Msukule hata akipewa unga huona kapewa pilau
tuheshimiane mkuu mimi na wewe hatufahamiani na mama yangu humfahamu mwambieni huyo malaya wenu ccm hatumhitaji.
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
![]()
Kma kweli anajiamini hayo mambo kwa nini asiyafanye akiwa hpa Tanzania...yuko abroad anataka tujitoe kafara sisiChizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Unga huo unga upi? Maana usilopokwe bila kujua unga upiPilau inaleta ugonjwa wa moyo, unga unajenga mwili. Mpaka ujuwe umuhimu wa usawa, haki na afya ndiyo utachaguwa kupokea unga na siyo pilau.
hujanielewa nimesema wamwambie mange kimambi hatumtaki ccm.Kama uhitaji CCM hama kachaguwe mama mwingine. CCM under Magufuli is here to stay, accept it and move on.
Mange hakopeshi. Kwa kweli operesheni choma kadi ni njia murwa ya kufikikisha ujumbe.Huyu dada me namuonaga chizi kwenye maswala ya kufanya bullying ....bt anapokuwa kisiasa namuaminia na ninamkubali ....
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
![]()
Watu wanachoma hadi bendera ya taifa kufikisha ujumbe sembuse kadi ya chama.Kuchoma kadi kuna saidia nini? Mtu wa namna hii huwa na chuki huku anakipenda chama na hataki kukiacha, sasa kupunguza stress anajifariji kuchoma kadi ila chama bado anakipenda moyoni na hawezi kukiacha. Kama unachukia chama chukuia kuanzia moyoni.
na alikua mtu wa kwanza kusema hadharani kua makonda vyeti sio vyakeKwani mada iliyopo mezani ni kuchoma lumunba au kadi ya ccm, hakika ccm inaonekana ina watu wengi ambao ni Bashite Materials, kwa maoni yangu mkuu wa kaya afanye upembuzi yakinifu kwa wateule wake, yawezekana tunaongozwa na kina Bashite wengi sana
Mange hako
Mange hakopeshi. Kwa kweli operesheni choma kadi ni njia murwa ya kufikikisha ujumbe.