Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Fallacy point!! Kwa Hiyo akamatwe? Hivi hamuwez kufanya siasa nguvu ya hoja bila kutumia nguvu ya dola?
 
Yani Mange aue ccm? Jamani mbona kituko hiki?
 
MANGE IS NOTHING BUT A VERY FRUSTRATED WOMAN




REGARDLESS OF WHOM SHE IS, BUT SHE IS NOT THE ONE TO IGNORE.


DON’T FALL IN A TRAP OF COMPLACENT, BE A BLACK BOX THINKER.


REMEMBER THE MARGINAL GAINS CONCEPTS.
 
Mange ni Kimbilio la wanyonge. Alikosea tu kutumika kumtukana Lowasa anatakiwa atubu.

Nimepata tetesi huenda akawa recommended kupokea tuzo ya noble peace prize awards na watu wa TIMES wanamfuatilia kwa karbu sana huenda akawa TIMES person of the year 2017.
 
Mange Kimambi amechukua hadi ya uanachama tarehe 3 Machi 2015. Pia Mange Kimambi anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sasa hapo utasemaje kuwa anajua siri nyingi za CCM? Alichukua kadi ya CCM kwa tamaa ya madaraka. Sasa katoswa anaanza kutukana viongozi wa CCM. Ni mpuuzi tu anaweza kumshabikia Mange Kimambi
Sasa kwa nini pole pole alipoteza muda wake kumjibu
 
Tuliza jazba, matokeo yake unaandika herufi kubwa na ndogo humo humo hata vituo hufanikiwi kuweka.
Haya ndiyo matokeo ya elimu uliyopata chini ya chama chako unachokitokea povu humu kila siku.
Kuna watu walikuwa na siri za CCM kama KINGUNGE na LOWASA? Kawaulize kilichowapata CCM na siri zao walizokuwa wakijua.Mange is a non entity.Na kwa taarifa yenu msiojua wafuasi wengi mnaosema anao kwenye mitandao asilimia kubwa walikuwa CCM wenzie kaondoka angalieni atakavyodorora kama akina kingunge na lowasa
 
Kuna watu wanamchukulia huyu mwanamke seriously kweli? CCM ife sababu ya mange na watu tena wanaume wanaamini au mnadhani kila mtu yupo Instagram? Bangi mnazovuta lazima mnachanganya na mavi
 
... Mange anawafuasi wengi na asilimia kubwa humuelewa.. Dada yangu alikuwa CCM pure ila Leo tu kabadilika

... PolePole ni mtu wa mitandao ya kijamii hivyo ataumia kuona anachofanya Mange ukizingatia yeye ni mtu wa Itikadi na Uenezi hivyo akiendelea kumjibu atazidi kukichafua Chama..Mange akiibua clip za Polepole kipindi cha katiba ni hatari sana kwake na Chama

... Kuna watu wanaosoma na kumuelewa kimya kimya na kulisha sumu wengine...huwa mitandao inasambaza habari exponentially ndio maana info za social network zinakuwa viral...

... Sasahivi kila mwenye shida na aliyeonewa hutuma lalamiko kwake.. Yaani Amekuwa kama sanduku la maoni hii huleta picha mbaya serikalini hata kama ni uongo...

... Alikuwa ndani ya CCM na anajua madudu yao na ana marafiki wengi wapo humo.. Wakimpa info za ndani na kuziweka public Chama kitaangamia

.. Anawavutia sana millenials ambao huwa kawaida hawapendi siasa na sasa wanapata updates kila siku... Hii ni hatari Kwa Chama cha Mapinduzi..


Mange Spring is Real... CCM tuchukue tahadhari mapema!


Ethos
Kama yeye ni hatari basi kila mtu anaweza kuwa hatari. Hana lolote wengi tumemjua humu humu insta na jamiiforums hajawahi kuwa na wadhifa wa kutetemesha CCM. Hana siri wala lolote. Ni mfa maji. Ashughulikiwe.
 
Frustrated wapi,,,mtu yupo ughaibuni! Njaa ya Africa si sawa na ya ulaya au US! We labda unaulevi wa shida hata hauitaji pombe tena...!
 
Mange ana madhara zaidi Chadema, anawataka Chadema wamsimamishe Zitto Urais, je Chadema watakubali
 
Sijawahi kuona vijana wajinga kama nyinyi.. Nilitarajia mpinge hoja za mtoa hoja kwa hoja. Matusi na kupuuza alichosema ni matumizi mabaya ya akili ndogo mlizonazo.... Naamini hata PolePole atashangaa kuona aina ya watu wanaotumika kujibu hoja za huku JF.

Hata hivyo sishangai, nimetumikia jumuiya ya Vijana kwa miaka mitano, Nawafahamu vizuri vijana wenzangu, hizi ndizo hoja zao hata kwenye vikao.

Ukisikia tamko lolote la jumuiya lisilo na matusi linalotolewa kwenda kwa mtu au kikundi cha watu wenye mawazo na msimamo tofauti na Chama, basi ujue limetolewa kwa shingo upande. Lazima litakuwa limetoka chini ya usimamizi kiongozi wa juu kuliko jumuiya yenyewe.
Rejea matamko yote ya jumuiya kwa miaka ya karibuni, anzia unguja mpaka kule bara.
Moja kati ya maeneo ambayo Polepole anatakiwa kuyafanyia kazi ni hawa vijana wa propaganda kwenye mitandao ya kijamii... Ukweli ni watupu sana kichwani.
Hata hizi mbinu za kuifungia JF ni matokeo ya hasira za wakubwa kufuatia kushindwa vibaya kujibu hoja makini za huku JF.
Nobody in their right senses would waste their brain power responding to all the garbage desperately attention-seeking low life scums like Mange produce on the daily. So f.uck your opinion.
 
Mange ananguvu sana kwa upande Wa kina Dada Na kina mama Wa nyumbani kuna watu hawalali bila kumsoma mange hii kampeni amefanikiwa ccm naamini watabaki Na watu wachache sana mwisho Wa siku watapoteza majimbo mengi sana
Mange anajua kuwachafua watu mitandaoni(character assassination) na sio kujenga hoja kuweza kuwashawishi wananchi,Wapinzani wanapaswa kuhubiri sera zao
Majority ya watanzania wako vijijini huko hata umeme hakuna,angeweza kuwafikishia ujumbe kweli
 
Back
Top Bottom