Tatizo hamkubali kuambiwa ukweli kwamba United kuna tatizo.Kashabikie Bayern basi mkuu ili usiteseke, wacha si tuendelee kupambana na hali zetu, huwezi fananisha timu hvyo kila timu inamipango yake!
confirmed??
Tatizo hamkubali kuambiwa ukweli kwamba United kuna tatizo.
Huwezi jifungia na kuridhika kwamba hakuna tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda akamkalishe pazia lako KEPA lakini sio kwa Mnyama ALLISON hagusi hata roboLeno anauwezo mkubwa tu wa kumkalisha De Gea au Allison ..ila timu anayocheza ndo hivo haina future yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba Pogba ana mazuri yake na Madhaifu yake kama mchezaji mwingine yoyote sasa kama unataka kumjudge mchezaji lazima uangalie kipi ni zaidi mazuri ama mabaya? Ukiangalia mchango wa Pogba kwenye timu ni mkubwa sana kiasi kwamba hzo sababu mnazotoa za kufanya auzwe zinakuwa hazileti mantiki,na lazima pia uangalie akiondoka je utaweza kuziba pengo lake? wachezaji wazuri siku hizi ni bei ndefu kinoma na unaweza msajili kwa bei ndefu na kumpa mkataba mrefu na bado akaja kuzingua vile vile mfano mzuri tumeona Sanchez.
Hilo swala la uvivu sijui hajitumi, sijui linatokea wapi aisee labda mjaribu kulifafanua vizuri, mtu ana BAO 14 na assist 10 hapo bdo hujaesabu machance kibao ambayo anatengeneza watu wanazingua kufunga, hivi angekuwa hajitumi na mvivu hizo namba zingetokea wapi??kwa namba hzo tayari ameshawafunika wachezaji wakubwa wengi tu ulaya,hilo swala la altitude yake kuhusu UTD mi nilipoona kakosea na kukosa heshima ni kwenda kuongea kwenye media ndoto zake basi lakn sijaona kingine chochote kikubwa cha kuashiria labda haipendi UTD or hayupo commited.
Pogba anahitaji viungo kadhaa kumlinda wakat na yeye ni kiungo ana mchango wake mkubwa tu ila ule u slow hapo pana shida akikutana na viungo korofi kama wa wolves humuoni
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu iko hivi Pogba ni Creative midfielder hajanunuliwa kuja pale United Kukaba maana wakabaji wapo tayari kina Herrera na Mwenzake Matic,Pogba yeye kazi yake pale ni kuwa Playmaker kama walivyokuwa wanafanya kina Pirlo,Tony Kroos,Fabregas etc (hao wote niliotaja hapo wako slow kuliko Pogba) wachezaji wa hivi lazima walindwe na wenzao ili timu iweze kufunction vizuri sasa kama hao walindaji wanzingua hapo ndo utaona hakuna balance kwenye kiungo.
Tatizo jingine ni kwamba hatuna true wingers pale UTD,wachezaji kama kina Martial,Rashford,Mata,Lingard sio natural wingers wote huingia ndani badala ya kutanua uwanja hilo ni tatizo sababu wanaingiliana nafasi hyo inaleta shida unapokutana na Timu zinazoparki Bus au zenye mfumo wa kujaza viungo wengi kati kama Wolves sababu katikati kunakuwa kumejaa na hakuna nafasi ya kucheza.