Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

So bit.tch must be "smarter" cause she uses her real ID? I think not. If a spiteful, garbage-spewing, arrogant, good for nothing bi.tch can be your role model or whatever, then you must be suffering from serious psychological issues. Like I usually say to people of your ilk, check yourself before you wreck yourself.

Schlonged.
 
Binadamu wengi wanapenda umbea kwa asili na ndiyo maana hata magazeti ya udaku hununuliwa sana na wanaomfata huyo bidada kimsingi wanafata umbea wake na si yeye kama yeye.
Hata shigongo kwa magazeti yake ya udaku yalileta madhara makubwa kwa ukawa.. Ngoja hizi kadi zinazoendelea kuchomwa tuone kuwa ni wapenda umbea tu kama ww
 
Mange anajua kuwachafua watu mitandaoni(character assassination) na sio kujenga hoja kuweza kuwashawishi wananchi,Wapinzani wanapaswa kuhubiri sera zao
Majority ya watanzania wako vijijini huko hata umeme hakuna,angeweza kuwafikishia ujumbe kweli
Tunaomfollow Mange tulioko Mjini ndio vtutakaokinukisha Vijijini ww tulia uone mkubwa akipakatwa na mtoto amekaa.
 
Hata shigongo kwa magazeti yake ya udaku yalileta madhara makubwa kwa ukawa.. Ngoja hizi kadi zinazoendelea kuchomwa tuone kuwa ni wapenda umbea tu kama ww
Hazitakua na madhara yeyote manake UKAWA walijichanganya wenyewe km ambavyo wanaendelea kupoteana kila uchao.
 
CCM kilikuwa ni chama cha watu kuchota fedha za umma na kuzitumia hovyo. Huyo dada katumika sanaaa tena sana na viongozi wa CCM kama kutumika huyo dada ni mweupe kama sahani, CCM hakuna walichoacha!

Zile zama za kutumika kwa maslai ya watu binafsi zimepita. Magufuli lazima aonekane mbaya kwa sababu amezuia ulaji wa watu ambao walikuwa hawautolei jasho.

Kuchoma kadi siyo suluhisho la kumaliza matatizo kama anauchungu sana mwambieni arudi huku tuitafute demokrasia kwa vitendo.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Hivi Tanzania sasa hivi kuna IG inayofuatiliwa kuliko ya huyu Mange-on personal issues she spits shit,but kwenye politics za Tanzania she has forced her way to the upper echelons-using her sources we are all kept informed-she seems to know kila next move ya serikali mfano ni hii Freedom of information-she saw it coming, tukampinga but now we are crying.Ingekuwa ni Kagame huyu Mange could have been silenced by hitmen long time
 
Sasa kama hana influence mnasumbuka nae wa nini? Acheni kutukana wanawake, kama ni kuachika mbona hata mama yako kaachika lakini hatumuiti Malaya
tuheshimiane mkuu mimi na wewe hatufahamiani na mama yangu humfahamu mwambieni huyo malaya wenu ccm hatumhitaji.
 
Picha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
weka ww picha yake ili tutofautishe na uweke sauti yake. mbona unamjibia subiri siku mwenyewe akijibu. kama n propaganda au la ww sio msemaji wake tuliza povu
 
tuheshimiane mkuu mimi na wewe hatufahamiani na mama yangu humfahamu mwambieni huyo malaya wenu ccm hatumhitaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe inauma eeh! Mamako si ndie alikua akijiuza uwanja wa fisi Malaya ni Malaya tu lazima ukubali Mange na mamayo yumo
 
UNACHOMA KADI YA NINI? CHOMA PASSPORT UHAME NCHI. SHAMBA LA BIBI LIMEFUNGWA NENDA CONGO NA GAMBIA SHAMBA LA BIBI HUKO BADO UNAWEZA KUVUNA BILA KUFANYA KAZI.MIMI SICHANI KADI YANGU, NA 2020 NAMUCHAGUWA RAIS MAGUFULI
Msukule hata akipewa unga huona kapewa pilau
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe inauma eeh! Mamako si ndie alikua akijiuza uwanja wa fisi Malaya ni Malaya tu lazima ukubali Mange na mamayo yumo
tafadhali usimwingize mama yangu kwenye upuzi wa mange nimekuheshimu hujaona nikimsogeza mama yako kwenye mjadala huu.
 
tafadhali usimwingize mama yangu kwenye upuzi wa mange nimekuheshimu hujaona nikimsogeza mama yako kwenye mjadala huu.
Mange ni mwanamke angewahi kuzaliwa angekuzaa, heshimu wanawake
 
Hivi Lemutuz hajatoa tamko lolote tangu dada yake atumbuliwe....
sorry mkuu.., unaweza kunisaidia nikamjua huyu mtu "le mutuz" mana ni supastaa kinoma hapa jf na nina miezi kama 6 tangu nianze kumsikia ila ndo simjui.. yeye ni nani?
 
huyutakatakaa mnaendeleaa KUMJADILI MSIAIBISHEJF JAMANI PLS
 
Back
Top Bottom