Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,811
- 235,947
Mbona nyie huo wa papatu papatu hamjaupata?Yani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah[emoji23]
Yani mtu umeona kabisa sub zile zimekupa mwanya bila hivo chao wasingekuwa nacho jana