Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?

Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Mbona mwaka Jana zilichomwa nyingi tu
 
Watu watakiwa kutuma video wakichoma kadi zao kwa njia ya whatsup..

Kama upo CCM na unapinga swala la MAX kuwa kizuizini tafadhali muunge mkono..

Atafanikiwa?


2fe796c19889d3f1b20f2143021d6cfb.jpg
Tupia na ile video akichoma kadi ya ccm
Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
 
Back
Top Bottom