Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

BAVICHA NDIYO NINI?

PILI UKIWA UNATAKA KULIELEWA JAMBO UWE UNASOMA NA NEUTRAL MIND APPROACH UTAYAONA MENGI NA KUJIFUNZA MENGI. DONT BLACK OUT YOUR POWER OF THINKING KUTOKANA NA MAPENZI AU MTAZAMO WAKO LA SIVYO UTAKUWA UNASHINDWA KUJIFUNZA.

XMAS NJEMA
Povu!hiyo mada ulio quote ndio ina mapenzi na mtazamo wako.0.75 million followers hakuna hata ccm?acha kujifariji brother!
 
Kasaka tonge mpaka kaamua kwenda kuuza papuchi marekani sasa anamua kujitoa akili angechoma na papuchi afe njaa vizuri
Yako umeuzia wangapi?? Nn umepata zaidi ya njaa hadi umejigeuza kipaza sauti cha Lumumba lkn bado huna jipya tumbo limeshikana na mgongo kwa njaa.. Nyambafff.
 
Hao followers wake haimaanishi kuwa wengi wao wako ccm na ingekuwa hivyo basi angepita kiti cha ubungo kwenye uchaguzi uliopita.

MAJIBU YAKO YANAONYESHA HUKUSOMA MAELEZO YANGU VIZURI AU UMESOMA NA HUJAELEWA.

PILI WAPI NIMESEMA WAFUASI WAKE WAKO CCM?

NIMEONGELEA DAMAGE WANAYOWEZA KULETA KAMA WAKIAMUA KUPIGA KURA UPANDE MWINGINE NA SIYO UBUNGE TU HATA KURA ZA URAISI.

WATANZANIA TUKO KARIBU MIL.60 NA WANAOPIGA KURA SI ZAIDI YA MIL 16. TOFAUTI YA KURA ZA URAISI MWAKA JANA NI MIL 2.8, SASA HAO MIL.075 HUONI KAMA WANAWEZA KULETA HATARI KWENYE KURA ZA UCHAGUZI MKUU?

NDIYO MAANA NILISISITIZA KWENYE MARGINAL GAINS CONCEPT NA UNGEENDA KWANZA KUJUA HIYO CONCEPT INAFANYA VIPI KAZI NA MLENGO WAKE MZIMA NI NINI KABLA HUJAJIBU.

NYINYI VIJANA WA NCHI HII MNAKUWA NA SHAUKU SANA VITU AMBAVYO VINAZUIA HATA UWEZO WENU WA KUFIKIRI.

LAKINI HATUWEZI KUWAACHA TU HIVI HIVI TUTAJITAHIDI KIDOGO KIDOGO HIVI HIVI ILI MFUNGUKE AKILI.
 
8e2aa4ebfedede241bb8f365787499a2.jpg
 
Vyote hivyo vina imply hivyo maana kama alikuwa ccm amechana kadi yake na kutoa lugha ya kifedhuli dhidi ya chama chake cha zamani ni wazi kuwa ulidhamiria kusema kuwa kwa vile ana wengi wanaomfatilia basi huenda baadhi yao nao wakafuata mkumbo.
 
Povu!hiyo mada ulio quote ndio ina mapenzi na mtazamo wako.0.75 million followers hakuna hata ccm?acha kujifariji brother!

SHUKRANI SANA SABABU NAWEZA NIKAWA NAPOTEZA NGUVU ZANGU WAKATI UMEGOMA KABISA KUELEWA NINI NACHOZUNGUMZIA AU UBONGO WAKO HAURUSU HAYA NINAYOYAANDIKA YAMENG'ENYWE.

PILI UKAE UKIJUA HILI NI JUKWAA HURU KUNA WANA-CCM KAMA NYINYI, KUNA WENGINE WAKO UPANDE WA UPINZANI NA WENGINE SISI NI WANAHARAKATI.

TUNATUMIA KIDOGO MUNGU ALICHOTUPA NA KUKUSANYA YALIYOPITA, YALIYOSEMWA, YALIYOANDIKWA NA KUCHANGANUA ILI TUWEZE KUSHARE NA WENZETU.

UWE NA SIKU KUU NJEMA YA XMAS NA MWAKA MPYA

BYEEE!!!!!
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.

1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

Namuona Kama chizi tu au mlevi ! Huwezi kuiua ccm kwa kuchoma kipande cha karatasi !
 
Acheni utani..!!!

Wangapi wanamjua huyo mtu hadi awe na influence kwenye uchaguzi mkuu.

Huyo mtu mnamfahamu watu wachache sana.

Marekani kupitia CIA ilimlea Osama Bin laden na alipoiva walimtumia kuisambaratisha USSR for security and economic survival..

Lakini ilifika Time US wakashindwa kukakamilisha terms and conditions za agreement walioingia na osama akimaliza kazi yake...

Osama alikuja kuwageuga na akawa mwiba kwao...kwa kusupport nchi adui wa us..

The only solution was to eliminate Osama Bin Laden with his crew...

Mwaka jana ccm walimlisha mange kimambi informations nyingi za ukawa na allimtukana sana lowassa na ukawa kwa ujumla...hadi wakapoteza urais na majimbo kwa influence ya mange

Baada ya ccm kushinda ,wakafanya kale kale ka mchezo ka Marekani ka kutokulipa fadhila kwa kazi ya mange...

Sasa mange amegeuza kisahani...! Kama kama osama sasa..! Ukawa labda nao wanamfeed habari za ccm na serikali ya magufuli...wananchi wanamfeed mange pia..na vitu vingine viko obvious tuu...

Ccm wanatakiwa wawe na solution juu ya mange ila NAOMBA ISIWE kama ya Marekani na Osama...

ccm wakae chini na mange wayamalize tuu..manake mange ana njaa na pia anawanyoosha kwa sasa....

Ni hayo tuu...

Transcend
 
Vyote hivyo vina imply hivyo maana kama alikuwa ccm amechana kadi yake na kutoa lugha ya kifedhuli dhidi ya chama chake cha zamani ni wazi kuwa ulidhamiria kusema kuwa kwa vile ana wengi wanaomfatilia basi huenda baadhi yao nao wakafuata mkumbo.

SASA INA MAANA HUKUONA WANAOCHOMA KADI ZA CCM KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM?

AISEE SASA NIMEJUA TATIZO NI NINI, INAWEZEKANA HATA HUYU DADA HUMJUI AU UNAMSIKIA KWA WATU TU.

NENDA INSTAGRAM YAKE UONE WANAOMTUMIA PICHA WAKICHOMA BENDERA NA KADI ZA CCM.

MIMI SINA FACEBOOK WALA INSTAGRAM ACCOUNT LAKINI KWA KUJIFUNZA KITU NIMESHATHUBUTU KUITAFUTA ACCOUNT YAKE NA KUONA USHAWISHI WAKE.

UNA MENGI SANA YA KUJIFUNZA MIAKA 5 JF BADO UMESHINDWA HATA KUJUAA MBINU ZA KUWA MWEREVU KIDOGO.

POLE SANA NDUGU YANGU.

UWE NA SIKUKUU NJEMA NA MWAKA MPYA
 
Kuna vitu huwa najiuliza sana ,what if Mange ni double agent ? Kwa maana ya kwamba anaonyesha anapigania udhalimu wa serikali kumbe pia serikali inamtumia kupata vitu fulani ?
Hawa wanaotuma videos au pictures kupitia whatsapp wana uhakika gani taarifa zao zinaishia kwa Mange ?
Acha kumsemea Mange angekuwa double Agent ikulu ingehangaika kulisemea swala la makamu wa raisi kujiuzulu??

Angekuwa double agent swala la misaada ya kagera kupigwa panga kuwa ni bill 6 serikali ingehangaika kuweka mahesabu vzr??

By the way kadi ni Mali ya mwanachama aliyoinunua kwa Pesa anahaki kuifanya apendavyo...
 
SASA INA MAANA HUKUONA WANAOCHOMA KADI ZA CCM KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM?

AISEE SASA NIMEJUA TATIZO NI NINI, INAWEZEKANA HATA HUYU DADA HUMJUI AU UNAMSIKIA KWA WATU TU.

NENDA INSTAGRAM YAKE UONE WANAOMTUMIA PICHA WAKICHOMA BENDERA NA KADI ZA CCM.

MIMI SINA FACEBOOK WALA INSTAGRAM ACCOUNT LAKINI KWA KUJIFUNZA KITU NIMESHATHUBUTU KUITAFUTA ACCOUNT YAKE NA KUONA USHAWISHI WAKE.

UNA MENGI SANA YA KUJIFUNZA MIAKA 5 JF BADO UMESHINDWA HATA KUJUAA MBINU ZA KUWA MWEREVU KIDOGO.

POLE SANA NDUGU YANGU.

UWE NA SIKUKUU NJEMA NA MWAKA MPYA
Hizo kadi kuchomwa /kuzirudishwa/kuzitupa/kutolipia watu wamekuwa wakifanya hivyo kwa zaidi ya miaka 20. kwa hiyo siyo ajabu kwake kufanya hivyo.
 
Kadi ni mali ya chama .... anaweza kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kuharibu mali ya chama
Kadi ikishanunuliwa ni Mali ya mqanachama hivyo unaweza kufanya chochote, mbn chadema wanazichoma usiku na mchana. Km umeichoka tia kiberiti au iloweke kwani hizo kadi zina fireproof.
 
leteni polojoooo...............ila anachokifanya kinawaumiza sana ,na mnajua impact yake ,mkija hapa mnajitoa ufahamu ila ukweli kadi zinazidi kuteketea .
 
Acheni utani..!!!

Wangapi wanamjua huyo mtu hadi awe na influence kwenye uchaguzi mkuu.

Huyo mtu mnamfahamu watu wachache sana.
Kama sio influencial angalia kina polepole wanavyohaha kumtuliza mange
 
Acheni utani..!!!

Wangapi wanamjua huyo mtu hadi awe na influence kwenye uchaguzi mkuu.

Huyo mtu mnamfahamu watu wachache sana.
Uzi huu umeweka rekodi yake,angalia wachangiajs na watu waliview ndio utajua influence yake!Mpaka ikulu inamjibu huoni impact yake,andika wewe kama utajibiwa!
 
Acha kumsemea Mange angekuwa double Agent ikulu ingehangaika kulisemea swala la makamu wa raisi kujiuzulu??

Angekuwa double agent swala la misaada ya kagera kupigwa panga kuwa ni bill 6 serikali ingehangaika kuweka mahesabu vzr??

By the way kadi ni Mali ya mwanachama aliyoinunua kwa Pesa anahaki kuifanya apendavyo...
Wewe huwezi kuelewa hivi vitu ,unafikiria wananchi watamuelewa vipi Mange kama kweli anaipinga serikali hii kwa dhati bila kuwa na backup story kama hiyo ya makamu wa rais ? Anyway haya mambo tuachane nayo kila mmoja ana mitazamo yake na uhuru wa kufikiria
 
Watu watakiwa kutuma video wakichoma kadi zao kwa njia ya whatsup..

Kama upo CCM na unapinga swala la MAX kuwa kizuizini tafadhali muunge mkono..

Atafanikiwa?

2fe796c19889d3f1b20f2143021d6cfb.jpg

UNACHOMA KADI YA NINI? CHOMA PASSPORT UHAME NCHI. SHAMBA LA BIBI LIMEFUNGWA NENDA CONGO NA GAMBIA SHAMBA LA BIBI HUKO BADO UNAWEZA KUVUNA BILA KUFANYA KAZI.MIMI SICHANI KADI YANGU, NA 2020 NAMUCHAGUWA RAIS MAGUFULI
 
kachelewa sana, mm nilifanya hvyo 2005 baada ya rais Ben Mkapa kutoka madarakan
 
Back
Top Bottom