Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 474
Jina la Mange si geni kwa watanzania wengi . Kabla ya kujipatia umaarufu kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram katika kipindi cha kampeni za mwaka 2015 kwa kumtukana kisawasawa Mgombea Ukawa (Lowasa),
Mange amejinasibu kuwa yeye ni mwanachama wa CCM wa muda mrefu ila ukweli ni kwamba Mange Kimambi ni mwanachama wa CCM kuanzia tarehe 03/03/2015, akagombea ubunge mwezi wa 8/2015 katika jimbo la Kinondoni(uchaguzi wa ndani) akaangukia pua (alishika nafasi ya mwisho).
Alifanyakazi yenye maslahi binafsi kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 instagram, alimsumbua sana January ili amtumie USD 5000 ya vocha ili aendeleze moto wake wa watusi kwa Lowasa,
Wakati huohuo alikuwa akimshawishi Kinana na Bulembo ili wamshawishi Magufuli amkumbuke kwenye ufalme wake,,wote walimwambia asijali wafanye kazi kwanza fadhila zitalipwa baadae.
Baada ya uchaguzi Mange akakumbushia ahadi zake kwa January, Kinana na Bulembo na akajibiwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya alifanya kutimiza wajibu wake kama mwanachama na kuhusu uteuzi akaambiwa asubiri busara za Magufuli.
Baada ya Magufuli kumaliza teuzi zake muhimu, Mange akamgeukia Magufuli na kufanya kazi ya kumchafua, kukigeuka chama chake na hatimae kuchoma kadi ya CCM.
Alianza kumsifia Lowasa, kukisifia CHADEMA na kuweka mipango ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupia CHADEMA.
Kwa sasa Mange ameachika na mumewe mzungu kutokana na kuchoshwa na tabia yake ya UKAHABA uliokubuhu.
TABIA NI KAMA NGOZI HUWEZI KUIBADILI