uviko!

Wananchi wanalipa kodi zote stahiki.

Tozo kwenye Miamala yetu inaendelea.

Ebu tuambie tofauti na miradi ya ujenzi wa mashule,ambao pia ni muendezo wa serikali ya JPM.

Ni kipi ambacho ndio mradi mkubwa uliobuniwa na serikali yako wewe kama wewe!

Maana!
SGR,JNHP,Daraja la Tanzanite,
Daraja la Busisi Mwanza.
Madawati nchi nzima,
Meli ziwa Nyasa,
Meli ziwa Victoria,
Masoko makubwa Mwanza,
Morogoro na Stendi za mabasi kubwa zote,Daresalaam mwanza na kwingineko.

Ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

Ni mawazo na miradi iliyoanzishwa na JPM.ingawa sasa mnasema watu wazuri hawafi.

Maisha mtaani yanazidi kuwa Magumu.

Bei hadi ya bidhaa za humuhumu mfano kama nyama ya ngombe ziko juu.

Wewe kila uchao ni.... safari,Makongamano,warsha na mikutano kila idara ya serikali ikiendelea ili tu waweze kula urefu wa kamba zao.

Hilo bwawa la Nyerere tuliambiwa mkandarasi alikwisha lipwa awamu ya tano.

Na hadi sasa yeye mkandarasi ndie alipaswa kutulipa fidia ya 1.5 trilioni kwa kuchelewesha kazi.

Lakini hatumsikii Makamba wala Maharage wakiliongelea hilo.

Pamoja na kuhojiwa hadi huko bungeni.

Usitutishe maana walipaji ni sisi wala sio wewe.

Wakati tukilipa,wewe utakuwa ukifaidi kiinua mgongo chako cha 80% ya mshahara wa rais atakayekuwa madarakani kwa wakati huo.

Vinginevyo tutahisi kwamba kuna namna hiyo mikopo haitumiki sahihi.

Kuliko kutisha wahoji mikopo,wewe ungedhibiti ufisadi uliotamalaki huko kwenye miradi inayoendelea.

Dhibiti wizi kwenye Force Account s za ujenzi wa miradi.

Sio kujifanya msafi kumbe na wewe unao upande wako.

Kwa sababu umeruhusu mikutano,subiri uanze kupewa za uso.

Machawa wamejaa humu sababu wewe unaleta na wao wanaiba!

Kwa nini wasikusifie.......
Huu ni ukweli hasaa..
Ni kwa vile tu chawa wamekuwa wengi. Na chawa ni dalili ya uchafu wa mavazi au nywele.
Huwezi kuwa na chawa ikiwa uko safi.
Sasa akiendelea kuwafuga, ipo siku watamnyonya/watamkausha damu
 
Wewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza Ni Nani kairuhusu Kama siyo maamuzi ya Rais wetu? Nani angefanya mikutano ya hadhara Kama Rais wetu asingeruhusu? Ni Nani wa kumtisha Rais wetu Hadi awaogope? Yaani mikutano aruhusu yeye halafu awaogope? Kwa hoja gani mlizo nazo? Kwa Sera na ajenda zipi?

Watanzania siyo wajinga Kama unavyofikiria wewe ukiwa unaota ndoto? Unafikiri watanzania hawaoni miradi ya maendeleo ikifanyika na kukamilika kwa ufanisi? Unafikiri hawaoni Elimu ikitolewa bure bila bughudha kwa wananchi kuwasumbua mamichango? Unafikiri hawaoni mabillioni ya Ruzuku katika mbolea? Unafikiri hawaoni miradi ya reli na bwawa inavyokwenda kwa Kasi? Unafikiri hawaoni namna mairadi Kama daraja la wami yalivyo amsha Tabasamu la watanzania?

Kwa hiyo hiyo ndio hoja dhaifu mnayokwenda nayo kwenye Hiyo mikutano? Hakika mmepotea njia kabla ya kuanza hata safari, Hamna Cha kuwaeleza watanzania kitakachoeleweka nakuungwa mkono maana watanzania wameridhishwa na kazi iliyotukuka ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Chawaaaaaaaaaaaa
 
Sukuma Gang at their best!! Mtambana sana ila Mh Rais Samia mnaye mpaka 2030!! Na hamna cha kumfanya zaidi ya kubwabwaja nyuma ya Keyboard!!

Hiyo miradi Magifuli ndo aliasisi ilikuwa kwenye ilani ya chama!! Kwamba yeye ndo mwanzilishi wa Ikulu ya Dodoma umesahau kwamba walioidhinisha ikulu iwe dodoma ni Watanzania wote na awamu zote wamechangia kwa nyakati tofauti kusaidia ilipofikia!!

Angepewa jamaa yenu nafasi ya kusuggest ikulu iende wapi si angeenda kuojenga chato!!

Ashukuriwe Mwl Nyerere kwa uzalendo wako ulitukuka kwa kuona Watanzania wote ni sawa!
Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unaingiza uzuzu wako eti Sukuma gang.watanzania bhana sijui Nani katuroga.kama wewe ni chawa wa mtu ukiona umeguswa bora Tu ujinyamazie maisha yaende.nchi ni yetu site lazima watu wajue kinachoendelea.
 
Wewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza Ni Nani kairuhusu Kama siyo maamuzi ya Rais wetu? Nani angefanya mikutano ya hadhara Kama Rais wetu asingeruhusu? Ni Nani wa kumtisha Rais wetu Hadi awaogope? Yaani mikutano aruhusu yeye halafu awaogope? Kwa hoja gani mlizo nazo? Kwa Sera na ajenda zipi?

Watanzania siyo wajinga Kama unavyofikiria wewe ukiwa unaota ndoto? Unafikiri watanzania hawaoni miradi ya maendeleo ikifanyika na kukamilika kwa ufanisi? Unafikiri hawaoni Elimu ikitolewa bure bila bughudha kwa wananchi kuwasumbua mamichango? Unafikiri hawaoni mabillioni ya Ruzuku katika mbolea? Unafikiri hawaoni miradi ya reli na bwawa inavyokwenda kwa Kasi? Unafikiri hawaoni namna mairadi Kama daraja la wami yalivyo amsha Tabasamu la watanzania?

Kwa hiyo hiyo ndio hoja dhaifu mnayokwenda nayo kwenye Hiyo mikutano? Hakika mmepotea njia kabla ya kuanza hata safari, Hamna Cha kuwaeleza watanzania kitakachoeleweka nakuungwa mkono maana watanzania wameridhishwa na kazi iliyotukuka ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Utagongewa mkeo ww. Endeleza ujinga tu
 
Back
Top Bottom