radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Nimeangalia mechi ya leo sikutegemea kama vijana wangejitahidi kiasi kile wamecheza vizur kwa upande wangu sijaona baya huyu Rasmus Højlund ana kitu Tusubiri Amrabat tuone ila narudia Rasmus Højlund ana kitu goli la ganacho lilikataliwa alifanya muunganiko mzur sana