Wanasema eti ilikuwa 50/50Dear man u,s nadhani jana mlijionea . Mlikuwa mnavizia counter attack sio. Na ilifika stage mpaka mkitaka kufunguka tu linawakuta jambo , kiungo ya kati ikawa imekufa kabisa. Nawaza sana sisi liva sijui tutawapiga kipigo gani tukikutana.

Kuna kitu watuwanashindwa kukielwe especially wachambuzi wengi humu juu ya uwezo wa timu na uwezo wa coachMm sio arsenal ila kimpira tuongee kimpira, timu mbaka inafungwa inamaana Kuna makosa yametokea bila makosa watakuwa hawafungani
Na hapo walikuwa hawawez kumiliki mpira pale Kati ,na Kuna mafundi walikuwa nje hawajaanza Kama Jesus , Trossard , Smith,VieiraUkitaka kujua level ya timu yako angalia Odds tu...
United bado sana inajitafuta zaidi ya Counter hakuna mipango mingine.
Japo Jana Arsenal hatukuwa kwenye ule ubora wetu.
Ten egg kapewa £450m kasajili wachezaji wa ovyo why lawama kubwa wanapewa familia ya GrazaKuna kitu watuwanashindwa kukielwe especially wachambuzi wengi humu juu ya uwezo wa timu na uwezo wa coach
Ten hag sio kwamba ni coach mbaya na eti hana tactics wala wachezaji wengi sio wabaya kama inavodhaniwa hawa wachezaji ukiwatoa njee ya man utd wata shine sana mfano hao kina Rashford bruno Antony sancho onana wanaweza kuwa World class kwenye timu nyengine tofauti na man utd hii inaenda sawa na coach ten hag na wengine walio pita
Sasa why man utd ndio tatizo
It's the system hierarchy...yani body na management nzima ya man utd wana ile identity flani inayo imaliza timu coach yeyote atakae ingia ndani ya timu atashindwa ku implement style yake ya ucheza vizur juu ya presha kutoka kwenye management ya kuna override iliyopo ndani inayopelekea system kukosa autonomy on decision of action juu tu ya ku hold the past history and old football styles philosophy wana amini style ya ya Ferguson ndio itakayo wapa matunda so hata aje coach gani either the best coaches kama arteta pep de zerbi au hata don carlo watashindwa ku exile juu ya demand wanayotaka management...wana force timu ibaki kwenye traditional football philosophy nda ndio maana ma kocha wengi waliopita walipata wakati mgumu kucheza mpira wao refer to
Mourinho anakuambia kufundisha man utd na kumaliza nafasi ya pili kwake ni his best big achievement
Ten hag anakuambia a different team different rules i cant play ajax football in Manchester utd due to the demand and their playing style origin and identity so i have to adapt to it
Sasa haya mambo yanapelekea makocha waliopita alie kuwepo au hata hao ma pro awe klop pep artera de zerbi au carlo kutoweza kuifundisha na kuwa mataji makubwa ni kwa sababu ya poor management system wana defend their past history based kwamba ndo itawapaga nuru siku kitu ambacho hakiwezekan in a modern football coach lazima awe na football autonomy na flexibility plus uvumiluvu pale anapo implement style yake na sio kuchukua tu ushauri wa kina mzee Ferguson kuwa hivi ndio man utd ina takiwa icheze na itakavo cheza
Tutazidi posteza viwango vingi kwa vijana kwenye mpira kwa kuwa back watu wasiojua mpira
#Grazzerz out
Nimesikitika sana, no wayKuna kitu watuwanashindwa kukielwe especially wachambuzi wengi humu juu ya uwezo wa timu na uwezo wa coach

Hip timu hata upewe wewe ndivo watakavo kwambia jinsi ya kucheza mbali na hapo una tafuta Ugomvi na managementWanasema eti ilikuwa 50/50![]()
Kwenye mpira pesa sio kila kitu na kazi ya management sio kutoa pesa tu jee ulishawahi fanya breakdown ya hio pesa 450m jinsi alivo tumiaTen egg kapewa £450m kasajili wachezaji wa ovyo why lawama kubwa wanapewa familia ya Graza
Kuna moja Anthony wakati arsenal wanaanzisha mashambulizi alimfusta beki na kumkaba hadi akakosa options na kutoa boko bahati mbaya Casemiro akashindwa kutumia mwanya vizuri kusababisha goli akapoteza .Hujakosea na ndio maana uki refer kule juu nilisema ni kosa kubwa sana kumtoa Antony huyu jamaa kama huna jicho la mpira huwez ona mchango wake kirahis rahisi utaishia kusema mech 30+ hana magoli wala assist nyingi ila laa sio hivo tu anamchango wake tofauti na kufunga tu
Huyu Antony huwa anakaa caliber moja na grelish wa man city jamaa sio wakumuweka foden njee ila huyu ni military equipment kweli kweli kwenye ball carrier yani anaweza asi assist wala kufunga ila ukaona uwezo wake wa ku run deep kuokota mipira kurudisha juu hii hufanya opponent wako wasiwe flexible sana kushambulia
Amin kiongozi kwenye mpira kila mtu lazima awe na impact kwenye kutafuta matokeo Antony kwa sasa hana end product nzuri offensively kuliko product yake kama ball carrier and interceptive in a defective role huyu jamaa anatupaga balance flani kwenye mpira unaona kuna equilibrium ya upambanaji kama grelish wa man city jamaa hafungi sana wala kutoa assist ila ni mapafu ya mbwa ana pokonya mipira kupeleka mbeleKuna moja Anthony wakati arsenal wanaanzisha mashambulizi alimfusta beki na kumkaba hadi akakosa options na kutoa boko bahati mbaya Casemiro akashindwa kutumia mwanya vizuri kusababisha goli akapoteza .
Wewe nimeamini uliangalia mpiraAmin kiongozi kwenye mpira kila mtu lazima awe na impact kwenye kutafuta matokeo Antony kwa sasa hana end product nzuri offensively kuliko product yake kama ball carrier and interceptive in a defective role huyu jamaa anatupaga balance flani kwenye mpira unaona kuna equilibrium ya upambanaji kama grelish wa man city jamaa hafungi sana wala kutoa assist ila ni mapafu ya mbwa ana pokonya mipira kupeleka mbele
Upande wa midfield yetu kuna kitu ambacho tulikiona mwanzoni ila tulijua akita last muda mrefu na hii ndio fimbo wanayoitumia rivalry fans wetu kutu adhibu ni umri
Casemiro + Eriksen hawana physicabilities compare tu rice + kai upande wa kupeleka mipira mbele hamiss anasema tumepiga pass 200+ kurudi nyuma ni kweli sababu watu walipo nyuma mostly ni vijana na wana composture nzuri ya ku control Mpira at the back dalot Martinez lindelof awb wote hawa wana weza tawa kwa nyuma na kufanya mpinzani asiwe na intensity yakuwaingilia na ndio maana zikawa successful back 200 pass zilizo being counted kwenye ball possession sasa shida ni nini hizi pass 200+ zisiingie kati hapo kati umri wao hauwaruhus kufanya hivo watakuwa exposed ukilinganisha na mpizani watu wake kati wako vizur composture on the ball
Na hii ikapelekea huduma kuwa mbovu upande wa mbele tunategemea counter hatuwez kuwa vital on attack kama kati hakuna waku submerge the control into the final third ku creat a threat
Watu waliosimuliwa mpira na kuangalia live scoreHivi Evans ameishaamuka? Maana Jesus alimwacha kalala
Jana kocha kaingia na formula ya ku piga successful pass za nyuma nyingi ili kuwavuta maadui langoni kwetu mje ku recover the ball hapo hapo mnavozidi kusogea ku press mna acha flanks zenu kule juu exposed ikawa ni jukumu la onana kupiga long range pass toward rashfor or Antony ili kwenda kutengeneza threat langoni kwenuMara kadhaa Onana aliweza kuescape press yetu tukaamua kuachana nayo.
He's good ukipress kizembe watakumaliza kwa caunter.
Fainali ya CL Pep kuna mda ifika akabadili na namna ya kupress
sawa anajituma je sisi tunaomuona kwenye mechi kujituma kwenyewe ndo kule?Sancho kafunguka huko kasema 7hag Ni muongo, siokweli hajitumi mazoezini Kuna issue nyingine kabisa
Huyu 7hag ameshindwa kukuza kipaji hiki anamsingizia uongo kwenye media View attachment 2738006
angemuweka nani?? na subs zile zilikuwa za lazimaTen hag ni jipu, hivi unawezaje kuwapanga pamoja Maguire na Evans??
Mkuu mimi hili suala la VAR linanichanganya kila siku. Hawa waamuzi wa VAR wakiwa wanarudia utaona kabisa mstari sio perpendicular ila kama unatengeneza angle aidha ndogo kuliko nyuzi 90 au kubwa kuliko nyuzi 90 halafu wanahitimisha kuwa ni offside au la. Mfano mzuri ni offside ya goli la Garnacho,mstari haukuwa nyuzi 90 bali ulilala ndio maana maamuzi yalikuja vile refa alivyotaka.