Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

i still stand by my view and let time decide


ABSOLUTE! YOU HAVE THE RIGHTS TO HOLD YOUR VIEWS, BUT SHE IS NOT THE ONE TO IGNORE.

YES! SHE MIGHT BE A VERY FRUSTRATED WOMAN, BUT SHE HAS NEARLY A THREE-QUARTER OF MILLION FOLLOWERS.

HOW MANY OF THEM ARE ELIGIBLE TO VOTE? THEN I DARE TO REMIND YOU THE MARGINAL GAINS CONCEPTS.

DO NOT BE IGNORANT NEITHER COMPLACENT, SHE HAS THE ABILITY TO CAUSE A SERIOUS DAMAGE.

YOU SHOULD BE ALARMED AND TAKE HER VERY SERIOUS.


 
Aiseeee kama hujamwelewa mleta mada basi bila shaka utakuwa na utindio wa ubongo
Lizaboni tena kwenye 27 hola? Na tume ya kuchunguza mabaki ya Joni haumo? Unaweza kupata ya viroba vya Bagamoyo. Mi huo moyo wako nimeupenda, komaa, ipo siku italipa. Wanasema mvumilivu hula mbivu, japokuwa zinaweza kuwa mbivu karibu na kuoza. Au kama mchezaji unaingia dk 93 [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Muite Mange utakavyomuita account yake ya instagram ako na followers zaidi ya laki saba na thelathini amewashawishi wenye kadi za ccm wachome moto na sasa hivi wamemuitikia sana wanazichoma na kupost video nyingi sana. Kadi za CCM sasa zinateketea kama ubani unavyoteketea kwenye chetezo.
uongo huo
 
Leo Mange kawa mchungu,Unamuita ma$¥ya wakati chamani mwenu kuna Mimama inasifa za hilo jina ulilomwita Mange.mjibuni mange kwa hoja za kisiasa sio kwa maisha binafsi maana tutaanika uchafu wa wamama wa chamani mwenu halafu mje mpige kelele udhalilishaji.
Alafu kuna kipindi Mange alituchambulia yule mama Mmilioni yule kuwa ana kwichi kwichi na vitoto vidogooo
 
Aisee sintokaa wala sinto simama Kuiona Jf Ikichafuliwa namna Hii, Lugha za Matusi, Kejeli na Uchochezi hapa sio Mahala pake. This is the home of Great Thinkers. Maxence Melo is this what you are standing For????? Mod 5 Mhariri kweli????? 🙄🙄
 
Jina la Mange si geni kwa watanzania wengi . kabla ya kujipatia umaarufu kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram katika kipindi cha kampeni za mwaka 2015 kwa kumtuka kisawasawa Mgombea Ukawa (lowasa), Mange Kimambi ailikuwa maarufu sana nchini miaka ya 2006-2009 kwa biashara ya UKAHABA kabla ya kutimkia Nchini Marekani kuendeleza biashara yake ya UKAHABA ila akapata bahati ya kuolewa nchini huko na mteja wake wa siku nyingi.
Mange amejinasibu kuwa yeye ni mwanachama wa CCM wa muda mrefu ila ukweli ni kwamba Mange Kimambi ni mwanachama wa CCM kuanzia tarehe 03/03/2015, akagombea ubunge mwezi wa 8/2015 katika jimbo la Kinondoni(uchaguzi wa ndani) akaangukia pua (alishika nafasi ya mwisho).
Alifanyakazi yenye maslahi binafsi kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 instagram, alimsumbua sana January ili amtumie USD 5000 ya vocha ili aendeleze moto wake wa watusi kwa lowasa, wakati huohuo alikuwa akimshawishi kinana na bulembo ili wamshawishi magufuli amkumbuke kwenye ufalme wake,,wote walimwambia asijari wafanye kazi kwanza fadhila zitalipwa baadae.
Baada ya uchaguzi Mange akakumbushia ahadi zake kwa January, kinana na bulembo na akajibiwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya alifanya kutimiza wajibu wake kama mwanachama na kuhusu uteuzi akaambiwa asubiri busara za Magufuli
Baada ya Magufuli kumaliza teuzi zake muhimu, Mange akamgeukia Magufuli na kufanya kazi ya kumchafua, kukigeuka chama chake na hatimae kuchoma kadi ya CCM. Alianza kumsifia Lowasa, kukisifia Chadema na kuweka mipango ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupia Chadema.
Kwasasa Mange ameachika na mumewe mzungu kutokana na kuchoshwa na tabia yake ya UKAHABA uliokubuhu.
TABIA NI KAMA NGOZI HUWEZI KUIBADILI

Yaani achome kadi ya chama X kisha awachezee akili chama Y? Hiyo ni hypothesis gani tena Mkuu?
 
By resorting to character assassination you have stooped as low as Mange herself,but Mange tumemzoea, what is your excuse?
 
ogulu Chadema si Mali Kitu maana haina identity yoyote ya kuturekebisha kama Taifa ila nyie vipi mnatuma Malaya kwenda kugombea ubunge na kama haitoshi mnatuma Malaya kutetea chama na kukiweka madarakani, hivi mko timamu kweli?
 
Back
Top Bottom