Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange mdada mwenye akili anayejitambua, anongea facts kwa evidence. Tanzania nzima inamfahamu has a JPM kwani anaikosoa serikali yake hadi Mara kadhaa ameshatoa Maelezo pale Mange aliposimamia jambo.

Ninamwamini kuwa kile anachokifanya ni kwa nia ya kuwakomboa watz dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia, na mengine mengi, tumuunge mkono tuikomboe nchi yetu...
 
Huyu dada keshaona dalili ya kua deported na Trump...she tryna prove that coming back to TZ isn't safe to her and her family..just thinking
Acha kuhangaika na kujitoa akili Mange ni mpambanaji hata babako pogba anamfyata
 
Devastated woman.....kaachika,hana rafiki hata mmoja maisha yake ni ya stress kubwa mno anagombana january mpaka january anahitaji kupimwa akili.
Acha ushamba kwani kuachika cha ajabu kipi??? Mwenye stress anaweza kumliza JPM??? Tuliza kalio sindano ipenyeee..
 
Huyu Mange ndio nani?, by the way si huyu huyu aliipigia kampen ccm ambayo Leo anachoma kadi yake na kihamasisha wengine wachome kweli njaa kitu kibaya ndio maana sinaga time na wanasiasa kwa sababu wapo kwa ajili ya matumbo yao I always conc kumake mshiko sio kusikiliza siasa uchwara za nchi hii ambapo endapo mwanachama anaona maslah yake hayaendi sawa anatafuta gia ya kutambulika
Siasa ni maisha yetu ya kila siku, hata hizo shughuli zako za mshiko bila siasa usingefanya, hata kwenda choo kwako ni siasa, so tuliza kitenesi mwache Mange afanye yake nawe fanya yako.
 
100%, tunamdharau na kumpuuza coz tunajua matatizo ya akili aliyonayo.
Ww wa Lumumba unayeishi kwa buku 7 baada ya kuja kucoment umbea hapa na Mange anayetambulika na serikali yako kwa Nazi yenye facts, nani mwenye stress ww au Mange???
 
Naona ananyea kambi.
Anachoma kadi kwa mbwembwe.Siku TRUMP akimtimua Marekani mkuku atatukuta wana CCM AIRPORT tukimsubiri kwa hamu
Ukimsubiri airport baada ya kupokea buku 7 toka Lumumba huku ukiwa umepauka na midomo kukukauka kwa dhiki..
 
Usicheze na giant mwenye hekima na busara hata siku mmoja. .you puppet. .
 
Mange ana tatizo la Bipolar disorder,talaka,kukosa pesa,kuishi katika maisha ya hali ya chini vyote hivyo vimemsababishia Bipolar disorder.
Watu km we ndio mlinyweshwa maji ya bendera ya kijani??? Nenda jioni ukapokee buku saba Lumumba lkn Mange ni kiboko ya babako JPM
 
Kuna wakati huwa nawaza kuwa na mwanachma wa aina yake chamani ni shida
 
Omeongea meengi mwisho ni kule kule tu bavicha
hao wafuasi 0.75 milion mbona hakuna mgao wa ccm damu?ina maana wote hao hakuna wafuasi wa ccm?hapo ndipo mnapigwa mwereka na ccm.Siku zote kura ya mtu wa ccm haigeuki akigeuka huyo sio ccm

BAVICHA NDIYO NINI?

PILI UKIWA UNATAKA KULIELEWA JAMBO UWE UNASOMA NA NEUTRAL MIND APPROACH UTAYAONA MENGI NA KUJIFUNZA MENGI. DONT BLACK OUT YOUR POWER OF THINKING KUTOKANA NA MAPENZI AU MTAZAMO WAKO LA SIVYO UTAKUWA UNASHINDWA KUJIFUNZA.

XMAS NJEMA
 
Watu km we ndio mlinyweshwa maji ya bendera ya kijani??? Nenda jioni ukapokee buku saba Lumumba lkn Mange ni kiboko ya babako JPM
Mange hawezi kuwa Tatizo kwa Magufuli.Huko marekani anaishi kwa makaratasi tu
 
Back
Top Bottom