Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
...wahenga walisema; nyoka huyo, na apite...utajashtukia kafika miguuni pako. Mnalo hili na nyie!...
huenda FIFA wameamua kusimamisha English domination kwenye UEFA kwa namna zozote ziwezekanavyo,...
walianza na EDUARDO, CHELSEA, sasa MAN U kisha LIVERPOOL nanyi mlisubiri lenu!
Baasi, hapo kuna ukweli maana si umeona Platin anavyopiga madongo timu za Uingereza kila akipata chance Blatter naye mzushi tu. Alafu inakuwaje ni timu za Ufaransa tu ndio zinalalamika kuchezewa michezo michafu? Mnakumbuka issue ya Charles N'zogbia?
Last edited: