Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Hata mechi ya PSG first leg alipotezwaPogba anahitaji viungo kadhaa kumlinda wakat na yeye ni kiungo ana mchango wake mkubwa tu ila ule u slow hapo pana shida akikutana na viungo korofi kama wa wolves humuoni
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mechi ya Southampton mzunguko wa kwanza alipotezwa
Ana goli nyingi kweli msimu huu, je za penati ni ngapi kati ya hizo? Je amekosa penati ngapi?4 kama sikosei
Lakini mimi sina tatizo sana na uwezo wake, nina tatizo la ubinafsi, kujiona na kutoiheshimu badge ya United...... Club yenye mashabiki wengi duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
"So many players or agents have been in touch saying they want to come here"