[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Evans apewe mkataba wa maisha
Kuna kitu Antony huwa anaprovide kwenye timu ila kuna mashabiki tena wenzetu wa man u huwa hawaelewi. Antony yule wa Ajax ni tofauty kabisa na huyu wa utd. Akiwa ajax ni kama alikuwa free mno kuuchezea mpira na pia alikuwa akamiwi sana kama ilivyo kwa utd. Huku anapewa majukumu ya kukaba na kuanza mashambulizi tena akianzia pembeni na sio kuingia ndani hii humfanya kuwa marked na mchezaji zaidi ya mmoja wa timu pinzani hivyo kutoa nafasi kwa wenzake kutanua. Kifupi ni kuwa wachezaji wa timu pinzani huwa wanaiona hatari ya Antony akiwa na mpira au hata asipokuwa nao.Kosa kubwa kocha alilofanya ni kuwaingiza Maguire na Evans wacheze kwa pamoja kwenye mechi yenye uzito Kama hii wakati hawajai kucheza mechi hata moja.
Kwa kiungo chetu cha leo nacho kimetuua Sana kumchezesha casemiro na ericksen uwaga mechi uwa ngumu sana upande wetu na ukicheki sub amna watu wakusema wataingia kupokea kiungo.
Wan bisaka jamaa kawa wa moto sana kocha afikie wakati kuwa kwenye mechi kubwa na ngumu Antony awe ana muacha amalize dk jamaa akitoka tuna tingwa Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiseme tu maguire sema don maguire akisema amesemaa [emoji1787][emoji23]
Akisema haondoki ni haondoki na hamna kitu mtu anaweza kufanya 😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa bwana[emoji1787][emoji1787]kwa hiyo mwamba kadinda kuondoka[emoji1787]Akisema haondoki ni haondoki na hamna kitu mtu anaweza kufanya [emoji1]
Haujaangalia mechi nn 😄We jamaa bwana[emoji1787][emoji1787]kwa hiyo mwamba kadinda kuondoka[emoji1787]
Sikubwabwaja, nilijua nilichokiandikaSababu ya kipuuzi mkuu
[emoji23][emoji23] nilikuambia mapema ukatia uoga. Pole sanaWamekandwa vizuri 3 aisee!! Nimefurahi ningebet kuna mtu ningemla iPhone 14 [emoji23][emoji23]
Countrywide hama team mtu wangu
Ten hag ni jipu, hivi unawezaje kuwapanga pamoja Maguire na Evans??HOJLUND tumepigwa