Kwa mechi ya jana nimekubaliana na DAEMUSHIN alipokuwa akipiga kelele kwamba De Gea anatukosti kwenye suala la kutawala eneo lake kwa miguu. Arsenal jana walikuwa wanaogopa kumvamia Onana kama walivyokuwa wakifanya kwa DeGea sababu ya uwezo wake wa kupiga pass bila uoga.
Sema kitu pekee alikosa watu wa kuwapasia zaidi ya Eriksen aliyekuwa akishuka chini kuzifuata pasi zake.
Mkuu we ni kilazaAkili za Ten Hag bwana,yaani ONANA ni bora kuliko De Gea??[emoji1787][emoji1787]ukisikia akili za MAKALIO ndio hizo alizotumia
Juzi tu KAGONGWA Vyuma Vitatu,leo best goolkeeper[emoji1787][emoji1787]Mkuu we ni kilaza
ONANA kawa nominated Mens baloon d'Or na Best goalkeeper
Juzi tu KAGONGWA Vyuma Vitatu,leo best goolkeeper[emoji1787][emoji1787]
Kwani kosa lake nini, yule ni GK mzr lkn sio sababu ya sisi kufungwa degea pia alifungwa sn....fans tutulieHii ni kwa performance ya msimu uliopita si huu
Mechi nne Goli NANE, bado tunapata ujasiri wa kumtetea golikipa kama huyu, mwisho wa msimu tukijakua na - ve GD tutaanza kushikana uchawiKwani kosa lake nini, yule ni GK mzr lkn sio sababu ya sisi kufungwa degea pia alifungwa sn....fans tutulie
Kwa ukuta wa kina Maguire hata aje kipa gani - ve GD haiepukiki.Mechi nne Goli NANE, bado tunapata ujasiri wa kumtetea golikipa kama huyu, mwisho wa msimu tukijakua na - ve GD tutaanza kushikana uchawi
Kwa ukuta wa kina Maguire hata aje kipa gani - ve GD haiepukiki.
Maguire ana magoli na assists nyingi kwenye goli la timu yake kuliko mchezaji yoyote tokea kuanzishwa kwa Epl[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maguire ni foward by nature ni vile makocha tu wanaforce kumchezesha CB, huyu mwamba akipangiwa hata msimu mmoja tu kucheza pale mbele lazima achukue kiatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi nne Goli NANE, bado tunapata ujasiri wa kumtetea golikipa kama huyu, mwisho wa msimu tukijakua na - ve GD tutaanza kushikana uchawi
Maguire amekuwa mbuzi wa kafara vipi kocha wenu hajui hiloKwa ukuta wa kina Maguire hata aje kipa gani - ve GD haiepukiki.
Maguire ana magoli na assists nyingi kwenye goli la timu yake kuliko mchezaji yoyote tokea kuanzishwa kwa Epl[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maguire ni foward by nature ni vile makocha tu wanaforce kumchezesha CB, huyu mwamba akipangiwa hata msimu mmoja tu kucheza pale mbele lazima achukue kiatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHAHAHAHAHAH,,,,sema nini kaka wasamehe kidogo mpka ipite hii breakOld Trafford imezikwa fisi[emoji1787][emoji1787]View attachment 2742097
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akisema haondoki ni haondoki na hamna kitu mtu anaweza kufanya [emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa sasa ndiyo watu wataelewa jinsi gani Ten Hag ni fala.
Mimi suala la kumpanga tu Antony kila mechi najua kuna namna anafanya wachezaji wengine wasicheze. Eneo la RW ndiyo analocheza Sancho na Pellistri.
Kinachoendelea ni kama issue ya Ronaldo na EtH. Anatuaminisha Antony ndiyo bora wakati wengine hawapi nafasi ni kwasababu tu hatupati access ya kinachoendelea Carrington ila Ten Hag ni fala.
Antony ndiyo mchezaji aliyesajiliwa na akaingia first 11 moja kwa moja na ndiyo kiazi kuliko wote.
Eti masebene[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hojlund sijamkataa ila takwimu zake zinaonesha mwanga
Kumbuka Anthony masebene alianza kwa kufunga na ikasemwa humu Ni new Arjen Rooben
Bado haibadili matokeo ya kukandikwa[emoji122][emoji122][emoji122] kongole mkorea hapa umeongea kama shabiki wa kweli wa soka sio ndugu yako Masingeli yeye ni kukandia mwanzo mwisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaio nyumbu mmegoma kuamka? Amkeni kenge nyie View attachment 2738211
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kosa la glazer ni lipi?
Wamempa pesa huyo jasusi kaenda kusajili wahuni tu.
Onana ana kipi cha kumzidi degea?View attachment 2738231