Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)

Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

Ndombele (Lyon)

Christian Ericksen (Spurs)

Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)

Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)

Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu

Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)

Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial

Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu Mimi best option ni Eriksen ambaye ameprove kucheza vizuri sana kwenye English football

Watu wanataka kutuaminisha kuwa Pogba hana replacement Kitu ambacho siyo kweli mbona vipaji vipo vingi sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
team inahitaji kudevelop sio kilo siku tunaanza moja
Di Maria
Falcao
Depay
Ibrahimovic
Mkhitaryan

timu inashida ya kucover mapengo kwa sasa imagine Pogba ameondoka replacement yake utaipata kwa hela ngapi kwa wakati huu?? wakati huo huo kuna nafasi kama nne zinahitaji watu.

by the way replacement ya Beckham ilikuwepo kabla ya yeye kuondoka
 
Makosa ya Ashley Young ni ya kawaida kiuchezaji ya pogba angalia mengi husababisha tufungwe worse enough team inacheza kwa kumtegemea kama key man kwahiyo mistake Moja tu inaharibu kila Kitu.

Unakumbuka kosa la Gerald dhidi ya Demba Ba ? Makosa ya pogba uwanjani ni type hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna kosa la kawaida uwanjani
 
Kwangu Mimi best option ni Eriksen ambaye ameprove kucheza vizuri sana kwenye English football

Sent using Jamii Forums mobile app

Ericksen ni top player ila watu humu mnaongea as if hii ni game ya Playstation kwamba akiondoka hyu unachukua tu yoyote unaemtaka,Hivi mnamjua Daniel Levy nyie?? Berbatov tu kuondoka pale ilikuwa ni kimbembe na babu hatosahau shida aliyoipata,Ericksen ni Key Player wa Spurs unafikiri itakuwa rahisi kumsajili? na unafikiri watataka watuuzie sisi top 4 Rivals? na unafikri Ericksen anataka kuja Man utd?? vile vile uchezaji wa Ericksen ni tofauti na Pogba in terms of physicality so haitokuwa like for like replacement,Ericksen ni replacement ya Mata sio Pogba.
 
Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)

Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

Ndombele (Lyon)

Christian Ericksen (Spurs)

Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)

Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)

Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu

Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)

Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial

Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndombele ameshafanya kipi cha maana mpka umemuweka level moja na Pogba mkuu?
 
Unae tayari mtu anefanya vizuri alafu unataka kumuuza kwa sababu za kijinga,Hyo Pogba mnaetaka auzwe watu wengine wanamtolea mate kumtamani, unauhakika gani hao utakao waleta watacheza vizuri au kufanikiwa kuziba pengo lake?? wakizingua tena mje hapa kulalamika kama kilichotokea kwa Sanchez sio? Mashabiki bwana tunashida sana..🙄
 
Watu wanataka kutuaminisha kuwa Pogba hana replacement Kitu ambacho siyo kweli mbona vipaji vipo vingi sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnataja majina ilihali hao wachezaji mnaowataja hawapo sokoni wakati huu.

Huyo Ericksen yupo sokoni?

Au ndo yale ya kuuziwa kina Fred kwa £100M kisa tupo desperate kumreplace Pogba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)

Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)

Ndombele (Lyon)

Christian Ericksen (Spurs)

Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)

Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)

Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu

Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)

Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial

Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,
then unaenda kuongeza pengo kwa kumuuza moja kati ya best CM in europe kwa sasa. Kwa sababu ambazo hazieleweki.

Anti-pogba wote msiwe na wasiwasi, atauzwa muda ukifika tena kwa fedha nzuri tuu.

Sent using simu mbovu
 
pia Man United isajiri kisa Bayern wamefanya hivyo?? au ulikuwa ukimaanisha nini mkuu
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig

They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)
 
IMG_5068.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kashabikie Bayern basi mkuu ili usiteseke, wacha si tuendelee kupambana na hali zetu, huwezi fananisha timu hvyo kila timu inamipango yake!
 
Back
Top Bottom