pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Dada jasiri sana huyu na anajiamini, sio kama wewe bendera......Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Dada jasiri sana huyu na anajiamini, sio kama wewe bendera......Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Hey...Huyu hafai hata kuwa mke wa mtu kwa tabia zake, bora aendelee kujiuza tu.
Mbavu sinaHivi bado wapo watu ni waumini wa hilo dhehebu?
wewe ni kibaraka wa mange??ashindane kwa hoja na nani? huyo asiyependa vyama vya siasa? huyo asiyetaka kukosolewa?
Anaanzisha chama au anajiunga kwa mzee lowassa??Ana wafuasi wengi sana.Akija kwetu tunamfanya mgombea urais 2020.
Mkuu mwambie labda anataka tumsifie mama yake kwa kuzaa hasara kama yyWakati anamtusi mgombea wa UKAWA na kumpigia chapuo Juma ulikuwa upande wake au?
KADA
Sindano imegusa mfupaMange kaza kamba wameanza kukuelewa sasa. Sindano inaingia polepole.