Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

... Mange anawafuasi wengi na asilimia kubwa humuelewa.. Dada yangu alikuwa CCM pure ila Leo tu kabadilika

... PolePole ni mtu wa mitandao ya kijamii hivyo ataumia kuona anachofanya Mange ukizingatia yeye ni mtu wa Itikadi na Uenezi hivyo akiendelea kumjibu atazidi kukichafua Chama..Mange akiibua clip za Polepole kipindi cha katiba ni hatari sana kwake na Chama

... Kuna watu wanaosoma na kumuelewa kimya kimya na kulisha sumu wengine...huwa mitandao inasambaza habari exponentially ndio maana info za social network zinakuwa viral...

... Sasahivi kila mwenye shida na aliyeonewa hutuma lalamiko kwake.. Yaani Amekuwa kama sanduku la maoni hii huleta picha mbaya serikalini hata kama ni uongo...

... Alikuwa ndani ya CCM na anajua madudu yao na ana marafiki wengi wapo humo.. Wakimpa info za ndani na kuziweka public Chama kitaangamia

.. Anawavutia sana millenials ambao huwa kawaida hawapendi siasa na sasa wanapata updates kila siku... Hii ni hatari Kwa Chama cha Mapinduzi..

Mange Spring is Real... CCM tuchukue tahadhari mapema!

Ethos

Unachukuaje tahadhari kwa Kitu cha kipumbavu kama hiki? Tangu hiyo mange spring ianze mpaka sasa ina muda gani? Huko instagram kwake kapost only six videos za watu waliochoma ndani ya masaa zaidi ya 54 tangu alipochoma ile yake.

Ili kuwe na madhara na CCM wachukue tahadhari at least kungekuwa na more than 3000 members wamechoma moto kadi. Hicho alichokifanya ni ni utoto na propaganda mfu za chadema kupitia Mawakala wao.

ili afanikiwe kwa speed hii ya sasa inabidi operation yake aiendeleze for more than 30 years ndio atleast CCM watafeel a pinch of pain.

Otherwise tuendelee tu kumsupport kwasababu hiyo ndio dawa pekee ya Kumsaidia apone Kichaa chake.
 
Nobody in their right senses would waste their brain power responding to all the garbage desperately attention-seeking low life scums like Mange produce on the daily. So f.uck your opinion.

So you think you are smarter than Mange? Yeye anatumia jina Lake Halisi..

Kama wewe ni shujaa Omba mods utumie jina lako Kweli...

Jibu hoja Kwa hoja.. Acha matusi
 
REGARDLESS OF WHOM SHE IS, BUT SHE IS NOT THE ONE TO IGNORE.

DON’T FALL IN A TRAP OF COMPLACENT, BE A BLACK BOX THINKER.

REMEMBER THE MARGINAL GAINS CONCEPTS.
i still stand by my view and let time decide
 
Unachukuaje tahadhari kwa Kitu cha kipumbavu kama hiki? Tangu hiyo mange spring ianze mpaka sasa ina muda gani? Huko instagram kwake kapost only six videos za watu waliochoma ndani ya masaa zaidi ya 54 tangu alipochoma ile yake.

Ili kuwe na madhara na CCM wachukue tahadhari at least kungekuwa na more than 3000 members wamechoma moto kadi. Hicho alichokifanya ni ni utoto na propaganda mfu za chadema kupitia Mawakala wao.

ili afanikiwe kwa speed hii ya sasa inabidi operation yake aiendeleze for more than 30 years ndio atleast CCM watafeel a pinch of pain.

Otherwise tuendelee tu kumsupport kwasababu hiyo ndio dawa pekee ya Kumsaidia apone Kichaa chake.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha..
 
Kuna watu wanamchukulia huyu mwanamke seriously kweli? CCM ife sababu ya mange na watu tena wanaume wanaamini au mnadhani kila mtu yupo Instagram? Bangi mnazovuta lazima mnachanganya na mavi
Acha kuhusisha mmea na mambo ya ajabu ajabu.
 
Hivi Mange na Lowasa, Mgeja na wengineo nani anaijua CCM na fitina zake? Hata Mwenyekiti wa ccm haijui ccm kumzidi Mzee Lowasa, Mange hana athali yoyote ile kwa ccm kwani mtaji wa ccm sio watubwa kwenye mitandao, kama angepata airtime kwenye radio na tv hapo tungesema ana athari kubwa.
Hata kwa chadema hakuleta athari yoyote ndio maana Lowasa alimpuuza tu kama kichaa fulani.
Kama Mange leo hii ni athari kwa chama cha siasa maana yake yeye ndio aliwakosesha UKAWA kuingia madarakani?
 
Swali kubwa kuliko yote kwa mwaka 2016.
Swali kubwa kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.. Unaweza kuwa na wafuasi wengi bila kuanza na mmoja? Ulishajiuliza why Chama hushangilia kinapovuna Mwanachama mmoja? Mnaujua ugumu tunaoupata kujenga Chama Vijijini? Mnadhani ni sawa na kutumia smartphone kujibu ujinga kwenye mitandao?
Mtu yeyote mwenye ushawishi hata kwa mtu mmoja ni muhimu sana kwenye Chama.. Anapotoka na kutoa madai yenye maana na kejeri hawezi kujibiwa kwa kejeri.. Ni hatari kwa ustawi wa chama..
Jiulizeni, tangu Lowasa atukanwe akiwa CCM na hata sasa CHADEMA amepoteza nini? Linganisheni na hasara aloipa CCM mpaka sasa! Mnafahamu CCM ilivyopoteza? Kuna aliyefikiria UKAWA watapata kura milioni 6? Ngapi zilipunguzwa?
Haifai kumchokonoa Mange.... Kama ambavyo haifai kumpuuza!
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha..
Kwa kadi sita. Nenda kapitie instagram yake analalamika watu wanachoma kadi hawafungui kwa ndani ili iwe uthibitisho.

Kwenye issue kama hizi ndipo CCM inapoonyesha ukomavu wa hali ya huu. Ingekuwa chama kingine na wao wangenunua nyingi wachome ili muende sawa mtandaoni kama wanavyofanya hao mawakala wa chadema.

Big up chama cha Mapinduzi. Na Jamani tujitokeze kwa Wingi kuchoma kadi na kutuma video Maana ndiyo Dawa pekee ya Kumsaidia apone Kichaa Chake
 
So you think you are smarter than Mange? Yeye anatumia jina Lake Halisi..

Kama wewe ni shujaa Omba mods utumie jina lako Kweli...

Jibu hoja Kwa hoja.. Acha matusi

So bit.tch must be "smarter" cause she uses her real ID? I think not. If a spiteful, garbage-spewing, arrogant, good for nothing bi.tch can be your role model or whatever, then you must be suffering from serious psychological issues. Like I usually say to people of your ilk, check yourself before you wreck yourself.
 
Upuuzi mtupu kuamini kama mange anaushawishi wa 60% ya watanzania 55mils. Kuna sababu nyingi za kuwa follows wa mtu , kuchukuliwa kuwa ni ufuasi, kwa mtu mwenye akili timamu ni kujidanganya.
 
Swali kubwa kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.. Unaweza kuwa na wafuasi wengi bila kuanza na mmoja? Ulishajiuliza why Chama hushangilia kinapovuna Mwanachama mmoja? Mnaujua ugumu tunaoupata kujenga Chama Vijijini? Mnadhani ni sawa na kutumia smartphone kujibu ujinga kwenye mitandao?
Mtu yeyote mwenye ushawishi hata kwa mtu mmoja ni muhimu sana kwenye Chama.. Anapotoka na kutoa madai yenye maana na kejeri hawezi kujibiwa kwa kejeri.. Ni hatari kwa ustawi wa chama..
Jiulizeni, tangu Lowasa atukanwe akiwa CCM na hata sasa CHADEMA amepoteza nini? Linganisheni na hasara aloipa CCM mpaka sasa! Mnafahamu CCM ilivyopoteza? Kuna aliyefikiria UKAWA watapata kura milioni 6? Ngapi zilipunguzwa?
Haifai kumchokonoa Mange.... Kama ambavyo haifai kumpuuza!

Umehamaki, unahamaki na utahamaki zaidi bila sababu ya msingi wala sekondari wala tertially.

Tathmini ya ukubwa ama udogo wa swali haijibiwi kwa hamaki namna hii. Ama matusi. Ama vitisho. Ama viroja.

Swali linabakia: ushwawishi na nguvu za Mange Kimambi vinazidi ukomavu, umahiri na ubobevu wa Mh Lowasa?

Wewe vicdala55 endelea kujenga chama. Timiza wajibu wako.
 
Back
Top Bottom