Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kashabikie Bayern basi mkuu ili usiteseke, wacha si tuendelee kupambana na hali zetu, huwezi fananisha timu hvyo kila timu inamipango yake!
Punguza shobo mzee unaweza ukaignore tu,I have been on this forum since 2007 you have nothing to advise me about Manchester United
 
Punguza shobo mzee unaweza ukaignore tu,I have been on this forum since 2007

Shobo zipi tena mkuu?kwan nimekufukuza kwenye uzi huu? Mi nimekujibu kulingana na ulivyoongea ww as if Bayern ndo timu bora sana kuliko United, na ukiangalia post zako nyingi nizakulalamika, sasa ili usiteseke nimekupa ushauri wa bure tu mkuu wala usikasirike..
 
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig

They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)
mimi kwenye hizi za usajiri huwaga nafumba macho na masikio halafu naendelea na mambo yangu, sababu hata nikilalamika haitabadilisha kitu sana sana ntapoza muda wangu kuandika kisichobadilika...

Bayern pamoja na kuwa na watu wa mpira ila wamejisahau sana

ova
 
Bayern wamechukua bundesliga back to back for 6 years na msimu huu utakuwa wa 7
 
Shobo zipi tena mkuu?kwan nimekufukuza kwenye uzi huu? Mi nimekujibu kulingana na ulivyoongea ww as if Bayern ndo timu bora sana kuliko United, na ukiangalia post zako nyingi nizakulalamika, sasa ili usiteseke nimekupa ushauri wa bure tu mkuu wala usikasirike..
Sijui hii kasumba ya baadhi yenu mashabiki humu kutaka kila mchangiaji awe na mawazo sawa na yenu mnatoa wapi.

Huyo bwana yupo hapa jukwaani tangu 2007 wewe leo unakuja kumshauri akashabikie timu nyingine kisa ametoa maoni tofauti na kile unachoamini wewe?

Haukutumia busara mkuu.
 
Kama nimemkwaza samahani aisee maana hyo haikuwa nia yangu sema ulikuwa ni ushauri sio tusi kama haukubali au hautaki si unaachana nao tu kwani shida ni nn? Hii ni forum ya kushare ideas,maoni,ushauri etc hayo yalikuwa ni maoni yangu tu na sijamlazimisha kufanya chochote..
 
Habari za muda wadau,
Niaminivyo mimi,pogba ni mchezaji mzuri sana lakini ameletwa pale united kwa malengo zaidi ya moja: kubwa kabisa likiwa brand ya kibiashara ya klabu kama ilivyokuwa kwa akina beckham na ronaldo. Hakuwa na jina kubwa sana wakati akiwa juve ila man utd imemfanya mkubwa na kumpandisha thamani yake kwenye soko la usajili. Ila kwenye suala la kiwango,ana talent kubwa lakini hachangii majukumu yote uwanjani kwa asilimia mia kama ilivyo kwa viungo wengine wengi bora duniani kwa sasa.Ndio maana sijaona barca na madrid wakiwa na mpango naye licha ya yeye binafsi kujitongozesha kwao wazi wazi. Pamoja na uchakavu wa eneo lao la viungo iliyonayo madrid na barca,tulitegemea pogba angekuwa ameishatengenezewa tetesi za kutakiwa lakini imekuwa sivyo. Ni mzembe,mvivu na mbinafsi wa mafanikio uwanjani hivyo timu inakosa uwiano mzuri kwenye eneo la ukabaji.
 
Mkuu pamoja na Daniel Levy kuwa mgumu katika kuuza wachezaji lakini kuna mazingira huwa anakuwa mpole

Ericksen mkataba wake unaisha summer ya 2020 na kwa sasa anataka mpunga mrefu, na Spurs wana very strict wage structure

Kwa hiyo kumpata Ericksen sio kazi kama watu wanavyoweza kuhisi, tena kwa bei nzuri tu
Ericksen ni top player ila watu humu mnaongea as if hii ni game ya Playstation kwamba akiondoka hyu unachukua tu yoyote unaemtaka,Hivi mnamjua Daniel Levy nyie?? Berbatov tu kuondoka pale ilikuwa ni kimbembe na babu hatosahau shida aliyoipata,Ericksen ni Key Player wa Spurs unafikiri itakuwa rahisi kumsajili? na unafikiri watataka watuuzie sisi top 4 Rivals? na unafikri Ericksen anataka kuja Man utd?? vile vile uchezaji wa Ericksen ni tofauti na Pogba in terms of physicality so haitokuwa like for like replacement,Ericksen ni replacement ya Mata sio Pogba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio matatizo ya kusoma comments nusu nusu, ungesoma trend ya comments kuhusu Pogba usinge-post hii kitu

Mjadala umeanza Pogba ana attitude mbovu, ana mentality mbovu lakini isitoshe anaonekana kama pale United kajishikiza maana kila siku ana lia lia, "to play at Madrid is a dream for every player" (practically ni kama anawaambia Madrid waje wamsajili). Wengine wakasema awe captain kabisa.

Wengine tukasema Pogba aondoke maana ni kama kirusi, lakini nikasisitiza iwe plan ya muda mrefu kum replace Pogba na sio lazima iwe this summer.

Kuna watu mkahoji kwamba Pogba ni irreplaceable, nikasema si kweli kuna options zipo, nikawataja akina Ericksen, Ndombele, Bruno Fernandez & co. Lakini nikasema tunaweza kufanya replacement ya kubadilishiwa mfumo kabisa, kutoka 4-3-3 na kwenda kwenye 4-4-2 na tukanunua wachezaji wanaofit mfumo huo

Na nikasema United akitumia scout network yake vizuri anaweza kupata mbadala. Angalia mfano Dortmund aliondoka Dembele, akawepo Pulisic, wamemuuza Pulisic kwa £58 million, wakati huo huo wakawa wameshamleta Sancho kwa £12 million. Yote hiyo ni kazi nzuri ya Scout Network (Na DoF off course). Hivyo United anaweza kutumia Scouts wake kwa matokeo chanya.

Kiufupi mimi nasema nasema Pogba aende kwa kuwa kupitia comment zake ameonesha pale United ni mpita njia, na pia ameonesha aiheshimu timu kwa mujibu wa comments zake.

Siku atakapo force move ya kwenda Barca au Madrid nadhani humu ndani ndio tutakubaliana kutafuta mbadala wa Pogba kwa sasa inabidi aendelee kusujudiwa na kumuomba Mungu Pogba asiondoke
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,
then unaenda kuongeza pengo kwa kumuuza moja kati ya best CM in europe kwa sasa. Kwa sababu ambazo hazieleweki.

Anti-pogba wote msiwe na wasiwasi, atauzwa muda ukifika tena kwa fedha nzuri tuu.

Sent using simu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani huyu mtu yupo serious na timu yako, timu ya dunia?

Halafu eti anapewa captain armband View attachment 1051331

Sent using Jamii Forums mobile app

Pogba wakuuzwa tuwe wakweli wakuu kauli kama hizi huzikut kwa mtu anaeipenda timu

De gea na kutakiwa sana na madrid hajawahi kutamka hayo sijui dream yake ni madrid anatuheshimu sana hata ikitokea de gea kaondoka ntaendelea kuwa shabik wake sio lopolopo hata herrera
 
Habari za muda wadau,
Niaminivyo mimi,pogba ni mchezaji mzuri sana lakini ameletwa pale united kwa malengo zaidi ya moja: kubwa kabisa likiwa brand ya kibiashara ya klabu kama ilivyokuwa kwa akina beckham na ronaldo. Hakuwa na jina kubwa sana wakati akiwa juve ila man utd imemfanya mkubwa na kumpandisha thamani yake kwenye soko la usajili. Ila kwenye suala la kiwango,ana talent kubwa lakini hachangii majukumu yote uwanjani kwa asilimia mia kama ilivyo kwa viungo wengine wengi bora duniani kwa sasa.Ndio maana sijaona barca na madrid wakiwa na mpango naye licha ya yeye binafsi kujitongozesha kwao wazi wazi. Pamoja na uchakavu wa eneo lao la viungo iliyonayo madrid na barca,tulitegemea pogba angekuwa ameishatengenezewa tetesi za kutakiwa lakini imekuwa sivyo. Ni mzembe,mvivu na mbinafsi wa mafanikio uwanjani hivyo timu inakosa uwiano mzuri kwenye eneo la ukabaji.
tukisema mnachuki mnasema tunapenda mchezaji kuliko timu
 
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig

They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)

Point
 
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,
then unaenda kuongeza pengo kwa kumuuza moja kati ya best CM in europe kwa sasa. Kwa sababu ambazo hazieleweki.

Anti-pogba wote msiwe na wasiwasi, atauzwa muda ukifika tena kwa fedha nzuri tuu.

Sent using simu mbovu

Kazi nyepesi mno kuziba nafasi ya pogba maana tuna watu kibao kwenye academy na hata sokoni kuna viungo wengi washambuliaji ktk ile nafas shida ya hii timu ni kiungo level ya ngolo kante

Toka asepe Roy Kean hilo tatizo limeendelea kututesa sana
 
Bayern wamechukua bundesliga back to back for 6 years na msimu huu utakuwa wa 7
hilo halibadilishi kwa kile nilichosema, umeona wanavyostruggle mwaka huu?? unaweza kufananisha na miaka 3 iliyopita
 
Kwa jinsi man u inavyoendeshwa kuna siku itashindwa hata kupigania top four badala yake itaanza kupigania kubaki kwenye league.

Mpaka sasa haieleweki wana mipango gani ya kuifanya timu irudi kwenye misingi yake.

Sasa hivi team kubwa zote zinafanya usajili ila sisi hata romours tu za usajili hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom