Hii ni kwa sababu enzi za timu kutoka Laliga Santander kutamba Zimekwisha, Ukiangalia kwa umakini ubutu wa safu ya ulinzi ya Barca na ukali wa washambuliaji wa Man U wakiongozwa na Marcus utagundua kwamba Barcelona haitoki nje ndani.

Ni suala la kusubiri tu .
Man u inabeki gani makini?


Akili za chadema mbovu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mapenzi upofu. Yani leo team yenye Lukaku inajiona ina nafuu kuliko team yenye Messi?

- KANA -
 
Ed Woodward amemuhakikishia Ole Gunnar Solskjaer kuwa atampatia kiasi cha pauni milioni 200 kwa ajili ya kuimarisha ama ksuka kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao na atajua mwenyewe jinsi gani ya kuzitumia hizo pesa..
Lakini kama mimi ningekuwa Ole ama ningepewa nafasi ya kumshauri asukeje kikosi chake basi ningeanza hivi
#Kupunguza wachezaji pale OT.
Achilia mbali Ander Herrera na David De Gea ambao hao wote inasemekana huenda wakahamia Psg msimu ujao pamoja na Paul Pogba ambaye anahusishwa sana na kutua Real Madrid msimu ujao hivyo sitowaweka kwenye mipango yangu kwa asilimia 100 na kama nitaamua kumuuza Pogba basi offload yangu itakuwa hivi
1.Paul Pogba-pauni mil 150
2.Eric Bailly-pauni mil 45
3.Chris Smalling-pauni mil 40
4.Alexis Sanchez-pauni nil 45
5.Marcos Rojo-pauni mil 30
6.Phil Jones-pauni mil 40
7.Ashley Young-pauni mil 20
Hapo kwa hiyo offload nitakuwa nimeingiza kiasi cha pauni mil 370 ukijumlisha na ile 200 ya Ed nakuwa na jumla ya pauni mil 570..ambayo nitaitumia yote kwa manunuzi haya
1.Jordan Pickford(26yrs GK)-pauni mil 40 from Everton.
2.Kalidou Koulbally(27yrs CB)-pauni mil 70 from Napoli.
3.Kostas Manolas(27yrs CB)pauni mil 40 from Roma.
4.Joao Cancelo(24yrs RB)pauni mil 55 from Juventus.
5.Matthijs De Ligt(19yrs CB) pauni mil 60 from Ajax.
6.Alex Grimaldo(23yrs LB) pauni mil 30 from Benfica.
7.Ruben Neves(22yrs DM) pauni mil 40 from Wolves
8.Bruno Fernandes(24yrs AM) pauni mil 55 from Sporting.
9.Hirving Lozano(23yrs RW) pauni mil 40 from Psv
10.Ousmane Dembele (21yrs LW) pauni mil 80 from Barca.
11.Luka Jovic(21yrs ST) pauni mil 60 from E.Frankfurt.

Note ; Usajili huo wote sio kwamba ni wakukurupuka ila nakuwa na backup ya wachezaji ambao hata akiumia mmoja unakuwa na backup ya uhakika mfano kwa kikosi kilichopo pale nikichanganya na hawa
GK-Romero/Pickford.
RB-Dalot/Cancelo
LB_Shaw/Grimaldo
CB-Lindelof na Koulbally/ De Ligt na Manolas.
CDM-Matic/Mctominay/Neves.
CAM-Perreira/Fred/Fernandes.
CF-Lukaku/Martial/Jovic/Rashford
RW-Rashford/Lingard/Dembele..
LW-Martial/Rashford/Lozano.
Hapo nitafanya rotation nzuri tu kwa kuwa michuano ni mingi sana(Premier League,Efl,Fa,Champions League/Europa) na sitokuwa na wasiwasi na yoyote atakayeanza wala atakayeumia..pia kikosi changu hicho kitakuwa ni cha mipango ya muda mrefu kutokana na asilimia 98 ya kikosi hicho ni vijana wadogo.
Bila kusahau kuwatafutia game time ya kutosha vijana kama Angel Gomes, Mason Greenwood,Tahith Chong, James Garner pamoja na vijana wengine watakaopandishwa msimu huo..
NI MTAZAMO WANGU TU.
Hauna tofauti na kilimo cha kwenye daftari, ingia shambani uone mziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom