Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Ndio maana watanzania hatutaki kuruhusu uraia wa nchi mbili.Wabaki huko huko na Trump wao.

Kiongozi kuwa na Green Card sio sawa na kuwa raia, ila unapata haki karibia sawa na raia wa kule.
 
Mimi mbona nilitawazia kadi ya ccm na kuitupa chooni hujanidharau.
 
Wapiga deal tu ndo watakaochoma na kwa bahati mbaya wapiga deal wengi si wapiga kura na hawazidi hata 15%

Hebu fanya kuongezea hiyo 15% unayosema kwenye ile 40% ya Lowasa afu rudia maneno yako.
Unafikiri jpm alipiga push up kwa kupenda? Mngwira wa ACT alipiga campaign ya nguvu lakini hata 1% ya kura zote hakupata.
Namhurumia Maxence Melo.
 
Nilichogundua pamoja na mambo yote ila mange yupo vizuri sana katika kampeni za kupakana.

Hyo kampeni yake aliyoanzisha nina iman ita trend sana
 
Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?

Nitoeni tongotongo mwenzenu.
kadi ya chama ni mali yako unaweza kuifanyia chochote unachotaka ndio mana unailipia na usipoilipia kwa muda inapoteza uanachama sio kwa sababu huna kadi ila kwa sababu hujailipia
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.

1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

Kadi ni mali ya chama, ni sawa na kitambulisho cha kazi ni mali ya mwajiri hivyo anaweza shitakiwa kwa kuharibu mali kwa makusudi. kuwa marekani haimaanishi mkono wa sheria hauwezi kumfuata huko.
 
Alipokuwa anawatukana akina Lowassa na viongozi wengine wa upinzani mwaka jana mlikuwa mnamshangilia na kumpigia makofi.. Leo amewageuka mnamtangaza mgonjwa na yuko desperate..

Niliwaambia sifa moja kuu ya chizi ni kwamba hana jalala moja, mkabisha.. Oneni sasa anavyowavua nguo hadharani.. Na uzuri ni kwamba masheria yenu ya mitandao hamuwezi kumpata wala kumzuia hata kidogo.. Ngoma haitaki hasira hii..

Na uzuri wakati wa kampeni alikuwa bado na mzungu wake wala hakuwa single mother...
 
kadi ya chama ni mali yako unaweza kuifanyia chochote unachotaka ndio mana unailipia na usipoilipia kwa muda inapoteza uanachama sio kwa sababu huna kadi ila kwa sababu hujailipia
hapana kadi ni mali ya chama ni sawa na kitambulisho cha kazi ni mali ya mwajiri ndio maana ukiacha kazi unakirudisha, kuchoma kadi ni sawa na kuchoma gari au jengo la ccm anapaswa kurejeshwa nchini na kufikishwa mahakamani.
 
hauko sahihi kadi ya chama ni mali ya mwanachama ndio maana unainunua na ndio maana ukihama chama kadi hurudishi ulikochukua bali huikabidhi kwenye chama kipya na kuziteketeza. usifananishe kadi ya chama na kitambulisho cha kazi au shule n vitu 2 tofauti
 
Kadi ni mali ya chama, ni sawa na kitambulisho cha kazi ni mali ya mwajiri hivyo anaweza shitakiwa kwa kuharibu mali kwa makusudi. kuwa marekani haimaanishi mkono wa sheria hauwezi kumfuata huko.
Mshtakini basi au muombe arudishwe nchini ndo tujue mna wanasheria nguli kiasi gani
 
Mahojiano haya yamenifungua nijue kwamba kisa cha opereshenchoma kadi ni baada ya kutumbuliwa boss NIMR,maana Kimambe kamthibitisha huyo boss kama rollmodal katika maisha yake
 
Hiyo ni

[HASHTAG]#operationCCMonFIRE[/HASHTAG]
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.

1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

Picha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
 
Mkuu Mange ndio nani hapa Tanzania?
Ni changudoa aliyekuwa anajiuza pale jolly club zamani leo wanapaita Kisuma lounge, alipata babu wa kizungu aliyekuwa ametembelea Tanzania kama mtalii alimuuzia 071 babu mzungu akaamua kuondoka nae jumla kwenda marekani sasa nayeye anajiona kama Trump.
 
Back
Top Bottom